Regia Mtema Day; Biography Na Kitabu Cha Kero

Jul 14, 2008
1,820
1,031
Wanadau wa JF na wa RMF

1. Nashukuru kwa wale wachache ambao mpaka sasa wamekuwa active katika kutoa maoni yao na michango kwa njia mbalimbali. Ikumbukwe kuwa baadhi yetu humu tumekuwa kimya kabisa au ni wachangiaji wazuri lakini kiutendaji imekuwa tatizo. Mimi kama moja wa viongozi naona hali hii si nzuri lakini ndo hivyo tena, Uongozi ni Utumishi. Hakika walio wengi walioahidi mpaka sasa hawajatoa michango yao na hili ni tatizo. So, watakaoweza kutoa tutashukuru lakini watakaoshindwa itabidi tufanye assumption kuwa hatutapata tena michango yao na hivyo tutasonga mbele.

2. Kitabu cha kero kilishatoka kama draft na baadhi ya wadau waliopewa walitoa maoni yao. Kwa sasa tayari tumewaelekeza Editors wasonge mbele na kuchapisha kitabu kwa kuzingatia maoni yaliyotolewa. Tunahitaji michango yenu kipindi hiki kuliko wakati wowote. TZS 1 Milion inatakiwa kuchapisha copies takribani 1000.

3. Biography imekamilika na draft tumeletewa. Natoa rai kila kila anaeyeweza na kupenda kuipitia draft apite ofisini kuchua hiyo draft akiwa na flash maana file ni kubwa 189 MB. Au unaweza kuwasiliana na Remija ambaye pia ana soft copy. Tunapeana muda wa wiki mbili kupitia na kutoa maoni ya mwisho kabla ya kuendelea. Draft kwa kweli ni nzuri sana na inatia moyo. Tutahitaji pia kiasi cha Shillingi kama Milion10 kuweza kuchapisha Biography ya ubora uliokusudiwa. Tunaomba michango yenu.

4. Kuna hoja mezani kuwa tarehe 14 January 2013 au siku karibu na hiyo ifanyike kumbukumbu ya Regia Mtema. Katika siku hii tukutane British Council na kutakuwa na maada mbalimbali zitakazojadiliwa kama alivyozisimamia Regia and pia kutafuta Way Forward. Katika siku hii maalumu wageni na wadau mbalimbali wataalikwa.

5. Tumeanza kutengeneza tovuti ya RMF. Kama kila kitu kikienda sawa basi kuna uwezekano katika Regia Day tukafanya yafuatayo:

a. Mijadala mbalimbali
b. Kuizindua RMF
c. Kuzindua Tovuti
d. Kuzindua Kitabu cha Kero
e. Na kama kitakuwa tayari; kuzindua Biography

Kwa heshima na taadhima kama kuna mwenye maoni ya kuboresha na kuelekezana kwa maana ya kuleta mafanikio zaidi tunaomba tuweze kupata maoni yake.

Wasalaam

Sanctus Mtsimbe
Mwenyekiti RMF
 
Sanctus Mtsimbe, kuna wimbo mmoja wa kilatini unaitwa sanctus unanikumbusha mbali sana...any way, hivi ile netwirk ya professionals bado iko hai?Inafanya nini so far?
 
Last edited by a moderator:
Sanctus,

Kwanza nitoe pongezi kwa kuweza kufikisha mchakato huu hadi hapa ulipofika. Tutafanya makosa makubwa kama watu waliguswa na msiba tu na sasa tumeshasahau na kuendelea mbele. Ikumbukwe kuwa wafu wote huishi katika kumbukumbu za walio hai. Ndio maana kila jamii duniani ina utaratibu wake wa kuwakumbuka wafu na kuyasema matendo yao. Ni jukumu letu basi kama marafiki wa Regia kuhakikisha kuwa anakumbukwa na njia mojawapo ni kutoa mchango unaowezekana katika kufanikisha uzinduzi wa kitabu na taasisi.

Wale wote ambao tunaamini katika kile ambacho Regia alikisimamia na alianza kukifanyia kazi kabla ya maisha yake kukatishwa kwa ghafla kinadumu. Tumwombe Mungu atusaidie kuweza kufanikisha haya yote.
 
Mkuu Ndahani ni kweli kuna Wimbo Sanctus ukiwa na maana ya Mtakatifu. Maana ya Sanctus ni "Holy Man" ingawa najua fika mimi si Mtakatifu. japo jina ni la Kilatini lakini mimi si Mlatini. Ni mchanganyiko waq Makabila 4 na dini mbili. Nini umekumbuka mkuu?

Kuhusu Mtandao wa Wanataaluma Tanzania - TPN, bado uko hai. Mimi ni Kiongozi Mstaafu toka May 2011. Sasa hivi tuna viongozi wapya waliochaguliwa May 2011 na Wanachapa kazi. Kuna mengi yanaendelea ikiwapo Makongamano mbalimbali yaliyofanyika na pia December 2012 kuna Kongamano ninaandaliwa na Viongozi.

Kwa sasa mini ni moja kati ya viongozi wa Mtandao wa Wanataaluma na Consultants kwa Nchi 15 za Masahriki mwa Africa (EAPBN).

Kwa mawasiliano na viongozi wa sasa wa TPN unaweza kutumia contacts zifuatazo:

Phares Magesa,
Rais- TPN,
+255 (0784/0713/0767) 618 320
magesa@hotmail.com

Richard Kasesera,
Makamu wa Rais- TPN
+255 767 777151
rkasesela@gmail.com

Mhe. Bi. Janet Mbene (MB),
Katibu Mkuu - TPN
+255 784 596 444
maorchid@gmail.com

Gervas Lufingo
Mhazini- TPN
+255 784 482597
nasemaasante@yahoo.com

Mtandao wa Wanataaluma Tanzania (TPN),
Url: www.tpntz.org
Email: president@tpn.co.tz
 
Tuko pamoja Mkuu. Bila shaka hizi ni moja ya changamoto za kawaida katika organizations mpya. Tuendelee kushauriana.

Ukipata wasaa, tutashukuru tukipata msaada wako wa hali na mali.

Hali kadhalika natoa wito kwa wwote wenye mapenzi mema na mapenzi kwa RMF waweze kujitokeza na kuchangia.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ndahani ni kweli kuna Wimbo Sanctus ukiwa na maana ya Mtakatifu. Maana ya Sanctus ni "Holy Man" ingawa najua fika mimi si Mtakatifu. japo jina ni la Kilatini lakini mimi si Mlatini. Ni mchanganyiko waq Makabila 4 na dini mbili. Nini umekumbuka mkuu?

Kuhusu Mtandao wa Wanataaluma Tanzania - TPN, bado uko hai. Mimi ni Kiongozi Mstaafu toka May 2011. Sasa hivi tuna viongozi wapya waliochaguliwa May 2011 na Wanachapa kazi. Kuna mengi yanaendelea ikiwapo Makongamano mbalimbali yaliyofanyika na pia December 2012 kuna Kongamano ninaandaliwa na Viongozi.

Kwa sasa mini ni moja kati ya viongozi wa Mtandao wa Wanataaluma na Consultants kwa Nchi 15 za Masahriki mwa Africa (EAPBN).

Kwa mawasiliano na viongozi wa sasa wa TPN unaweza kutumia contacts zifuatazo:

Phares Magesa,
Rais- TPN,
+255 (0784/0713/0767) 618 320
magesa@hotmail.com

Richard Kasesera,
Makamu wa Rais- TPN
+255 767 777151
rkasesela@gmail.com

Mhe. Bi. Janet Mbene (MB),
Katibu Mkuu - TPN
+255 784 596 444
maorchid@gmail.com

Gervas Lufingo
Mhazini- TPN
+255 784 482597
nasemaasante@yahoo.com

Mtandao wa Wanataaluma Tanzania (TPN),
Url: www.tpntz.org
Email: president@tpn.co.tz

Thanks mkuu...unajua kuna mambo mengine hata iwe vipi yanakataa kuondoka kwenye akili zetu. Hizo nyimbo tuliimba zamani tena bila kuelewa tulikuwa tunaimba nini. Anyway, sijawasikia TNP kwa muda sasa...I was interested to know what is happening...perhaps ndio muda muafaka wa kujiunga nao.
 
Updates:

Biography ya Regia na Kitabu cha kero vyote vimekamilika kama final draft. Tunavipitia kwa mara ya mwisho kabla havijawa printed.

Walio na mapenzi mema wanakaribishwa kuwezesha vitabu kuwa printed.
 
Wanadau wa JF na wa RMF

1. Nashukuru kwa wale wachache ambao mpaka sasa wamekuwa active katika kutoa maoni yao na michango kwa njia mbalimbali. Ikumbukwe kuwa baadhi yetu humu tumekuwa kimya kabisa au ni wachangiaji wazuri lakini kiutendaji imekuwa tatizo. Mimi kama moja wa viongozi naona hali hii si nzuri lakini ndo hivyo tena, Uongozi ni Utumishi. Hakika walio wengi walioahidi mpaka sasa hawajatoa michango yao na hili ni tatizo. So, watakaoweza kutoa tutashukuru lakini watakaoshindwa itabidi tufanye assumption kuwa hatutapata tena michango yao na hivyo tutasonga mbele.

2. Kitabu cha kero kilishatoka kama draft na baadhi ya wadau waliopewa walitoa maoni yao. Kwa sasa tayari tumewaelekeza Editors wasonge mbele na kuchapisha kitabu kwa kuzingatia maoni yaliyotolewa. Tunahitaji michango yenu kipindi hiki kuliko wakati wowote. TZS 1 Milion inatakiwa kuchapisha copies takribani 1000.

3. Biography imekamilika na draft tumeletewa. Natoa rai kila kila anaeyeweza na kupenda kuipitia draft apite ofisini kuchua hiyo draft akiwa na flash maana file ni kubwa 189 MB. Au unaweza kuwasiliana na Remija ambaye pia ana soft copy. Tunapeana muda wa wiki mbili kupitia na kutoa maoni ya mwisho kabla ya kuendelea. Draft kwa kweli ni nzuri sana na inatia moyo. Tutahitaji pia kiasi cha Shillingi kama Milion10 kuweza kuchapisha Biography ya ubora uliokusudiwa. Tunaomba michango yenu.

4. Kuna hoja mezani kuwa tarehe 14 January 2013 au siku karibu na hiyo ifanyike kumbukumbu ya Regia Mtema. Katika siku hii tukutane British Council na kutakuwa na maada mbalimbali zitakazojadiliwa kama alivyozisimamia Regia and pia kutafuta Way Forward. Katika siku hii maalumu wageni na wadau mbalimbali wataalikwa.

5. Tumeanza kutengeneza tovuti ya RMF. Kama kila kitu kikienda sawa basi kuna uwezekano katika Regia Day tukafanya yafuatayo:

a. Mijadala mbalimbali
b. Kuizindua RMF
c. Kuzindua Tovuti
d. Kuzindua Kitabu cha Kero
e. Na kama kitakuwa tayari; kuzindua Biography

Kwa heshima na taadhima kama kuna mwenye maoni ya kuboresha na kuelekezana kwa maana ya kuleta mafanikio zaidi tunaomba tuweze kupata maoni yake.

Unaweza pia kupitia threads hizi ili kujua Historia:

  1. ​https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-mtema-foundation-and-biography-ya-regia.html.

Wasalaam

Sanctus Mtsimbe
Mwenyekiti RMF
RIP Sanctus Mtsimbe
P
 
Back
Top Bottom