johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 78,152
- 128,395
Ni Wazi kabisa 2025 Serikali ya Mseto inanukia na CCM imeanza mazoezi kwa kuteua Naibu Waziri mkuu ambaye hapigiwi kura na Wabunge.
Japo haipo kikatiba lakini uwezekano mkubwa ni Vyama vya Upinzani kutoa Wabunge wengi kuliko CCM na hivyo maamuzi ya nani awe Waziri mkuu yatakuwa mikononi mwao, hivyo CCM wataweka Naibu Waziri mkuu wa kuteuliwa Moja kwa Moja na Rais.
Hivyo CCM watacheza kama walivyocheza Zanzibar ambako Makamu wa kwanza wa Rais ametoka Upinzani lakini hana Nguvu za kumzidi Makamu wa pili wa Rais anayetoka CCM.
CCM huwa wanaona mbali sana.
Mungu wa mbinguni aubariki Nusu Mkate 😄