Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam, Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa...
8 Reactions
106 Replies
9K Views
Naona January kakanusha khs Hela ya Afrika Mashariki(Shearfanc)
4 Reactions
65 Replies
4K Views
Dereva aitwaye Martin Chacha mkazi wa Tegeta inadaiwa ameuawa kwa kipigo na ASAS akishirikiana na SUMA JKT mkoani Iringa zilipo ofisi za ASAS kwa madai ya kusababisha hasara lita 200. Inadaiwa...
37 Reactions
270 Replies
15K Views
Nauliza tu maana Msemakweli ni mpenzi wa Mungu wa Mbinguni Wabunge wataenda kutibiwa Government hospitals kufuata Kitita cha NHIF? Mlale Unono 😀😀
4 Reactions
9 Replies
812 Views
Kwa heshima na taadhima napenda kuishauri serikali yetu adhimu,ibadirishe matumizi ya uwanja wa ndege chato ili tuepuke hasara itakayo tokana na uwanja huo kutotumika kikamilifu. Uwanja huu wa...
18 Reactions
124 Replies
13K Views
Rais Samia amesema ni Jukumu la kila mtu Kuzingatia Swala la afya ili kujiepusha na magonjwa ya kuambukiza kama anavyoshauri Mkurugenzi Mtendaji wa MNH Prof Mohamed Janabi.
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Uwekezaji wa Hospitali si uwekezaji wa kitoto , si uwekezaji wa bei rahisi na wala si uwekezaji wa kudra za Mungu , ni gharama kubwa mno , siyo sadaka za Waumini waliofanyiwa miujiza na Mungu , ni...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Jeshi la polisi mkoa wa Iringa limetoa taarifa inayokanusha taarifa ya kwamba mfanyakazi wa kampuni ya ASAS ndugu martin chacha aliuwawa kwa kipigo baada ya kutuhumiwa...
2 Reactions
119 Replies
6K Views
Mbowe kwa Katiba ya CHADEMA haimzuii kugombea tena Uenyekiti kama atapenda na asipogombea ndio tutasema "anang'atuka" Sasa Zitto Kabwe anang'atukaje? Tupeni Ufafanuzi kikatiba tuachane na Siasa...
1 Reactions
3 Replies
518 Views
Majasusi wa Marekani wameanza kutumia vyombo vya habari kuitisha Tanzania kuhusu Mradi mkubwa gesi huko Kusini. Makampuni haya makubwa yanalazimisha tuanze utekelezaji wakati huo kama kawaida...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamii imepewa wito wa kupuuza taarifa zinazoenea hivi karibuni zikieleza kuwa shughuli za uendeshaji katika Bandari ya Dar es Salaam zimesimama badala yake inapaswa kufahamu kuwa Bandari hiyo...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
MAJIBU KWA MTU ANAYEJIITA JOSHUA GUYAHAMBI ANAVYOPOTOSHA UMMA WA WATANZANIA KUHUSU ADDO NA USIMAMIZI WA MADUKA YA DAWA NCHINI Na Prof Patrick Kobono (MD, MMED, MPH, MBA, PhD in Human Anatomy)...
37 Reactions
136 Replies
12K Views
Ikumbukwe kuwa Mzee Edwin Mtei muasisi wa CHADEMA ndiye aliyemshauri Mwalimu Nyerere akubaliane na Sera za IMF na WB kwa sababu hapakuwa na namna nyingine. Mbele ya camera Nyerere alikataa na...
2 Reactions
5 Replies
739 Views
Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Yaani mfanyakazi wa wilaya ndogo kuna sababu gani ya kupewa V8 ya kutumia wilayani? Wilaya yenye lami kweli inahitaji gari kubwa la juu tena V8 engine? Wilaya hiyo...
7 Reactions
14 Replies
999 Views
Kutokana na baadhi ya hospitali binafsi kusitisha huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuanzia leo Machi mosi, 2024, uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umekuja...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana nimeona clip ya mh rais wetu mpendwa mheshimiwa ukht Samia kuhusu taarifa ya kifo cha mzee Mwinyi Clip ile inamakosa yamejitokeza ambayo mh rais hakupenda yafike kwa jamii lkn yamefika...
8 Reactions
107 Replies
9K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la hoja ngumu zinazoitwa abstract, na zinahusu kitu kinachoutwa psychoanalysis, mtanisamehe, sikijui Kiswahili cha abstract wala psychoanalysis, lakini inahusu...
18 Reactions
118 Replies
14K Views
SALAAM ZA RAMBIRAMBI ZA WANANCHI WA JIMBO LA KISESA WILAYA YA MEATU KWA WATANZANIA NA FAMILIA YA MZEE ALI HASSAN MWINYI RAIS WA TANZANIA WA AWAMU YA PILI KWENYE IBADA MAALUM ILIYOFANYIKA KANISA LA...
2 Reactions
2 Replies
980 Views
Nimezoea kabla ya DP World kupewa bandari ilikua inachukua walau siku7 mpaka mzigo wako unatoka bandarini ila kwa sasa meli ikiingia bandarini basi hesabu mwezi mmoja au zaidi ndio mzigo wako...
12 Reactions
70 Replies
5K Views
Watanzania tupeane pole kwa msiba huu mzito katika taifa letu. Kuna watu wanashangazwa na hili swala la kuamua kuhamisishia msiba wa mzee Mwinyi Zanzibar, wakidai kuwa mzee huyo alikuwa asha usia...
10 Reactions
179 Replies
13K Views
Back
Top Bottom