Nini tofauti ya ‘surveillance na intelligence services’

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Mar 13, 2021
2,749
5,827
Jifunzeni hayo mambo na tofauti ya sifa za hao agents.

Kuwasaidia

Surveillance entails techniques to gather information (know how skills, are involved).

Intelligence entails being able to interpret surveillance information and make decisions (kawaida huo ni mchezo wa watu wenye akili).

Uwezi kuwa na watu wanaoweza mshauri raisi tume ya mipango ya nchi yenye watu wanne. Katika hao mtaalamu mmoja ambae ana ajira yake nje nchi, watatu wengine ni civil servants with no background on business management, economics nor finance (areas which one learns on matters of strategic planning).

Kama washauri wa raisi wanaweza mrubuni kufanya maamuzi ya hovyo kama hayo; kuna safari kweli hapo.

Mind you these are the people who are supposed to collect economic surveillance data and advice/plan effectively for the rest us.
 
Nilitamani ungefunguka mkuu nijue mengi zaidi.
Meant to ‘thought provoke’ for the interested, to investigate further.

There are ample articles and video which distinguish the two concepts.

For me to elaborate further on such maters with a perspective; I have learned for my efforts to be appreciated it requires an academic audience not JF.

Good morning.

Just take it as food for thought 👋
 
Meant to ‘thought provoke’ for the interested, to investigate further.

There are ample articles and video which distinguish the two concepts.

For me to elaborate further on such maters with a perspective; I have learned for my efforts to be appreciated it requires an academic audience not JF.

Good morning.

Just take it as food for thought
There's is man called Omary Issa,now he's a member board at Tanesco,

I don't trust this man,he is there courtesy of Jakaya Kikwete
 
Jifunzeni hayo mambo na tofauti ya sifa za hao agents.

Kuwasaidia

Surveillance entails techniques to gather information (know how skills, are involved).

Intelligence entails being able to interpret surveillance information and make decisions (kawaida huo ni mchezo wa watu wenye akili).

Uwezi kuwa na watu wanaoweza mshauri raisi tume ya mipango ya nchi yenye watu wanne. Katika hao mtaalamu mmoja ambae ana ajira yake nje nchi, watatu wengine ni civil servants with no background on business management, economics nor finance (areas which one learns on matters of strategic planning).

Kama washauri wa raisi wanaweza mrubuni kufanya maamuzi ya hovyo kama hayo; kuna safari kweli hapo.

Mind you these are the people who are supposed to collect economic surveillance data and advice/plan effectively for the rest us.
Mkuu funguka zaidi tuiponye nchi hawa watu ni vema kuwa expose wasituchulie poa. Nje ya mada kidogo,wewe ni ndugu wa Fred Quimby yule wa Tom and Jerry?
 
There's is man called Omary Issa,now he's a member board at Tanesco,

I don't trust this man,he is there courtesy of Jakaya Kikwete
Kuangaika na maamuzi ya kisiasa ya nchi kwa sasa (yale ya kimaslahi) ya wateuzi ni kuumiza kichwa tu.

Ni bora tujaribu ku influence maamuzi ambayo wanasiasa wanayachukua kwa ushauri wa civil servants, kwa mustakabali mpana wa nchi.

Halikadhalika kuangaika na mtu kama JK ambae mwenye kila kitu; shamba lake la msoga tu na biashara halali anazofanya pale kwa mtanzania mwingine yeyote ni mtu tajiri.

Shida ya JK ni narcissism and power mongering; ana mental health issues. Jina la kitaalamu limenitoka ila ni matatizo ya kimazoea.

J.K alionogewa sana na uongozi hasa kwenye maamuzi ya juu hataki kukubali ile lifestyle imepita. Yaani leo hata ukisikia kapiga deal sio kwamba anashida na hizo hela zinazopatikana ni psychological issues kuona bado ana nguvu hizo, anahitaji kuona bado ana uwezo wa ku influence siasa za Tanzania, watu wa kuteuliwa, hata akipata jukwaa kauli zake ni yeye alifanya nini kwa Tanzania chenye faida leo.

The old man is sick mentally, wala usiangaike nae, bado ana kiu yakujiona ana umuhimu wa kufanya maamuzi wa nchi hii hiko kinamtesa kichwani kwake.
 
Jifunzeni hayo mambo na tofauti ya sifa za hao agents.

Kuwasaidia

Surveillance entails techniques to gather information (know how skills, are involved).

Intelligence entails being able to interpret surveillance information and make decisions (kawaida huo ni mchezo wa watu wenye akili).

Uwezi kuwa na watu wanaoweza mshauri raisi tume ya mipango ya nchi yenye watu wanne. Katika hao mtaalamu mmoja ambae ana ajira yake nje nchi, watatu wengine ni civil servants with no background on business management, economics nor finance (areas which one learns on matters of strategic planning).

Kama washauri wa raisi wanaweza mrubuni kufanya maamuzi ya hovyo kama hayo; kuna safari kweli hapo.

Mind you these are the people who are supposed to collect economic surveillance data and advice/plan effectively for the rest us.
Duh...!.
P
 
Watu wanne pekee? Hao washauri unadhani taarifa wanatafuta wao, wamepewa access kwa Financial Intelligence Unit so they can ask for any details na wakapewa mchanganuo in real time so sidhani kama washauri ndio Wanaingia field ila wana vijana wanaofanya all the analysis and permutations then wao Wana digest ndio wanafikisha kwa Rais.

So hakuna ambacho wanampotosha Rais sema katiba inatamka wazi Rais hayuko obliged kuchukua ushauri wa mtu yoyote.
 
Hili nchi bana, ukiona mtu anajiliza mfuatilie vizuri utakuta kakosa mlo!
 
Kuangaika na maamuzi ya kisiasa ya nchi kwa sasa (yale ya kimaslahi) ya wateuzi ni kuumiza kichwa tu.

Ni bora tujaribu ku influence maamuzi ambayo wanasiasa wanayachukua kwa ushauri wa civil servants, kwa mustakabali mpana wa nchi.

Halikadhalika kuangaika na mtu kama JK ambae mwenye kila kitu; shamba lake la msoga tu na biashara halali anazofanya pale kwa mtanzania mwingine yeyote ni mtu tajiri.

Shida ya JK ni narcissism and power mongering; ana mental health issues. Jina la kitaalamu limenitoka ila ni matatizo ya kimazoea.

J.K alionogewa sana na uongozi hasa kwenye maamuzi ya juu hataki kukubali ile lifestyle imepita. Yaani leo hata ukisikia kapiga deal sio kwamba anashida na hizo hela zinazopatikana ni psychological issues kuona bado ana nguvu hizo, anahitaji kuona bado ana uwezo wa ku influence siasa za Tanzania, watu wa kuteuliwa, hata akipata jukwaa kauli zake ni yeye alifanya nini kwa Tanzania chenye faida leo.

The old man is sick mentally, wala usiangaike nae, bado ana kiu yakujiona ana umuhimu wa kufanya maamuzi wa nchi hii hiko kinamtesa kichwani kwake.
Correct
 
Jifunzeni hayo mambo na tofauti ya sifa za hao agents.

Kuwasaidia

Surveillance entails techniques to gather information (know how skills, are involved).

Intelligence entails being able to interpret surveillance information and make decisions (kawaida huo ni mchezo wa watu wenye akili).

Uwezi kuwa na watu wanaoweza mshauri raisi tume ya mipango ya nchi yenye watu wanne. Katika hao mtaalamu mmoja ambae ana ajira yake nje nchi, watatu wengine ni civil servants with no background on business management, economics nor finance (areas which one learns on matters of strategic planning).

Kama washauri wa raisi wanaweza mrubuni kufanya maamuzi ya hovyo kama hayo; kuna safari kweli hapo.

Mind you these are the people who are supposed to collect economic surveillance data and advice/plan effectively for the rest us.

Vyombo husika vinakusanya taarifa from diferrent intel sources . The question is wanazifanyia kazi?
Binafsi i dont think they do
 
Jifunzeni hayo mambo na tofauti ya sifa za hao agents.

Kuwasaidia

Surveillance entails techniques to gather information (know how skills, are involved).

Intelligence entails being able to interpret surveillance information and make decisions (kawaida huo ni mchezo wa watu wenye akili).

Uwezi kuwa na watu wanaoweza mshauri raisi tume ya mipango ya nchi yenye watu wanne. Katika hao mtaalamu mmoja ambae ana ajira yake nje nchi, watatu wengine ni civil servants with no background on business management, economics nor finance (areas which one learns on matters of strategic planning).

Kama washauri wa raisi wanaweza mrubuni kufanya maamuzi ya hovyo kama hayo; kuna safari kweli hapo.

Mind you these are the people who are supposed to collect economic surveillance data and advice/plan effectively for the rest us.
Mkuu upo sahihi,Mimi mwenyewe nilishangaa hii ofisi ya Mipango ni ofisi nyeti na inahitaji watu wenye exposure kwelikweli.
Nilimsikiliza Makamu wa Rais wakati anaongea juu ya majukumu ya Tume,aisee hapa Mama kaingizwa chaka.Yaani anapaswa afanye Headhunting ya Watanzania uko kwenye taasisi za kimataifa waje wamsaidie lakini awa wasanii akina Mafuru watamsaidia nini!
 
There's is man called Omary Issa,now he's a member board at Tanesco,

I don't trust this man,he is there courtesy of Jakaya Kikwete
This guy was CEO of the then BIG RESULT NOW project.Although he is normally appointed to head various government institutions but he has no any impact,he is just another thief just like other thieves we have in the government system.
 
Jifunzeni hayo mambo na tofauti ya sifa za hao agents.

Kuwasaidia

Surveillance entails techniques to gather information (know how skills, are involved).

Intelligence entails being able to interpret surveillance information and make decisions (kawaida huo ni mchezo wa watu wenye akili).

Uwezi kuwa na watu wanaoweza mshauri raisi tume ya mipango ya nchi yenye watu wanne. Katika hao mtaalamu mmoja ambae ana ajira yake nje nchi, watatu wengine ni civil servants with no background on business management, economics nor finance (areas which one learns on matters of strategic planning).

Kama washauri wa raisi wanaweza mrubuni kufanya maamuzi ya hovyo kama hayo; kuna safari kweli hapo.

Mind you these are the people who are supposed to collect economic surveillance data and advice/plan effectively for the rest us.

Hiyo ya kwanza, iko ndani ya hiyo ya pili.
 
Back
Top Bottom