Naibu Waziri wa Afya: Nikiona PDF ya Zuhura haipo kwenye Instagram ya Ikulu nakuwa na 'confidence'. Mh. Rais nakushukuru sana kwa mimi kunusurika!

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,626

nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva.

Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa nimeacha Instagram emoj ipo juu, nikaona kama kitu kimepita pale nikaogopa kuangalia nikawa naangalia simu nyingine kuangalia nini kinaendelea. Nikaona mtu ameniambia hongera mdogo wangu nikajua Mkuu nimenusurika.

Mh. Rais nakushukuru sana, nikathubutu kusoma ile kitu. Mh. Rais Nakushukuru sana kwa mimi kunusurika"

Alisema Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel, alipopewa nafasi ya kutoa neno katika hafla ya ufunguzi wa barabara ya Mtwara leo Sptemba 15 2023.
 
Mara nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva.

mimi pia simshangai madaraka yanalevya sana.
deals kama zote mhe. kila mahali salute unapigiwa kwann usiroge ubaki hapohapo juu.
 
Mara nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva.

Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa nimeacha Instagram emoj ipo juu, nikaona kama kitu kimepita pale nikaogopa kuangalia nikawa naangalia simu nyingine kuangalia nini kinaendelea. Nikaona mtu ameniambia hongera mdogo wangu nikajua Mkuu nimenusurika.

Mh. Rais nakushukuru sana, nikathubutu kusoma ile kitu. Mh. Rais Nakushukuru sana kwa mimi kunusurika"

Alisema Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel, alipopewa nafasi ya kutoa neno katika hafla ya ufunguzi wa barabara ya Mtwara leo Sptemba 15 2023.
Ujinga....

Unajitia wasiwasi na nafasi za UTEUZI ?!!!

Sarcasm
 
Ni lazima tupanuke fikra....

Uwaziri si wa mtu....

Ni wa JMT....leo yupo huyo ,kesho nipo mimi ,mtondogoo wewe.....

#SiempreJMT
 
Mara nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva.

Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa nimeacha Instagram emoj ipo juu, nikaona kama kitu kimepita pale nikaogopa kuangalia nikawa naangalia simu nyingine kuangalia nini kinaendelea. Nikaona mtu ameniambia hongera mdogo wangu nikajua Mkuu nimenusurika.

Mh. Rais nakushukuru sana, nikathubutu kusoma ile kitu. Mh. Rais Nakushukuru sana kwa mimi kunusurika"

Alisema Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel, alipopewa nafasi ya kutoa neno katika hafla ya ufunguzi wa barabara ya Mtwara leo Sptemba 15 2023.
Nina mashaka na akili zake huyu
 
Nimesikia, sikujua kama anayeongea hizo pumba ni waziri
Mkuu ina maana huwa unawa-rate high sana mawaziri wetu nini? Nakuhakikishia wote ni wale wale, hakuna mwenye nafuu. Huyo jamaa Molel ni hovyo kuliko hovyo yenyewe. Hapa inaonyesha kuwa hawajui kuwa cheo ni dhamana au uwaziri maana yake ni kuwajibika. Wao wanadhani uwaziri ni upendeleo wa kula bata waliopewa na rais. Na rais akisikia hilo anafurahi kweli kwa kulinganishwa na Mungu mgawa riziki.
 
Back
Top Bottom