Ofisi ya Waziri Mkuu ina Mawaziri Wawili na Manaibu kadhaa, hawa wameshindwa kumsaidia PM hadi kaongezwa Naibu Waziri Mkuu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
87,838
150,741
Kimuundo Ofisi ya Waziri Mkuu imesheheni Mawaziri wa kutosha yupo PM mwenyewe, Ndalichako na Mhagama wakisaidiwa na Mawaziri wadogo akina Katambi.

Sasa sijaielewa kama Nishati itakuwa chini ya PM au Naibu Waziri mkuu atakuwa Nishati.

Kuna wakati Hayati Mkapa aliombwa na CCM amfanye Magufuli awe Naibu Waziri mkuu ili apambane na Matumizi mabaya ya fedha za Umma kwenye Wizara zote Lakini mzee wa Lupaso alisita.

Ngoja nijifunze zaidi Kwanini Biteko na Siyo Prof. Kabudi au Lukuvi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana.
 
Hata mzazi unaweza kujitahidi kumfanyia kila unaloona ni wajibu wako kwake but no appreciation.

Ni kama inaundwa timu maalum.

Mungu ilinde Nchi yetu na Watu wake wote.
 
Kimuundo Ofisi ya Waziri Mkuu imesheheni Mawaziri wa kutosha yupo PM mwenyewe, Ndalichako na Mhagama wakisaidiwa na Mawaziri wadogo akina Katambi

Sasa sijaielewa kama Nishati itakuwa chini ya PM au Naibu Waziri mkuu atakuwa Nishati

Kuna wakati Hayati Mkapa aliombwa na CCM amfanye Magufuli awe Naibu Waziri mkuu ili apambane na Matumizi mabaya ya fedha za Umma kwenye Wizara zote Lakini mzee wa Lupaso alisita

Ngoja nijifunze zaidi Kwanini Biteko na Siyo Prof Kabudi au Lukuvi ?

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Biteko ni tambala lililoonekana linaweza kutumika kwa faida ya mkalia kiti 'full stop ! Nothing more relevant is expected to yield with positive impact unless someone in the office surrenders to quit it for safety grounds, this is a blindly calculated strategy which eventuality is remorseful regret'.
 
Kimuundo Ofisi ya Waziri Mkuu imesheheni Mawaziri wa kutosha yupo PM mwenyewe, Ndalichako na Mhagama wakisaidiwa na Mawaziri wadogo akina Katambi.

Sasa sijaielewa kama Nishati itakuwa chini ya PM au Naibu Waziri mkuu atakuwa Nishati.

Kuna wakati Hayati Mkapa aliombwa na CCM amfanye Magufuli awe Naibu Waziri mkuu ili apambane na Matumizi mabaya ya fedha za Umma kwenye Wizara zote Lakini mzee wa Lupaso alisita.

Ngoja nijifunze zaidi Kwanini Biteko na Siyo Prof. Kabudi au Lukuvi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Pia tuliambiwa Lukuvi na Kabudi ni wasimamizi wa mawaziri
 
Biteko ni tambala lililoonekana linaweza kutumika kwa faida ya mkalia kiti 'full stop ! Nothing more relevant is expected to yield with positive impact unless someone in the office surrenders to quit it for safety grounds, this is a blindly calculated strategy which eventuality is remorseful regret'.
Upo sahihi sn ni matumizi mabaya tu ya fedha za umma
 
Biteko ni tambala lililoonekana linaweza kutumika kwa faida ya mkalia kiti 'full stop ! Nothing more relevant is expected to yield with positive impact unless someone in the office surrenders to quit it for safety grounds, this is a blindly calculated strategy which eventuality is remorseful regret'.
👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Hivi list ya wazito kabisa hapo kwa PM si inatisha jamani? Au waTZ tumefikia milioni 100 kiasi tunahitaji ofisi ya PM ijazwe hadi imwagike?
 
Kimuundo Ofisi ya Waziri Mkuu imesheheni Mawaziri wa kutosha yupo PM mwenyewe, Ndalichako na Mhagama wakisaidiwa na Mawaziri wadogo akina Katambi.

Sasa sijaielewa kama Nishati itakuwa chini ya PM au Naibu Waziri mkuu atakuwa Nishati.

Kuna wakati Hayati Mkapa aliombwa na CCM amfanye Magufuli awe Naibu Waziri mkuu ili apambane na Matumizi mabaya ya fedha za Umma kwenye Wizara zote Lakini mzee wa Lupaso alisita.

Ngoja nijifunze zaidi Kwanini Biteko na Siyo Prof. Kabudi au Lukuvi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Rais ana makamu, Mawaziri Wana manaibu ,Kwa nini Waziri Mkuu asiwe na Naibu?

Mwisho hao ni Mawaziri wa Wizara zilizo ofisi ya Waziri mkuu,PM ni mratibu wa Shughuli zote zote za Serikali
 
Kimuundo Ofisi ya Waziri Mkuu imesheheni Mawaziri wa kutosha yupo PM mwenyewe, Ndalichako na Mhagama wakisaidiwa na Mawaziri wadogo akina Katambi.

Sasa sijaielewa kama Nishati itakuwa chini ya PM au Naibu Waziri mkuu atakuwa Nishati.

Kuna wakati Hayati Mkapa aliombwa na CCM amfanye Magufuli awe Naibu Waziri mkuu ili apambane na Matumizi mabaya ya fedha za Umma kwenye Wizara zote Lakini mzee wa Lupaso alisita.

Ngoja nijifunze zaidi Kwanini Biteko na Siyo Prof. Kabudi au Lukuvi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Si kodi zetu zinatapanywa
 
Back
Top Bottom