Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

Kikwava

JF-Expert Member
Sep 6, 2015
1,121
527
Kwa miaka ya sasa ni rahisi sana kuona mwalimu ana Masters/PhD lakini yupo tu anafundisha huko shuleni, ila mabosi wake wote wana Shahada. Huyu mwalimu mwenye Masters/PhD anaambulia kuhujumiwa tu na mabosi hao ili kumkatisha tamaa.

Mfano, anaweza akawa amepata mchongo mahali pengine kutokana na sifa alizonazo akaandika barua, lakini still maboss wake wakagoma kumpitishia barua zake kwa madai Walimu hawatoshi😀 na mengine mengi.

Hivyo basi, tunaomba wizara husika itoe mwongozo ambao utapunguza hujuma za kupata vyeo na nafasi mbalimbali za hawa walimu wenye Masters/PhD.

Hata ikiwezekana wafanyiwe interview kupata hizo nafasi za uongozi ili hujuma zipungue/ziishe kabisa.
 
Kwa miaka ya sasa ni rahisi sana kuona mwalimu ana Masters/PhD lakini yupo tu anafundisha huko shuleni, ila mabosi wake wote wana Shahada. Huyu mwalimu mwenye Masters/PhD anaambulia kuhujumiwa tu na mabosi hao ili kumkatisha tamaa.

Mfano, anaweza akawa amepata mchongo mahali pengine kutokana na sifa alizonazo akaandika barua, lakini still maboss wake wakagoma kumpitishia barua zake kwa madai Walimu hawatoshi na mengine mengi.

Hivyo basi, tunaomba wizara husika itoe mwongozo ambao utapunguza hujuma za kupata vyeo na nafasi mbalimbali za hawa walimu wenye Masters/PhD.

Hata ikiwezekana wafanyiwe interview kupata hizo nafasi za uongozi ili hujuma zipungue/ziishe kabisa.
Kwa uzi huu halafu upewe uongozi wa shule, hapana. Pamoja na masters yako, bado una safari ndefu ya kufanya speech.

Endelea kujifunza utafanikiwa.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Kwani ww unanijua au unaropoka tu kiazi we! Eti nipewe uongoz wa shule mburula we!
Ngumi ya gizani imefanya kazi. Pole msomi.

Umeandika mwenyewe, mimi ningejuaje kama ni wewe?

Halafu una tabia za kike, seems to be a woman.

Umejaa umbea kisa umekosa madaraka.

Kwa taarifa yako huyo mwenye elimu ndogo amefanyiwa vetting na kuonekana anafaa kuliko wewe mwenye masters ya umbea.

Unathubutuje kuyasema viongozi wenye elimu ndogo hufanya figisi kwa wenye elimu kubwa?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Unahomon za kinyumbu mkuu
Kwa mawazo yako, but ukubali kuwa ni punguani fulani hivi ulienda shule.

Hiyo wizara siyo wajinga kumpa madaraka mwenye digrii na kumwacha wa masters. Lazima una mapungufu.

Elimu si kigezo pekee kupewa madaraka. Pana mengi hutazamwa. Usijione kuwa na hiyo elimu ndo unaweza zaidi.

Jinga kubwa wewe!

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
ufanisi ungekuwa kipimo cha kwanza kuoanda madaraja na sio kiwango cha elimu, labda kama huko serikali hamjui nini maana ya ufanisi.
 
Mwombe mama yako kadi ya klinik Kama anayo uipitiee ujifanyie tathimin utagundua kuwa ww ni mgonjwa
 
ufanisi ungekuwa kipimo cha kwanza kuoanda madaraja na sio kiwango cha elimu, labda kama huko serikali hamjui nini maana ya ufanisi.
Nikubaliane na wewe. Hata hoja ya mshikaji inakosa mashiko kwa kuweka kigezo cha elimu badala ya ufanisi, ingawa elimu huchangia pia ufanisi.

Shida yetu bongo ni hii, mtu akiwa na elimu kubwa hudharau kiongozi anayemkuta kwenye kituo cha kazi.
Anataka mara moja yeye ndo awe kiongozi. Hakuna uvumilivu.

Na yule kiongozi akigundua kuwa anabezwa na huyu msomi, atatafuta namna ya kumkomoa. Migogoro huanzia hapo.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom