Kurudisha Kadi za CCM kwa kuzitupia kwenye kigunia au Kuzomea Wabunge ni Uchochezi, Polisi waingilie Kati!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,142
Haiwezekani Mbunge anahutubia halafu Kikundi cha watu wachache wanaanza kumzomea, huku ni kuchochea machafuko

Au Mtu kachukulia Kadi yake ya CCM kwenye Ofisi ya Tawi then anakuja kuirudisha kwenye Mkutano wa hadhara tena kwa kuitupa tu kwenye kigunia kilichotandikwa chini, huu ni udhalilishaji wa Taasisi na haikubaliki

Nashauri Jeshi la Polisi lianze kuwashughulikia Wakosa adabu wa namna hii

Hata hivyo Nawatakia Dominica njema 😀🌟

Kwa Mara ya 5 Umetangazwa Leo!
 
Hata hivyo Nawatakia Dominica njema

Kwa Mara ya 5 Umetangazwa Leo!
Hahaha, bwashee umeumia sana kadi kutupwa kwenye kigunia,

Zingekuwa za mtaa wa ufipa usingewaka hivi,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Haiwezekani Mbunge anahutubia halafu Kikundi cha watu wachache wanaanza kumzomea, huku ni kuchochea machafuko

Au Mtu kachukulia Kadi yake ya CCM kwenye Ofisi ya Tawi then anakuja kuirudisha kwenye Mkutano wa hadhara tena kwa kuitupa tu kwenye kigunia kilichotandikwa chini, huu ni udhalilishaji wa Taasisi na haikubaliki

Nashauri Jeshi la Polisi lianze kuwashughulikia Wakosa adabu wa namna hii

Hata hivyo Nawatakia Dominica njema 😀🌟

Kwa Mara ya 5 Umetangazwa Leo!
Mjinga apuuzwe huyu
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna akili ujue wewe kadi ni mali yake binafsi kama haitaki usimpangie cha kuifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiwezekani Mbunge anahutubia halafu Kikundi cha watu wachache wanaanza kumzomea, huku ni kuchochea machafuko

Au Mtu kachukulia Kadi yake ya CCM kwenye Ofisi ya Tawi then anakuja kuirudisha kwenye Mkutano wa hadhara tena kwa kuitupa tu kwenye kigunia kilichotandikwa chini, huu ni udhalilishaji wa Taasisi na haikubaliki

Nashauri Jeshi la Polisi lianze kuwashughulikia Wakosa adabu wa namna hii

Hata hivyo Nawatakia Dominica njema 😀🌟

Kwa Mara ya 5 Umetangazwa Leo!
Ukute huna sadaka NDIO maana unaandika haya
 
Muliwapa kadi mbele ya polisi, kwa kiapo kutorudisha kamwe bora wachome kimyakimya, wafanye mgomo usiowatesha niyie watesaji?

Mimi naona bora hivyo ujumbe unafika na matumaini ya wanaojiongezea 40% wanapata ujumbe wa motomoto kwamba hela inaweza wakimbia mara tu.

Yamkini polisi nao wanafurahi kuona hali hiyo ili wapate nafuu ya maisha aidha ni kifungu gani cha sheria kinasema uchochezi jinai? Au hamasa linawaza geuzwa kuwa uchochezi?
 
Haiwezekani Mbunge anahutubia halafu Kikundi cha watu wachache wanaanza kumzomea, huku ni kuchochea machafuko

Au Mtu kachukulia Kadi yake ya CCM kwenye Ofisi ya Tawi then anakuja kuirudisha kwenye Mkutano wa hadhara tena kwa kuitupa tu kwenye kigunia kilichotandikwa chini, huu ni udhalilishaji wa Taasisi na haikubaliki

Nashauri Jeshi la Polisi lianze kuwashughulikia Wakosa adabu wa namna hii

Hata hivyo Nawatakia Dominica njema 😀🌟

Kwa Mara ya 5 Umetangazwa Leo!
Itakuwa matumizi mabaya ya vyombo vya dola, Kwani kuna utaratibu ulio rasmi wa kupokea na kurudisha kadi? 😲
 
Haiwezekani Mbunge anahutubia halafu Kikundi cha watu wachache wanaanza kumzomea, huku ni kuchochea machafuko

Au Mtu kachukulia Kadi yake ya CCM kwenye Ofisi ya Tawi then anakuja kuirudisha kwenye Mkutano wa hadhara tena kwa kuitupa tu kwenye kigunia kilichotandikwa chini, huu ni udhalilishaji wa Taasisi na haikubaliki

Nashauri Jeshi la Polisi lianze kuwashughulikia Wakosa adabu wa namna hii

Hata hivyo Nawatakia Dominica njema

Kwa Mara ya 5 Umetangazwa Leo!
Kwani Mama bado hajawapa Polisi Ile Bilioni 125 ya mapambano ya uchaguzi!
Hawana adabu hawa Wananchi,unatupaje kadi ya chama tawala chini,pumb*vu zao!
 
Back
Top Bottom