Nimegundua, viongozi wa Serikali yetu hawana huruma hata kidogo kwa Wananchi

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
2,626
3,141
1. WABUNGE waliotakiwa kuwa watetezi wa Wananchi, wao wanakuwa watetezi wa mhimili wa Serikali.

2. Rais ambaye ni Kiongozi wa Serikali ambaye alitakiwa kutowabagua watumishi wake wa Serikali pamoja na Wananchi wote, yeye anaruhusu:-

I. Wabunge kujiongezea posho na mishahara mikubwa huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. kubaki kama walivyo.

II. Wateule wake kupata facilities nyingi kama vile Magari ya gharama kubwa, makazi, vyakula (Ma DC na Ma RC nk.) huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. wakijitegemea kwa kila kitu kuanzia makazi, vyakula, usafiri, matibabu nk.

Hii haikubaliki hata kidogo. Wakati huu ni lazima makundi yote yapewe haki sawa.
Haiwezekani Genge la watu wachache linapewa kipaumbele kuliko kundi jingine. Ni muhimu sana viongozi wetu wasijifanye wafalme huku jamii kubwa ya Watanzania wakiishi maisha magumu kuwahi kutokea.
 
Hawa hapa 20230917_175439.jpg
20230917_175439.jpg
 
Hii haikubaliki hata kidogo. Wakati huu ni lazima makundi yote yapewe haki sawa.
Haiwezekani Genge la watu wachache linapewa kipaumbele kuliko kundi jingine. Ni muhimu sana viongozi wetu wasijifanye wafalme huku jamii kubwa ya Watanzania wakiishi maisha magumu kuwahi kutokea.
Wanasema Managers ndiyo watu muhimu kwenye kampuni na wanastahili 60% ya maslahi kwa sababu wakilegea wao kampuni inayumba!!!

Majibu hayakosekani. Lakini majibu yachujwe!
 
1. WABUNGE waliotakiwa kuwa watetezi wa Wananchi, wao wanakuwa watetezi wa mhimili wa Serikali.

2. Rais ambaye ni Kiongozi wa Serikali ambaye alitakiwa kutowabagua watumishi wake wa Serikali pamoja na Wananchi wote, yeye anaruhusu:-

I. Wabunge kujiongezea posho na mishahara mikubwa huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. kubaki kama walivyo.

II. Wateule wake kupata facilities nyingi kama vile Magari ya gharama kubwa, makazi, vyakula (Ma DC na Ma RC nk.) huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. wakijitegemea kwa kila kitu kuanzia makazi, vyakula, usafiri, matibabu nk.

Hii haikubaliki hata kidogo. Wakati huu ni lazima makundi yote yapewe haki sawa.
Haiwezekani Genge la watu wachache linapewa kipaumbele kuliko kundi jingine. Ni muhimu sana viongozi wetu wasijifanye wafalme huku jamii kubwa ya Watanzania wakiishi maisha magumu kuwahi kutokea.
Hakuna anayejali hata mahakama tunayokimbilia si unaona ya Mbeya?
 
Nani aonee huruma nyani?

1694971933188.png
 
Ongeza na hii!....... Serikali kununua mabehewa chakavu na kuyakarabati eti bado yana hali nzuri ili yatumike kwenye reli mpya ya SGR_TZ wakati magari ya mawaziri wabunge na kadha... wakiagiza ma VX ya bei mbaya tena mapya.

**Wenza wa marais wastaafu, walipwe mafao pia huku wale wazee kule Shinyanga wakihangaikia mlo wa siku moja chini ya Serikali hii hii. 🫢
 
Hawana huruma kabisaaa na wanajali maisha yao.

Mimi nimelionaga hili muda sanaaaa.Watakuja na maneno mengiii like wanawajali kumbe ni uongo tu
 
1. WABUNGE waliotakiwa kuwa watetezi wa Wananchi, wao wanakuwa watetezi wa mhimili wa Serikali.

2. Rais ambaye ni Kiongozi wa Serikali ambaye alitakiwa kutowabagua watumishi wake wa Serikali pamoja na Wananchi wote, yeye anaruhusu:-

I. Wabunge kujiongezea posho na mishahara mikubwa huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. kubaki kama walivyo.

II. Wateule wake kupata facilities nyingi kama vile Magari ya gharama kubwa, makazi, vyakula (Ma DC na Ma RC nk.) huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. wakijitegemea kwa kila kitu kuanzia makazi, vyakula, usafiri, matibabu nk.

Hii haikubaliki hata kidogo. Wakati huu ni lazima makundi yote yapewe haki sawa.
Haiwezekani Genge la watu wachache linapewa kipaumbele kuliko kundi jingine. Ni muhimu sana viongozi wetu wasijifanye wafalme huku jamii kubwa ya Watanzania wakiishi maisha magumu kuwahi kutokea.
Ongezea na hii kwa sasa wenza wa viongozi nao wana lambishwa asali ..... walimu , madactari, nabwatumishi wengine kama jeshi la polisi , samalekooo ......tuna safari ndefu sana yani mpaka akili zitukae sawa tutakuwa tumepigika sana
 
1. WABUNGE waliotakiwa kuwa watetezi wa Wananchi, wao wanakuwa watetezi wa mhimili wa Serikali.

2. Rais ambaye ni Kiongozi wa Serikali ambaye alitakiwa kutowabagua watumishi wake wa Serikali pamoja na Wananchi wote, yeye anaruhusu:-

I. Wabunge kujiongezea posho na mishahara mikubwa huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. kubaki kama walivyo.

II. Wateule wake kupata facilities nyingi kama vile Magari ya gharama kubwa, makazi, vyakula (Ma DC na Ma RC nk.) huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. wakijitegemea kwa kila kitu kuanzia makazi, vyakula, usafiri, matibabu nk.

Hii haikubaliki hata kidogo. Wakati huu ni lazima makundi yote yapewe haki sawa.
Haiwezekani Genge la watu wachache linapewa kipaumbele kuliko kundi jingine. Ni muhimu sana viongozi wetu wasijifanye wafalme huku jamii kubwa ya Watanzania wakiishi maisha magumu kuwahi kutokea.
pole ndo unagundua leo
 
Ingawa umechelewa kung'amua hilo, lkn ndo ukwel ishi nalo hilo!!
 
Hatuna viongozi wa kweli, hapa tuna majizi,matapeli na majambazi ya haki za watu. Wanatuona nyani
 
Back
Top Bottom