Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwenye fomu ya CCM ya kuomba kugombea ubunge kuna kipengele kinachotamka kuwa umekifanyia nini chama.Jibu la hapo ni lazima uwe umefanya kitu kama mwana CCM kimojawapo ni kusaidia kutatua kero ya...
0 Reactions
8 Replies
469 Views
Nawashukuru nyote kwa salamu za kheri na upendo katika kumbukizi ya miaka mitatu toka nilipoapa kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwenyezi Mungu...
4 Reactions
58 Replies
3K Views
Mimi nafikiri matatizo ya nchi yetu ni makubwa kuliko tunavyofikiria. Yapo kila kona, si tu katika siasa. Kama daktari anaweza akamfanyia mtu upasuaji wa kichwa badala ya mguu, hivi jamani utasema...
-2 Reactions
100 Replies
17K Views
Wakati wa Kampeni cha Uchaguzi, baadhi ya Wagombea hutumia mbinu za kuzusha Uongo kwa kuwadanganya Wananchi ili kuongeza Ushawishi wa Kuchaguliwa Je, Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa...
2 Reactions
40 Replies
1K Views
Je ni sahihi wananchi kujichukulia sheria mkononi wakamuua RPC wa Arusha? Kama sio sahihi basi tunataka kuona askari wa usalama barabarani Arusha waliojichukulia sheria mkononi kwa kumuua Omari...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwamba pamoja na maandiko yake yenye akili yaliyoenda shule na ambayo huwa ni msaada mkubwa kwa serikali. Bado huwa hateuliwi. Lakini cha ajabu member wengi wa JF ambao ni pro-Chadema huwa...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu bado yuko Mkoani Morogoro kwa ziara ya Kikazi, ambapo leo ni zamu ya Kilosa. Mengi yanaongelewa kwenye Mkutano huo, lakini kwa...
16 Reactions
98 Replies
6K Views
Watanzania tuachane na mentality za kijamaa zakuwapa majimbo watu wasio na nyumba wala utajiri wowote. Tuwakatae watu wasio na business mind kuongoza nafasi za kisiasa nchini kwetu. Kuendelea...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Wizara ya TAMISEMI ni Injini ya Taifa letu. Hii Wizara inamgusa kila mwananchi. Asilimia zaidi ya 60 ya Watumishi wa Umma wanasimamiwa na TAMISEMI. Sasa Wizara hii ikiongea ujue kuna jambo na leo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Serikali mkoani Pwani nchini Tanzania yatoa tahadhari kwa wakaazi na wakulima waliopo katika bonde la mto Rufiji Mh. Abubakar Kunenge mkuu wa mkoa wa Pwani amesema taarifa hiyo muhimu ni kuweka...
7 Reactions
33 Replies
5K Views
TRA Tanzania hii hoja naiweka mezani kwenu. Mnakusanya kodi kwa niaba yetu ili tuweze kuwekeza kwenye maendeleo ya nchi. Lakini sasa, serikali inashindwa kuprovide umeme wa uhakika na kupelekea...
12 Reactions
35 Replies
2K Views
Wadau nawasalimu. Kwa wale wenye kumbukumbu nzuri hayati Samweli Sitta alikuwa mwenyekiti wa bunge la katiba na Rais Samia alikuwa Makamu mwenyekiti wa bunge la Katiba. Binafsi baada ya Rais...
0 Reactions
0 Replies
444 Views
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora. Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele...
13 Reactions
145 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa Taarifa ya Fedha ya NSSF kufikia Juni 30, 2023! 1. Mikopo Miradi ya Serikali TZS 611bn 2. Mikopo kwa Wabunge TZS 1.2bn 3. Mikopo kwa Taasisi, Udhamini wa Serikali TZS 89bn 4. Mikopo...
0 Reactions
2 Replies
486 Views
"Tofauti na kipindi kilichopita, awamu hii ya Rais Samia tumeona watu wanaruhusiwa wanaandamana barabarani, mama ameruhusu na anawapa na ulinzi kwa sababu mama anajiamini, Mheshimiwa Rais Samia...
14 Reactions
181 Replies
11K Views
Labda tukiondoa Korea kaskazini, Tanzania inaweza ikawa nchi inayofuatia kwa kuwa na media ambazo kazi yao kubwa ni kumsifia rais. Ukiangalia magazeti karibu tote, radio na TV station yote ni...
0 Reactions
1 Replies
331 Views
1. Magufuli aliomba akafie nyumbani kwake, maana alisema hawezi kupona. 2. Alishangaa nilipomwambia sina mamlaka ya kuruhusu hilo. 3. Aliomba aitiwe Paroko wake, Pd Makubi na Kard. Pengo ambao...
26 Reactions
118 Replies
10K Views
Pamoja na kuwa na wabunge zaidi ya 300 Bungeni, lakini kutokana na CCM kuwa na uchakavu, bado kinamhitaji Humphrey Polepole kupokea Simu za wananchi, ili kiweze kuisimamia Serikali. AIBU SANA!!
15 Reactions
61 Replies
5K Views
Wakuu Kwema? Nimekutana na habari X huko inasema kutokana na Sera za PBS (Public Broadcasting Service) wanaofanya kipindi cha Royal Tour, Peter hakutakiwa kulipwa pesa yoyote kutoka serikali ya...
1 Reactions
5 Replies
741 Views
CCM sasa imetulia na Chama kimerejea kuwa kimoja baada ya ule mgawanyiko wa 2015 2025 Kazi imeshaisha sasa tunaangalia kuelekea 2030 Mungu wa mbinguni mbariki Dr Nchimbi
1 Reactions
7 Replies
659 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…