Mbunge Ngassa: Wananchi Tuendelee Kushikamana, Maendeleo Hayana Njia ya Mkato

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,902
945

MBUNGE NGASSA: "WANANCHI TUENDELE KUSHIKAMANA , MAENDELEO HAYANA NJIA YA MKATO"

"... Mwaka 2021 baada ya Uchaguzi Mkuu Nilikuja kufanya Mkutano wa kushukuru hapa kwenye Kijiji chenu, Nikawaahidi kukamilisha Ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi katika kuunga mkono nguvu zenu Wananchi. Ninafarijika Leo tunaweka Jiwe la Msingi la uzinduzi na sasa Mwalimu Mkuu Wetu hatalala kwenye Nyumba ya awali ile ya nyasi iliyosambaa mitandaoni Mwaka jana ...."

"... Tumeshikamana , Tumejenga Nyumba ya kisasa ambayo ni kielelezo cha mshikano wa Mbunge, Serikali ya Kijiji na Wananchi..."

NICHOLAUS GEORGE NGASSA
MBUNGE WA JIMBO LA IGUNGA
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-09-18 at 09.56.50.jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-18 at 09.56.50.jpeg
    98.7 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-09-18 at 09.56.51.jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-18 at 09.56.51.jpeg
    71.3 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-09-18 at 09.56.48.jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-18 at 09.56.48.jpeg
    89.6 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-09-18 at 09.56.46(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-18 at 09.56.46(1).jpeg
    73.4 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-09-18 at 09.56.46.jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-18 at 09.56.46.jpeg
    100.1 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-09-18 at 09.56.45.jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-18 at 09.56.45.jpeg
    83.7 KB · Views: 2

Similar Discussions

Back
Top Bottom