Kumbukizi la Hayati: Halima Mdee kutoa Ushuhuda namna Magufuli na CHADEMA walivyoleta maendeleo Jimbo la Kawe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,982
141,997
Mbunge wa Viti Maalum Chadema mh Halima Mdee atatoa Ushuhuda namna Shujaa Maguful na Chadema walivyoshirikiana kuleta maendeleo ya Jimbo la Kawe tangu Shujaa akiwa Waziri wa Ujenzi, Waziri wa Ardhi na Waziri wa Uvuvi

Kaa mkao wa kushuhudiwa

Ramadan Kareem 😄
 
Mambo yanaenda Kasi sana CCM wamejipanga sawasawa 😀🔥
Wameacha hata kukopa ili washughulike na uchaguzi ujao utakao kuwa huru na haki kwa mujibu wa Kinana. (Siyo kwa mujibu wa sheria...kwa mujibu wa Kinana)

Key word: Kinana
 
Wameacha jata kukopa ili washughulike na uchaguzi ujao utakao kuwa huru na haki kwa mujibu wa Kinana. (Siyo kwa mujibu wa sheria...kwa mujibu wa Kinana)
Kinana na Mbowe Ndio Wenyeviti Wenza wa Maridhiano 😄
 
Mbunge wa Viti Maalum Chadema mh Halima Mdee atatoa Ushuhuda namna Shujaa Maguful na Chadema walivyoshirikiana kuleta maendeleo ya Jimbo la Kawe tangu Shujaa akiwa Waziri wa Ujenzi, Waziri wa Ardhi na Waziri wa Uvuvi

Kaa mkao wa kushuhudiwa

Ramadan Kareem
Akileta mchoro mzima mpaka kununuliwa na mwendazake nishitue.
 
Mbunge wa Viti Maalum Chadema mh Halima Mdee atatoa Ushuhuda namna Shujaa Maguful na Chadema walivyoshirikiana kuleta maendeleo ya Jimbo la Kawe tangu Shujaa akiwa Waziri wa Ujenzi, Waziri wa Ardhi na Waziri wa Uvuvi

Kaa mkao wa kushuhudiwa

Ramadan Kareem
Tumia akili Chadema haina MBUNGE VITI MAALUM ansyeitwa HALIMA MDEE usijitoe Ufahamu
 
Back
Top Bottom