Rais Samia, sikiliza hekima za Wakili Madeleka na kutafakari

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,030
Reaction score
74,722
Hakuna kitu bora kwa kiongozi kama kutumia hekima katika kutekeleza majukumu yako. Ndio maana ulimwengu mzima hadithi za Mfalme Suleiman kwa karne kadhaa zimetumika kama mfano bora wa uongozi.

Katika ujumbe huu Wakili Madeleka katika lugha ya kiungwana kabisa kakushauri yafuatayo;

Umekuwa Rais sio kwa kuchaguliwa kwa kura na mtu yeyote bali ni Mungu tuu aliyependa uwe Rais kwa mapenzi yake. Hivyo unapaswa kutenda yote kwa mapenzi ya Mungu na sio kwa mapenzi yako wala ya wapambe wako maana hawakuhusika kukuwela hapo.

Jitafakari, jee unatenda kama Mungu apendavyo kwa waja wake? Na kwa nini akupe wewe katikati ya hali ile ilivyokuwa 2015-2021?

Je, njia unayofata ni sahihi maana sasa hivi kila ukisimama ni vijembe na mipasho ambayo unatushangaza mheshimiwa Rais ikitokea kwako kwa sababu wananchi wote ni wako!
 
Jee njia unayofata ni sahihi maana sasa hivi kila ukisimama ni vijembe na mipasho ambayo unatushangaza mheshimiwa Rais ikitokea kwako kwa sababu wananchi wote ni wako!
View attachment 2750719
Hata uwape ushauri kwa hekima toka juu san kama c wa upande wao hawawez kukusikiliza kamwee!!
 
Hakuna kitu bora kwa kiongozi kama kutumia hekima katika kutekeleza majukumu yako. Ndio maana ulimwengu mzima hadithi za Mfalme Suleiman kwa karne kadhaa zimetumika kama mfano bora wa uongozi.

Katika ujumbe huu Wakili Madeleka katika lugha ya kiungwana kabisa kakushauri yafuatayo;

Umekuwa Rais sio kwa kuchaguliwa kwa kura na mtu yeyote bali ni Mungu tuu aliyependa uwe Rais kwa mapenzi yake. Hivyo unapaswa kutenda yote kwa mapenzi ya Mungu na sio kwa mapenzi yako wala ya wapambe wako maana hawakuhusika kukuwela hapo.

Jitafakari, jee unatenda kama Mungu apendavyo kwa waja wake? Na kwa nini akupe wewe katikati ya hali ile ilivyokuwa 2015-2021?

Je, njia unayofata ni sahihi maana sasa hivi kila ukisimama ni vijembe na mipasho ambayo unatushangaza mheshimiwa Rais ikitokea kwako kwa sababu wananchi wote ni wako!
View attachment 2750719
Chezea taarab weye !!!!
 
kumbe amekua mshauri huyu jamaa? au ni nabii? maana naona anahubiri pia hapo
 
Msipotoshe, alichaguliwa kwa kura!

Nawatakia Sabato Njema [emoji3]
Alichaguliwa lini kwa kura kuwa Rais? Huyu ni vile Mungu aliruhusu Jiwe afe ili awe yeye.
Na ile katiba anayoiita ni KITABU TUU ilipoheshimiwa ndio akapona kutoka mikono ya Sukuma gang chini ya Ndugai, Bashiru & Co.
 
Back
Top Bottom