Gambo: Wateule ndio Wajipendekeze kwa aliyewateua lakini Sisi Wabunge tujipendekeze na kujikomba kwa Wananchi waliotuchagua!

Mbunge wa Arusha mjini ameseme Wabunge ni sharti wajikombe na kujipendekeza kwa Wananchi waliowachagua ila Wateuliwa ndio watajipendeza na kumuimbia mapambio aliyewateua

Hiyo ndio dhana ya mihimili ya Dola Bunge, Mahakama na Executive

Source: Global tv
Huyu ajipendekeze Sasa 2025 harudi ....akaombe huruma apewe RC
 
Mbunge wa Arusha mjini ameseme Wabunge ni sharti wajikombe na kujipendekeza kwa Wananchi waliowachagua ila Wateuliwa ndio watajipendeza na kumuimbia mapambio aliyewateua

Hiyo ndio dhana ya mihimili ya Dola Bunge, Mahakama na Executive

Source: Global tv
alikuaga na misifa, majivuno, ubabe na kiburi mingi sana wakati wake huyu chalii saivi anaona wivu
 
Mbunge wa Arusha mjini ameseme Wabunge ni sharti wajikombe na kujipendekeza kwa Wananchi waliowachagua ila Wateuliwa ndio watajipendeza na kumuimbia mapambio aliyewateua

Hiyo ndio dhana ya mihimili ya Dola Bunge, Mahakama na Executive

Source: Global tv

Gambo ni fala fulani hivi, bahati nzuri sana Mama Samia analijua hicho kijamaa cha hovyo, hivi unajua maana ya kujipendekeza? Neno kama hilo eti mbunge wa CCM anasema wazi wazi kwa wakubwa wake yaani wateule wa Mh. Rais wanajipendekeza kwake, hii ni dharau sana, pumbaf Gambo
 
Huu ni utawala uliofitinika
 
Sina neno ila hilo ni dharau kwa mh Rais kwamba anateua watu wanaojipendekeza .sijui kwanini ametamka hayo maneno? Kwamba yeye aliteuliwa u DC na U RC kwa kujipendekeza na siyo uwezo wa kuwatumikia wananchi wa wilaya na mikoa husika? Kwamba mawaziri wetu na baraza zima la mawaziri limeteuliwa kwa kushindana kujipendekeza kwa mh Rais na siyo uwezo wa waziri mmoja mmoja katika kumudu majukumu ya wizara? Kwamba kinachokupa uongozi wa kuteuliwa ni kujioendekza? Kwamba anawaambia hata wageni au wawekezaji kuwa Tanzania viongozi wake wanaoteuliwa hawana uwezo bali ni kwa kuwa walishinda katika mbio ndefu na fupi za kujipendekeza?

Sijajua Gambo anaichukuliaje serikali yetu na anajiona yeye nani sijui?

Sawa ngoja nitulie tu Haina shida ,ila sikio haliwezi kuzidi kichwa. Hekima ni kujuwa uongee nini ,wapi na kwa nini. Kuna mambo siyo lazima uongee na pia siyo lazima uongee wakati wote na kuna wakati hata ukipewa nafasi ya kuongea siyo lazima uongee kama huna neno la kuongea waweza salimia tu na kuachia maiki.

Kazi iendelee ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom