Tofauti na propaganda za serikali ya wanaccm za kila mwaka, kuwa uchumi wa watanzania unakuwa kwa asilimia kubwa kila mwaka, benki ya Dunia imewashushua waendesha propaganda hizo kwa kueleza...
Juzi Mhe. Rais akiwaapisha Wateule wake alikemea sana wizi unaofanyika Serikalini na baadaye akasema kuwa kuanzia sasa Halmashauri zitapewa fedha kutoka Serikalini kutokana na makusanyo yake...
#Habari: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kusimamia tatizo la wizi wa fedha unaofanywa na watumishi wa umma kwa kushirikiana na...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka watendaji Wizara ya Nishati, Tanesco na REA kuacha mazoea na kutatua kero za wananchi.
Dk Biteko ameyasema hayo leo Alhamisi...
RC SONGWE AAGIZA WALIOTAFUNA MILIONI 400 ZA MRADI WA MACHINGA TUNDUMA KUKAMATWA.
TUNDUMA: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Dkt. Francis Michael ameviagiza vyombo vya ulinzi kuanza kuwachukulia hatua...
Mbunge wa Viti Maalum Chadema mh Halima Mdee atatoa Ushuhuda namna Shujaa Maguful na Chadema walivyoshirikiana kuleta maendeleo ya Jimbo la Kawe tangu Shujaa akiwa Waziri wa Ujenzi, Waziri wa...
Ujerumani: Mradi wa umeme wa Tanzania wapigiwa kura bungeni
Bunge la Ujerumani limepitisha mswada wa kuitaka serikali ya Ujerumani itafute njia mbadala ya mradi wa Tanzania wa kuzalisha nishati...
Wanadau wa JF na wa RMF
1. Nashukuru kwa wale wachache ambao mpaka sasa wamekuwa active katika kutoa maoni yao na michango kwa njia mbalimbali. Ikumbukwe kuwa baadhi yetu humu tumekuwa...
Kuongoza nchi si kitendo Cha kusema tumpe nani nafasi tujaribu kuona atafanya nini ila kitendo Cha kuwa na Imani nani kabeba matarajio ya wapiga kura na wananchi Kwa ujumla.
Vyama vya upinzani...
Wakuu mambo ni vipi?
Leo nilikuwa naomba kuuliza hivi ni lazima kumshukuru mtu ambaye umemuajiri?
Wakati anafanya kazi na unamlipa pesa yake?
Sikatai mtu kupongezwa Lakini inapozidi inashusha...
Hii ndio ranking kwa mtazamo wangu kulingana na aina ya speech.
General Speech
1. Mkapa
2. Magufuli
3. JK
4. Mwinyi
5. Samia
Speech za mipango na maendeleo
1. Magufuli
2. Mkapa
3. Kikwete
4...
Mikataba mingapi ya ujenzi ilisainiwa na Profesa Mbarawa mwaka jana 2023?
Je, mikataba inasaiwa hadharani Tanzania kweli kuna vituko.
Sijui ataendelea na mchezo huu huko Mawasiliano.
Ni mingapi...
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema chama hicho kilifahamu kuwa Lazaro Nyalandu na Seleman Mathew, ambao wote walikuwa wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho, wangeondoka kutokana na...
Waziri wa Mambo ya nje wa Afrika Kusini Naledi Pandor amesema kuwa raia wa taifa hilo wanaopigania Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) huko Gaza watakamatwa watakaporejea nchini humo, shirika la...
Na. M. M. Mwanakijiji...
Alipozungumza Jana Rais Samia kuhusu kukosa usingizi kunakomkuta kama Rais unaweza kudhani roho ya Magufuli ilimuingia ghafla. Yaani, maneno yake ukiyaweka kwa sauti na...
Akiwaapisha Viongozi aliowateua Rais Samia amesikika akisema Kwa miaka hii 3 Serikali yake imekopa sana Kwa Ajili ya Huduma za jamii ila Sasa wanaenda kupunguza kukopa.
Kwa haraka haraka Kwa mtu...
Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amesema tukiruhusu gharama za Uchaguzi zibebwe na mgombea peke yake basi Matajiri wenye fedha watanunua uongozi.
Tena Watu Wenye Fedha na Marafiki zao ndio...
ACT Wazalendo tumeguswa na taharuki za wananchi kutokana na taarifa za utata juu ya upatikanaji wa huduma za afya kupitia Mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF). Wiki ya kwanza ya mwezi Machi, 2024...
TAFAKURI KWA WANAWAKE WOTE JESHI LA DR SAMIA
📌 Dar es salaam, 📝 29/01/2024
Wanawake wa mkoa wa Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan, Mwanamama...
Na Saidina Msangi na Joseph Mahumi, WF, Dodoma
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania ni nchi ya mfano Afrika kwa kutimiza viashiria vya Malengo ya Milenia...