Ushauri wangu kwako Freeman Mbowe ukifikisha miaka 63

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) naomba upokee ushauri huu.

Mimi Sifi Leo nimetembea nchi hii sijawai kutana na mtu anaitwa AGUSTINO LYATONGA MREMA kisa mtoto huyo alizaliwa enzi za MREMA.

Sijawahi kutana na mtu anaitwa LIPUMBA kisa LIPUMBA MWANASIASA, sijakutana na James Mbatia yoyote, sijawai kutana na JAKAYA MRISHO KIKWETE ila nimewahi kutana na Nyerere.

Je, Freeman wajua kuna watu tumewapa jina la Freeman kisa wewe?

Ushauri ukifikisha miaka 63 Mungu akikupa heri fanya mkutano mkuu wa watu wote wanoitwa Freman popote pale sisi tulio amua kuwaita ukae nao ule nao, ujipikilishe nao.

Utazidi kubarikiwa.
 
Wazo zuri Sana, alitafakari maana gharama yake si kubwa Ila faida yake ni pana.
 
Ajasema wapewe, kasema wale chakula, mshaanza mawazo ya hovyo.

"Ule nao chakula"

Hicho chakula ajasema Mbowe ndo anakilipia, naweza lipia hata mimi.
Ha haa angesema kwamba Mbowe akifikisha miaka 63 tutajikusanya sie tuliojipa jina la freeman, au watoto wetu wenye jina hilo tumkaribishe ale chakula na sisi😅😅
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) naomba upokee ushauri huu.

Mimi Sifi Leo nimetembea nchi hii sijawai kutana na mtu anaitwa AGUSTINO LYATONGA MREMA kisa mtoto huyo alizaliwa enzi za MREMA.

Sijawahi kutana na mtu anaitwa LIPUMBA kisa LIPUMBA MWANASIASA, sijakutana na James Mbatia yoyote, sijawai kutana na JAKAYA MRISHO KIKWETE ila nimewahi kutana na Nyerere.

Je, Freeman wajua kuna watu tumewapa jina la Freeman kisa wewe?

Ushauri ukifikisha miaka 63 Mungu akikupa heri fanya mkutano mkuu wa watu wote wanoitwa Freman popote pale sisi tulio amua kuwaita ukae nao ule nao, ujipikilishe nao.

Utazidi kubarikiwa.
Bado mnachekelea majina ya kitumwa.
 
.........upinzani unatengeneza kizazi kijacho au ndio wakipita watapandikizwa wengine ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom