Bandari; vita za mafisadi, kutafuta nguvu na kinga ya kutoshtakiwa

Jul 3, 2022
47
81
Hakuna kazi ngumu duniani kama kutetea udhaifu, inahitaji kiwango f'lani cha upumbavu na kujitoa ufahamu ili ueleweke kwa waliochagua kuamini na kuuelewa upumbavu wako!Mungu aingilie kati.

Kuna mtu amepewa kazi ya kuwa na mdomo wa moto kutetea waramba nyayo wenye matumbo yasiyoshiba!Amechagua kuwa mjinga ili hali ana akili timamu, amechagua kuwa kipofu ili hali anaona mpaka yasiyoonekana lakini ameamua kujenga himaya yale ya upumbavu Ili mradi akaunti yake ijae mshahara wa dhulma.Asije kusema anayoyanena leo na kuyatetea alikuwa amelewa!

Ghafla nimemkumbuka Chifu Makoko wa misitu ya Congo na Carl de brazza, hahaha!Alisaini mkataba wa miaka 200 kuruhusu wachimbe madini.

Aaah!!Halafu nimemuonea huruma Chifu Mangungo wa msovero usagara tunamtukana bure tu, hapa ndipo wenye hekima wanaposema usiseme ukamaliza.Tulimsema yule mzee ambae hajawahi kukaa darasani leo hii tunaona aibu!Waliokaa darasani wanafanya mambo ya ajabu hadi shetani anasikitika kwa huzuni, ama kweli Plato hakukosea aliposema "kuna karne inakuja ya wajinga kuwa viongozi na werevu kuwa wafuasi" sijui ishafika?

Huwezi kumtenganisba Rais Samia na hiki kinachoendelea kuhusu bandari, labda uwe mnafki tu!Serikali yake imeshindwa kusimamia bandari kama serikali zingine zilizopita.Suluhisho ndio hili kumletea mwekezaji kwa hoja bandarini kuna wizi, rushwa, kukwepa kodi, ufisadi na matokeo yake ni hasara zinazotajwa na CAG.

Sawa, mwenye mamlaka ya kuondoa wizi, ufisadi, kukwepa kodi na upigaji ni nani?Ana TAKUKURU, DPP, TANPOL, JWTZ, TISS MPAKA MAGEREZA.Kwamba hivi vyombo vyote vimeshindwa kumsaidia?Kama amejua kuna madudu yote ameshindwaje kuwajua wanaofanya na kuleta hayo madudu?Bonyeza +255 upate vichekesho vya taifa lenye watu wanaopaswa kuondoa mashangazo lakini na wao wanashangaa.

Ukitaka kutatua tatizo anza kwenye mzizi wa tatizo ng'oa yote lakini serikali yake imeamua kukata matawi!Kama TICTS walikuwepo wakahujumiwa hao DP-WORLD ndio hawata hujumiwa!?Yaani unatoa masuluhisho kwa tatizo ambalo waanzilishi na play maker wa kutengeneza tatizo wanadunda mitaani?Mtawalinda DP-World kwa kubadili sheria na kuwapa mamlaka yote ila kwa ninavyoijua hii nchi japo kwa uchache sana huko mbele ya safari yakibainika madudu tutaambiwa Kuna watu wanaihujumu DP-World wakati Leo wako bize kubadili sheria na kuvunja katiba kumlinda mwekezaji halafu mzalisha tatizo anaachwa mtaani.

Kila likiibuka tatizo halikosi suluhisho ndivyo ambavyo kila likiletwa suluhisho tatizo jipya lazima liibuke au litengenezwe ili wanufaika wa tatizo waendelee kunufaika tu!Tusubiri, suluhisho la upigaji bandarini si DP-World?Sawa si mmeamua kuwaacha "Watengeneza matatizo"? Na wao wapo kazini kuleta tatizo jipya ambalo DP-World litawashinda na upigaji utarudi tena unaweza kuwa upigaji mkubwa zaidi ya huu wa sasa.

Inachekesha kulijua tatizo halafu ushindwe kumjua mleta tatizo.Inatia hasira kali mtu ana mamlaka na kila kitu halafu anashindwa kushugulika na wazalisha tatizo, sasa sisi wananchi tusio na chochote kile tunawezaje kulitatua?Yeye ana TAKUKURU, TISS, DPP,TANPOL,JWTZ na MAGEREZA ameshindwa washughulikia wapigaji bandarini halafu sisi wenye midomo ya kulalama tu tufanyaje?

Ukweli ni kwamba serikali ya Rais Samia imeshindwa kuendesha bandari sababu inashindwa kuwachukulia hatua wanaojipigia madili kila uchwao.Kuwaleta DP-WORLD ni sawa na kuzuia moto usisambae kwa kuufunika baadae funiko litashika moto mshindwe hata kulitoa Ili mzime moto wenyewe.Tujipe subira tu.

Kuna watu wanadai hii ni vita ya kiuchumi wako sahihi lakini hii vita tutazame sana.Wanaopinga mkataba wanaitwa wamelipwa na wapigaji kukwamisha maendeleo,sasa kama mnawajua wanaolipa watu pesa ili maendeleo yapingwe Kwa nini msiwakamate mkawachukulia hatua?Mnaishia kuhangaika na wakosoaji Ili hali maadui zenu mnawajua na kama hao wakosoaji ndio wanufaika wa upigaji mnashindwa nini kuwachukulia hatua?kuna mambo yanatia maudhi na hasira nyingi sana mwisho wa siku ndio tunaanza kubaguana kidini, kikabila na kikanda.

Sijui kwa nini hayasemwi haya?

Haya tuyaitayo "makubaliano" na sio mkataba, yana nguvu sana.Kivipi?Hiyo mikataba ya kiutendaji bandarini itakuja kutengenezwa na kuandaliwa kwa kufuata haya "makubaliano"ndio maana watu wanapiga kelele yarekebishwe sababu wanajua kifuatacho.Hata Rais, waziri na wote waliosaini wanayajua haya ila wanajua wenyewe kinachowafanya wasisikilize watu.

Nguvu ya haya makubaliano tutaiona siku mikataba ya kiutendaji ikisainiwa halafu ikabainika ni ya hovyo ndipo usishangae wakaja kusema "Hii mikataba imeandaliwa na kusainiwa kwa kufuata makubaliano haya ambayo leo wanatuaminisha hayana nguvu" Tujipe subira muda ni hakimu mzuri.

Kwenye nchi za kiafrika viongozi wakuu wanatabia za kutafuta nguvu kutoka nje simnajua tuna uhuru wa bendera eeh!?Katika kutafuta nguvu huko Ili wawe na "Final Say" kwa kila jambo bila kupingwa hufanya haya.

Anatafutwa Capitalists mwenye kauli na nguvu almost hawatoki nje ya "Western Capitalist" anakatiwa litenda likubwa kwenye rasilimali za nchi kwa malipo ya kumkingia kifua wananchi wakianza nongwa.

Kwenye kukwiba mali za umma, almost hii mikataba ya hovyo huwa kuna maslahi viongozi wakuu wanapata ndio maana wanatia pamba hawasikii la kuambiwa sababu anajua na yeye ana pasenteji yake.Ukitaka kuamini haya angalia nguvu kubwa inayotumika mpaka kubadili sheria za nchi kisa muwekezaji alindwe.

Viongozi wenye tamaa siku zote atatafuta nguvu nje ili kupambana na wale seniors wa ndani ambao anajua hawezi kuwashinda sababu wako kwenye Game la ujambazi kitambo tu tena wako smart na "well organized" kutetea interest zao yaani ukiwagusa tu wanaruka na wewe!Huku kutafuta nguvu kutoka nje ndio huleta majanga ya maslahi ya nchi kuwekwa rehani na inatokeaga sababu katiba nyingi za kiafrika zina sifa ya kuwalinda watawala kwamba lolote afanyalo hataguswa.

Tunaaminishana hapa sijui kuna vita ya kiuchumi na mengine kibao, ni kweli vita ya kiuchumi ipo tena kali sana. Ila kuna vita nyingine hii hapa inaendelea kama ukiwa na jicho la tatu na mlango wa sita wa fahamu katika kung'amua mambo utakua umeshaiona .

Kuna kiongozi wa juu anazidiwa kete na seniors waliopo kwenye game la upigaji yaani wapo kama kivuli uendapo wapo na kila anapogusa anawakuta wame chill long time ago.Anataka uhuru na yeye awe na final say bila kuingiliwa na hawa seniors kwamba na yeye awe na dili zake na katika kutafuta huo uhuru rasilimali za nchi ndio hizo kama mzionavyo kama biashara za online nipe nikupe tu!

Mafisadi wapo serikalini na serikali inawajua ila wanawaingiaje?wakati hata hao tunaotegemea wawachukulie hatua ukifatilia Deep down nao wana machafu yao ambayo mafisadi wanayajua so kila mmoja ana udhaifu wa mwenzake kinachofata hapa ni kulindana tu.

Hapa kwetu kuna"wachafu" wanapewa mamlaka ya kushughulikia "wachafu" wenzao mbaya zaidi wanajuana kuwa wote ni wachafu halafu "wasafi" wanasubiri wachafu washughulikiane hahahahaha!!

Kinga ya KUTOSHTAKIWA inazalisha viongozi wasiojali wanafanya lolote sababu hawataguswa, nawaza tu siku akaingia mtu akafuta hiyo kinga sijui itakuwaje?Najaribu kuwaza tu ingawa sio rahisi kama wananchi ndio sisi tukitishiwa kuchapwa viboko na wapuuzi tunaingia mitini sembuse tumpate huyo mtu?

Ukikutana na mtu tena mwanaume anakwambia eti sakata la bandari shida ni washauri kwamba wamemdanganya rais dear friend tilia mashaka uanaume wake.Kwamba anaamini rais alisaini hiyo MoU bila kujua yaliyomo?Ok sawa alikuwa hajui sasa wataalamu wanamjulisha mbona anashupaza shingo na ndio kwanza miswada ya kubadili sheria inapelekwa bungeni kulinda mkataba.

Donald Trump aliwahi kusema
"Changamoto ya dunia ya sasa ni kwamba wenye AKILI wanajitenga na siasa na kuwaacha WAJINGA wafanye maamuzi ya kila kitu juu ya maisha ya wajinga na wenye akili"

Nina hofu kuna sauti za watu zitanyamazishwa mazima kisa hili sakata, tuendeleee kupaza sauti kupinga huku tukiendelea na maombi.

Mungu aingilie kati.
____________________________
There is a story in everything
 
Samia kwa hili la bandari na kuendelea kwake kulifumbia macho amejipambanua kama kiongozi katili kwa kuachwa wanaopinga watishwe bila kusema neno lolote, jeuri alivyosema ameziba masikio, na msaliti kwa kwenda kinyume na sheria zetu zinavyotaka kuhusu wageni kuwekeza nchini petu.

Kwa sifa hizo hapo juu, anaonesha wazi vile hafai kuwa kiongozi wa Tanganyika, kwasababu hawasikilizi watanganyika anaowaongoza, yeye anafuata alichokubaliana na wajomba zake wa kiarabu, anaogopa kuonekana kigeugeu kwa wajomba ilimradi atutoe sadaka watanganyika na bandari zetu zote, HATUFAI.
 
CCM inatekeleza ilani yake wewe unakereka nini?
wacha kazi iendelee
wewe kama ni Chadema kaa kimya.
 
Mm n familia yangu pamoja na ukoo wangu tunataka bandari yetu.
Asante
 
Hakuna kazi ngumu duniani kama kutetea udhaifu, inahitaji kiwango f'lani cha upumbavu na kujitoa ufahamu ili ueleweke kwa waliochagua kuamini na kuuelewa upumbavu wako!Mungu aingilie kati.

Kuna mtu amepewa kazi ya kuwa na mdomo wa moto kutetea waramba nyayo wenye matumbo yasiyoshiba!Amechagua kuwa mjinga ili hali ana akili timamu, amechagua kuwa kipofu ili hali anaona mpaka yasiyoonekana lakini ameamua kujenga himaya yale ya upumbavu Ili mradi akaunti yake ijae mshahara wa dhulma.Asije kusema anayoyanena leo na kuyatetea alikuwa amelewa!

Ghafla nimemkumbuka Chifu Makoko wa misitu ya Congo na Carl de brazza, hahaha!Alisaini mkataba wa miaka 200 kuruhusu wachimbe madini.

Aaah!!Halafu nimemuonea huruma Chifu Mangungo wa msovero usagara tunamtukana bure tu, hapa ndipo wenye hekima wanaposema usiseme ukamaliza.Tulimsema yule mzee ambae hajawahi kukaa darasani leo hii tunaona aibu!Waliokaa darasani wanafanya mambo ya ajabu hadi shetani anasikitika kwa huzuni, ama kweli Plato hakukosea aliposema "kuna karne inakuja ya wajinga kuwa viongozi na werevu kuwa wafuasi" sijui ishafika?

Huwezi kumtenganisba Rais Samia na hiki kinachoendelea kuhusu bandari, labda uwe mnafki tu!Serikali yake imeshindwa kusimamia bandari kama serikali zingine zilizopita.Suluhisho ndio hili kumletea mwekezaji kwa hoja bandarini kuna wizi, rushwa, kukwepa kodi, ufisadi na matokeo yake ni hasara zinazotajwa na CAG.

Sawa, mwenye mamlaka ya kuondoa wizi, ufisadi, kukwepa kodi na upigaji ni nani?Ana TAKUKURU, DPP, TANPOL, JWTZ, TISS MPAKA MAGEREZA.Kwamba hivi vyombo vyote vimeshindwa kumsaidia?Kama amejua kuna madudu yote ameshindwaje kuwajua wanaofanya na kuleta hayo madudu?Bonyeza +255 upate vichekesho vya taifa lenye watu wanaopaswa kuondoa mashangazo lakini na wao wanashangaa.

Ukitaka kutatua tatizo anza kwenye mzizi wa tatizo ng'oa yote lakini serikali yake imeamua kukata matawi!Kama TICTS walikuwepo wakahujumiwa hao DP-WORLD ndio hawata hujumiwa!?Yaani unatoa masuluhisho kwa tatizo ambalo waanzilishi na play maker wa kutengeneza tatizo wanadunda mitaani?Mtawalinda DP-World kwa kubadili sheria na kuwapa mamlaka yote ila kwa ninavyoijua hii nchi japo kwa uchache sana huko mbele ya safari yakibainikaadudu tutaambiwa Kuna watu wanaihujumu DP-World wakati Leo wako bize kubadili sheria na kuvunja katiba kumlinda mwekezaji halafu mzalisha tatizo anaachwa mtaani.

Kila likiibuka tatizo halikosi suluhisho ndivyo ambavyo kila likiletwa suluhisho tatizo jipya lazima liibuke au litengenezwe ili wanufaika wa tatizo waendelee kunufaika tu!Tusubiri, suluhisho la upigaji bandarini si DP-World?Sawa si mmeamua kuwaacha "Watengeneza matatizo"? Na wao wapo kazini kuleta tatizo jipya ambalo DP-World litawashinda na upigaji utarudi tena unaweza kuwa upigaji mkubwa zaidi ya huu wa sasa.

Inachekesha kulijua tatizo halafu ushindwe kumjua mleta tatizo.Inatia hasira kali mtu ana mamlaka na kila kitu halafu anashindwa kushugulika na wazalisha tatizo, sasa sisi wananchi tusio na chochote kile tunawezaje kulitatua?Yeye ana TAKUKURU, TISS, DPP,TANPOL,JWTZ na MAGEREZA ameshindwa washughulikia wapigaji bandarini halafu sisi wenye midomo ya kulalama tu tufanyaje?

Ukweli ni kwamba serikali ya Rais Samia imeshindwa kuendesha bandari sababu inashindwa kuwachukulia hatua wanaojipigia madili kila uchwao.Kuwaleta DP-WORLD ni sawa na kuzuia moto usisambae kwa kufunika baadae fukio litashika moto mshindwe hata kulitoa Ili mzime moto.Tujipe subira tu.

Kuna watu wanadai hii ni vita ya kiuchumi wako sahihi lakini hii vita tutazame sana.Wanaopinga mkataba wanaitwa wamelipwa na wapigaji kukwamisha maendeleo,sasa kama mnawajua wanaolipa watu pesa ili maendeleo yapingwe Kwa nini msiwakamate mkawachukulia hatua?Mnaishia kuhangaika na wakosoaji Ili hali maadui zenu mnawajua na kama hao wakosoaji ndio wanufaika wa upigaji mnashindwa nini kuwachukulia hatua?kuna mambo yanatia maudhi na hasira nyingi sana mwisho wa siku ndio tunaanza kubaguana kidini, kikabila na kikanda.

Sijui kwa nini hayasemwi haya?

Haya tuyaitayo "makubaliano" na sio mkataba, yana nguvu sana.Kivipi?Hiyo mikataba ya kiutendaji bandarini itakuja kutengenezwa na kuandaliwa kwa kufuata haya "makubaliano"ndio maana watu wanapiga kelele yarekebishwe sababu wanajua kifuatacho.Hata Rais, waziri na wote waliosaini wanayajua haya ila wanajua wenyewe kinachowafanya wasisikilize watu.

Nguvu ya haya makubaliano tutaiona siku mikataba ya kiutendaji ikisainiwa halafu ikabainika ni ya hovyo ndipo usishangae wakaja kusema "Hii mikataba imeandaliwa na kusainiwa kwa kufuata makubaliano haya ambayo leo wanatuaminisha hayana nguvu" Tujipe subira muda ni hakimu mzuri.

Kwenye nchi za kiafrika viongozi wakuu wanatabia za kutafuta nguvu kutoka nje simnajua tuna uhuru wa bendera eeh!?Katika kutafuta nguvu huko Ili wawe na "Final Say" kwa kila jambo bila kupingwa hufanya haya.

1.Anatafutwa Capitalists mwenye kauli na nguvu almost hawatoki nje ya "Western Capitalist" anakatiwa litenda likubwa kwenye rasilimali za nchi kwa malipo ya kumkingia kifua wananchi walianza nongwa.

2.Kwenye kukwiba mali za umma, almost hii mikataba ya hovyo huwa kuna maslahi viongozi wakuu wanapata ndio maana wanatia pamba hawasikii la kuambiwa sababu anajua na yeye ana pasenteji yake.Ukitaka kuamini haya angalia nguvu kubwa mpaka kubadili sheria za nchi kisa muwekezaji alindwe.

Viongozi wenye tamaa siku zote atatafuta nguvu nje ili kupambana na wale seniors wa ndani ambao anajua hawezi kuwashinda sababu wako kwenye Game la ujambazi kitambo tu tena wako smart na "well organized" kutetea interest zao yaani ukiwagusa tu wanaruka na wewe!Huku kutafuta nguvu kutoka nje ndio huleta majanga ya maslahi ya nchi kuwekwa rehani na inatokeaga sababu katiba nyingi za kiafrika zina sifa ya kuwalinda watawala kwamba lolote afanyalo hataguswa.

Tunaaminishana hapa sijui kuna vita ya kiuchumi na mengine kibao, ni kweli vita ya kiuchumi ipo tena kali sana. Ila kuna vita nyingine hii hapa inaendelea kama ukiwa na jicho la tatu na mlango wa sita wa fahamu katika kung'amua mambo.

Kuna kiongozi wa juu anazidiwa kete na seniors waliopo kwenye game la upigaji yaani wapo kama kivuli uendapo wapo na kila anapogusa anawakuta wame chill long time ago.Anataka uhuru na yeye awe na final say bila kuingiliwa na hawa seniors kwamba na yeye awe na dili zake na katika kutafuta huo uhuru rasilimali za nchi ndio hizo kama mzionavyo kama biashara za online nipe nikupe tu!

Mafisadi wapo serikalini na serikali inawajua ila wanawaingiaje?wakati hata hao tunaotegemea wawachukulie hatua ulifatilia Deep down nao Wana machafu yao ambayo mafisadi wanayajua so kila mmoja ana udhaifu wa mwenzake kinachofata hapa ni kulindana tu.

Hapa Kuna "Wachafu" anapewa mamlaka ya kushughulikia "Mchafu" mwezi mbaya zaidi wanajua kuwa wote ni wachafu halafu "wasafi" wanasubiri wachafu washughulikiane hahahahaha!!

Kinga ya KUTOSHTAKIWA inazalisha viongozi wasiojali wanafanya lolote sababu hawataguswa.

Ukikutana na mtu tena mwanaume anakwambia eti sakata la bandari shida ni washauri kwamba wamemdanganya rais dear friend tilia mashaka uanaume wake.Kwamba anaamini rais alisaini hiyo MoU bila kujua yaliyomo?Ok sawa alikuwa hajui sasa wataalamu wanamjuliaha mbona anashupaza shingo na ndio kwanza miswada inapelekwa bungeni kulinda mkataba.

Donald Trump aliwahi kusema
"Changamoto ya dunia ya sasa ni kwamba wenye AKILI wanajitenga na siasa na kuwaacha WAJINGA wafanye maamuzi ya kila kitu juu ya maisha ya wajinga na wenye akili"

Nina hofu kuna sauti za watu zitanyamazishwa mazima kisa hili sakata, tuendeleee kupaza sauti kupinga huku tukiendelea na maombi.

Mungu aingilie kati.
____________________________
There is a story in everything
Wameahidiwa hela yote ya kampeni na uchaguzi mwakani hadi uchaguzi mkuu 2025.

Wamepewa pacent yao, Dili linachezwa na wasiokuwa serikalini, kiongozi namba moja kapewa sharti lazima lifanikiwe. Wao ndio wamemuweka. Afuate maelekezo aendelee.
 
Serikali isipoteze muda na wapuuzi wachache ambao kwa maksudi hawataki kuelewa faida inayo patikana na uwekezaji wa DPW.
 
Hakuna kazi ngumu duniani kama kutetea udhaifu, inahitaji kiwango f'lani cha upumbavu na kujitoa ufahamu ili ueleweke kwa waliochagua kuamini na kuuelewa upumbavu wako!Mungu aingilie kati.

Kuna mtu amepewa kazi ya kuwa na mdomo wa moto kutetea waramba nyayo wenye matumbo yasiyoshiba!Amechagua kuwa mjinga ili hali ana akili timamu, amechagua kuwa kipofu ili hali anaona mpaka yasiyoonekana lakini ameamua kujenga himaya yale ya upumbavu Ili mradi akaunti yake ijae mshahara wa dhulma.Asije kusema anayoyanena leo na kuyatetea alikuwa amelewa!

Ghafla nimemkumbuka Chifu Makoko wa misitu ya Congo na Carl de brazza, hahaha!Alisaini mkataba wa miaka 200 kuruhusu wachimbe madini.

Aaah!!Halafu nimemuonea huruma Chifu Mangungo wa msovero usagara tunamtukana bure tu, hapa ndipo wenye hekima wanaposema usiseme ukamaliza.Tulimsema yule mzee ambae hajawahi kukaa darasani leo hii tunaona aibu!Waliokaa darasani wanafanya mambo ya ajabu hadi shetani anasikitika kwa huzuni, ama kweli Plato hakukosea aliposema "kuna karne inakuja ya wajinga kuwa viongozi na werevu kuwa wafuasi" sijui ishafika?

Huwezi kumtenganisba Rais Samia na hiki kinachoendelea kuhusu bandari, labda uwe mnafki tu!Serikali yake imeshindwa kusimamia bandari kama serikali zingine zilizopita.Suluhisho ndio hili kumletea mwekezaji kwa hoja bandarini kuna wizi, rushwa, kukwepa kodi, ufisadi na matokeo yake ni hasara zinazotajwa na CAG.

Sawa, mwenye mamlaka ya kuondoa wizi, ufisadi, kukwepa kodi na upigaji ni nani?Ana TAKUKURU, DPP, TANPOL, JWTZ, TISS MPAKA MAGEREZA.Kwamba hivi vyombo vyote vimeshindwa kumsaidia?Kama amejua kuna madudu yote ameshindwaje kuwajua wanaofanya na kuleta hayo madudu?Bonyeza +255 upate vichekesho vya taifa lenye watu wanaopaswa kuondoa mashangazo lakini na wao wanashangaa.

Ukitaka kutatua tatizo anza kwenye mzizi wa tatizo ng'oa yote lakini serikali yake imeamua kukata matawi!Kama TICTS walikuwepo wakahujumiwa hao DP-WORLD ndio hawata hujumiwa!?Yaani unatoa masuluhisho kwa tatizo ambalo waanzilishi na play maker wa kutengeneza tatizo wanadunda mitaani?Mtawalinda DP-World kwa kubadili sheria na kuwapa mamlaka yote ila kwa ninavyoijua hii nchi japo kwa uchache sana huko mbele ya safari yakibainika madudu tutaambiwa Kuna watu wanaihujumu DP-World wakati Leo wako bize kubadili sheria na kuvunja katiba kumlinda mwekezaji halafu mzalisha tatizo anaachwa mtaani.

Kila likiibuka tatizo halikosi suluhisho ndivyo ambavyo kila likiletwa suluhisho tatizo jipya lazima liibuke au litengenezwe ili wanufaika wa tatizo waendelee kunufaika tu!Tusubiri, suluhisho la upigaji bandarini si DP-World?Sawa si mmeamua kuwaacha "Watengeneza matatizo"? Na wao wapo kazini kuleta tatizo jipya ambalo DP-World litawashinda na upigaji utarudi tena unaweza kuwa upigaji mkubwa zaidi ya huu wa sasa.

Inachekesha kulijua tatizo halafu ushindwe kumjua mleta tatizo.Inatia hasira kali mtu ana mamlaka na kila kitu halafu anashindwa kushugulika na wazalisha tatizo, sasa sisi wananchi tusio na chochote kile tunawezaje kulitatua?Yeye ana TAKUKURU, TISS, DPP,TANPOL,JWTZ na MAGEREZA ameshindwa washughulikia wapigaji bandarini halafu sisi wenye midomo ya kulalama tu tufanyaje?

Ukweli ni kwamba serikali ya Rais Samia imeshindwa kuendesha bandari sababu inashindwa kuwachukulia hatua wanaojipigia madili kila uchwao.Kuwaleta DP-WORLD ni sawa na kuzuia moto usisambae kwa kuufunika baadae funiko litashika moto mshindwe hata kulitoa Ili mzime moto wenyewe.Tujipe subira tu.

Kuna watu wanadai hii ni vita ya kiuchumi wako sahihi lakini hii vita tutazame sana.Wanaopinga mkataba wanaitwa wamelipwa na wapigaji kukwamisha maendeleo,sasa kama mnawajua wanaolipa watu pesa ili maendeleo yapingwe Kwa nini msiwakamate mkawachukulia hatua?Mnaishia kuhangaika na wakosoaji Ili hali maadui zenu mnawajua na kama hao wakosoaji ndio wanufaika wa upigaji mnashindwa nini kuwachukulia hatua?kuna mambo yanatia maudhi na hasira nyingi sana mwisho wa siku ndio tunaanza kubaguana kidini, kikabila na kikanda.

Sijui kwa nini hayasemwi haya?

Haya tuyaitayo "makubaliano" na sio mkataba, yana nguvu sana.Kivipi?Hiyo mikataba ya kiutendaji bandarini itakuja kutengenezwa na kuandaliwa kwa kufuata haya "makubaliano"ndio maana watu wanapiga kelele yarekebishwe sababu wanajua kifuatacho.Hata Rais, waziri na wote waliosaini wanayajua haya ila wanajua wenyewe kinachowafanya wasisikilize watu.

Nguvu ya haya makubaliano tutaiona siku mikataba ya kiutendaji ikisainiwa halafu ikabainika ni ya hovyo ndipo usishangae wakaja kusema "Hii mikataba imeandaliwa na kusainiwa kwa kufuata makubaliano haya ambayo leo wanatuaminisha hayana nguvu" Tujipe subira muda ni hakimu mzuri.

Kwenye nchi za kiafrika viongozi wakuu wanatabia za kutafuta nguvu kutoka nje simnajua tuna uhuru wa bendera eeh!?Katika kutafuta nguvu huko Ili wawe na "Final Say" kwa kila jambo bila kupingwa hufanya haya.

Anatafutwa Capitalists mwenye kauli na nguvu almost hawatoki nje ya "Western Capitalist" anakatiwa litenda likubwa kwenye rasilimali za nchi kwa malipo ya kumkingia kifua wananchi wakianza nongwa.

Kwenye kukwiba mali za umma, almost hii mikataba ya hovyo huwa kuna maslahi viongozi wakuu wanapata ndio maana wanatia pamba hawasikii la kuambiwa sababu anajua na yeye ana pasenteji yake.Ukitaka kuamini haya angalia nguvu kubwa inayotumika mpaka kubadili sheria za nchi kisa muwekezaji alindwe.

Viongozi wenye tamaa siku zote atatafuta nguvu nje ili kupambana na wale seniors wa ndani ambao anajua hawezi kuwashinda sababu wako kwenye Game la ujambazi kitambo tu tena wako smart na "well organized" kutetea interest zao yaani ukiwagusa tu wanaruka na wewe!Huku kutafuta nguvu kutoka nje ndio huleta majanga ya maslahi ya nchi kuwekwa rehani na inatokeaga sababu katiba nyingi za kiafrika zina sifa ya kuwalinda watawala kwamba lolote afanyalo hataguswa.

Tunaaminishana hapa sijui kuna vita ya kiuchumi na mengine kibao, ni kweli vita ya kiuchumi ipo tena kali sana. Ila kuna vita nyingine hii hapa inaendelea kama ukiwa na jicho la tatu na mlango wa sita wa fahamu katika kung'amua mambo utakua umeshaiona .

Kuna kiongozi wa juu anazidiwa kete na seniors waliopo kwenye game la upigaji yaani wapo kama kivuli uendapo wapo na kila anapogusa anawakuta wame chill long time ago.Anataka uhuru na yeye awe na final say bila kuingiliwa na hawa seniors kwamba na yeye awe na dili zake na katika kutafuta huo uhuru rasilimali za nchi ndio hizo kama mzionavyo kama biashara za online nipe nikupe tu!

Mafisadi wapo serikalini na serikali inawajua ila wanawaingiaje?wakati hata hao tunaotegemea wawachukulie hatua ukifatilia Deep down nao wana machafu yao ambayo mafisadi wanayajua so kila mmoja ana udhaifu wa mwenzake kinachofata hapa ni kulindana tu.

Hapa kwetu kuna"wachafu" wanapewa mamlaka ya kushughulikia "wachafu" wenzao mbaya zaidi wanajuana kuwa wote ni wachafu halafu "wasafi" wanasubiri wachafu washughulikiane hahahahaha!!

Kinga ya KUTOSHTAKIWA inazalisha viongozi wasiojali wanafanya lolote sababu hawataguswa, nawaza tu siku akaingia mtu akafuta hiyo kinga sijui itakuwaje?Najaribu kuwaza tu ingawa sio rahisi kama wananchi ndio sisi tukitishiwa kuchapwa viboko na wapuuzi tunaingia mitini sembuse tumpate huyo mtu?

Ukikutana na mtu tena mwanaume anakwambia eti sakata la bandari shida ni washauri kwamba wamemdanganya rais dear friend tilia mashaka uanaume wake.Kwamba anaamini rais alisaini hiyo MoU bila kujua yaliyomo?Ok sawa alikuwa hajui sasa wataalamu wanamjulisha mbona anashupaza shingo na ndio kwanza miswada ya kubadili sheria inapelekwa bungeni kulinda mkataba.

Donald Trump aliwahi kusema
"Changamoto ya dunia ya sasa ni kwamba wenye AKILI wanajitenga na siasa na kuwaacha WAJINGA wafanye maamuzi ya kila kitu juu ya maisha ya wajinga na wenye akili"

Nina hofu kuna sauti za watu zitanyamazishwa mazima kisa hili sakata, tuendeleee kupaza sauti kupinga huku tukiendelea na maombi.

Mungu aingilie kati.
____________________________
There is a story in everything
Thank you!!

You are industrious!!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom