OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 51,974
- 114,281
Haya ni maoni yangu binafsi:
Katika baraza la Idi rais Magufuli ameguswa na mambo kadhaa yaliyojiri katika sherehe.
Kuna kijana alighani vizuri amemuahidi milioni 2, na kuna kikundi pia amekiahidi milioni 2!.
Mwisho kabisa hadharani huku akionyesha maburungutu ya hela kwenye briefcase,akikabidhi kwa Mufti.
Hakikutajwa ni milioni ngapi lakini ni nyingi. Angeweza kufanya namna nyingine mf kutumia cheque, kuliko namna ile