Kwanini watoto wa Mzee Mchonga hawana nyadhifa kubwa Nchini?

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,416
6,576
Wakuu naombeni mnijuze, licha ya kusoma sana na baba yao kuwa mpigania uhuru wa Taifa hili, kwanini watoto wa mzee mchonga wapo wapo tu, hawana nyadhifa kubwa, hawana mbele wala nyuma? Hali ni tofauti kwa watoto wa Mzee ruksa, Mzee Karume, JK na wengineo kwanini?
 
Mtoa mada kwa taarifa yako Anna,Pauleta ni wasomi wazuri tu na alishakuwa mhadhiri.Kaka yao mmoja Andrew alikuwa rubani wa ndege za jeshi.Kumbuka Makongoro ameshawahi kuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia NCCR
-mageuzi.Hali halisi ni kwamba baba yao aliwalea katika maadili ya ujamaa na kutojikweza.Ushauri wangu pambana na hali yako usichokonoe ya watu
 
Na Makongoro ni mwenyekiti wa chama wa mkoa na alishawahi kutaka kugombea urais.Ukisikia kingereza akiongea kimenyooka bila mawaa
 
Mtoa mada kwa taarifa yako Anna,Pauleta ni wasomi wazuri tu na alishakuwa mhadhiri.Kaka yao mmoja Andrew alikuwa rubani wa ndege za jeshi.Kumbuka Makongoro ameshawahi kuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia NCCR
-mageuzi.Hali halisi ni kwamba baba yao aliwalea katika maadili ya ujamaa na kutojikweza.Ushauri wangu pambana na hali yako usichokonoe ya watu
Andrew huyu anayeandika vitu visivyojulikana hapa jukwaani?
 
Wakuu naombeni mnijuze, licha ya kusoma sana na baba yao kuwa mpigania uhuru wa Taifa hili, kwanini watoto wa mzee mchonga wapo wapo tu, hawana nyadhifa kubwa, hawana mbele wala nyuma? Hali ni tofauti kwa watoto wa Mzee ruksa, Mzee Karume, JK na wengineo kwanini?
genetic reasons...
 
Wa Mkapa wana zipi
 
Back
Top Bottom