Wazo Fupi: Kama Rais Samia hakueleweka basi haeleweki na haelekei kueleweka

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,999
Na. M. M. Mwanakijiji...

Alipozungumza Jana Rais Samia kuhusu kukosa usingizi kunakomkuta kama Rais unaweza kudhani roho ya Magufuli ilimuingia ghafla. Yaani, maneno yake ukiyaweka kwa sauti na ukali wa Magufuli...unaweza Kwanzaa kuwaonea huruma Hawa wakuu wa mikoa.

Nasubiri kuona Nani atakuwa wa kwanza kuanza vikao kuwashtukiza maDC na kukutana na wananchi kutatua kero kabla Makonda hajaenda.

Kuna meseji katuma Rais Samia Jana sijui kama kaeleweka...na si mara ya Kwanzaa namsikia akiwasihi wateule wake waende kutatua matatizo ya wananchi. Ni kama anawabembeleza wasilale..sijui na yeye kaanza kulala na mafaili.

Ila siku akikasirika akawaita tena "pumbavu".. miye nipo. Landa kuna siku itabidi aufanye Umagufuli ili baadhi ya watu wajue kuwa hawakupakwa mafuta watawale tu...nasubiri nione kama atalazimisha wamwelewe...au ataendelea kubembelezana nao maana watu wameanza kumng'ong'a yeye...

Ataeleweka kabla ya 2025?
 
Na. M. M. Mwanakijiji...

Alipozungumza Jana Rais Samia kuhusu kukosa usingizi kunakomkuta kama Rais unaweza kudhani roho ya Magufuli ilimuingia ghafla. Yaani, maneno yake ukiyaweka kwa sauti na ukali wa Magufuli...unaweza Kwanzaa kuwaonea huruma Hawa wakuu wa mikoa.

Nasubiri kuona Nani atakuwa wa kwanza kuanza vikao kuwashtukiza maDC na kukutana na wananchi kutatua kero kabla Makonda hajaenda.

Kuna meseji katuma Rais Samia Jana sijui kama kaeleweka...na si mara ya Kwanzaa namsikia akiwasihi wateule wake waende kutatua matatizo ya wananchi. Ni kama anawabembeleza wasilale..sijui na yeye kaanza kulala na mafaili....

Ila siku akikasirika akawaita tena "pumbavu".. miye nipo. Landa kuna siku itabidi aufanye Umagufuli ili baadhi ya watu wajue kuwa hawakupakwa mafuta watawale tu...nasubiri nione kama atalazimisha wamwelewe...au ataendelea kubembelezana nao maana watu wameanza kumng'ong'a yeye...

Ataeleweka kabla ya 2025?
Hiyo 2025 hakuna anayeiogopa boss, Magufuli ameshaonyesha unaweza kutangazwa mshindi bila kujali kura. Kwahiyo huna jipya uliloleta hapa.
 
Mzee wangu hukupata mwaliko ikulu au wewe umekataa kuwa chawa?
1000026433.jpg
1000026432.jpg
1000026431.jpg
 
.....Ila siku akikasirika akawaita tena "pumbavu".. miye nipo. Landa kuna siku itabidi aufanye Umagufuli ili baadhi ya watu wajue kuwa hawakupakwa mafuta watawale tu...nasubiri nione kama atalazimisha wamwelewe...au ataendelea kubembelezana nao maana watu wameanza kumng'ong'a yeye...

Ataeleweka kabla ya 2025?
Hapo kwenye bold. Ni kama ninasoma KUMNG'OA kwa sababu kadiri anavyorundikiwa sifa na hao watendaji wake, ndivyo anavyojikisanyia lawama za uzembe wa wasaidizi wake.

Huku mtaani nyota yake imefifia mno. Wachache kama kina Lucas ndo wamesalia wakiamini ukiimba pambio usiku kucha zitafungua mageti ya gereza lililojaa wevi na wangang'anyi
 
Mmoja alikuwa mzinza aliyejifanya msukuma, na mwingine ni mchaga. Kama hujatosheka useme.
Kuwa mzinza ni dhambi? Ipi ni dhambi kubwa kati ya kumnanga mzee wa watu tena kwa kumtaja mbele ya wa watanzania umma kuwa ni fisadi na mwizi halafu baadae ukasema ni mtu safi tu anafaa kupewa nchi aongoze?
 
Back
Top Bottom