Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

HOTUBA YA NDUGU DOROTHY-MANKA JONAS SEMU WAKATI KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA KUWA KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO Ndugu watanzania Ndugu viongozi, wanachama, wapenzi na wafuasi wa ACT...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nchi hujengwa na Wananchi wenyewe. Hali ni tofauti kwa bara langu la Afrika ya watu weusi. Nimezunguka nchi yangu na kujionea kwa macho yangu maisha ya watanzania wengi. Kusema ukweli, kazi ya...
2 Reactions
5 Replies
467 Views
MCHAKATO WA KUPATA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) UANZE SASA Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ndg Isihaka Rashid Mchinjita, kimewataka Wajumbe wote wa...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nawasikitikia sana wanaompatia maiki Mdude nyagali kuzungumza, ni aibu kwa unayemsikiliza ,ni fedheha kwa unayefuatilia anachokizungumza. Alikuwa anazungumza mpaka Dr Slaa...
22 Reactions
210 Replies
12K Views
Maafisa utumishi wa Tanzania wengi hawajua katiba wala sheria nje ya sheria za utumishi. Kwa hivi karibuni maswali mengi yamekuwa yakiibuka kuhusu uteuzi wa viongozi. Inaonekana wazi kwamba...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Taarifa ya dharula ya Chadema iliyosambazwa mitandaoni inaeleza kwamba , Mwenyekiti wa Chama hicho amelazimika kukatisha ziara ya kichama ili kuwahi mazishi ya Bilionea mwenzake Sabodo Sabodo...
13 Reactions
63 Replies
9K Views
Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais...
72 Reactions
146 Replies
9K Views
Ni miaka 3 imepita tangu Rais Magufuli afariki. Ni jambo la kawaida, hasa siku ya maziko au wakati wa kutangaza kifo, kutolewa taarifa za kina za mazingira ya kifo cha marehemu, na kama pengine...
79 Reactions
224 Replies
14K Views
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe, Francis Kasavubu Michael ni Mtanzania? Niliposikia jina hili wakati yupo katibu Wizara ya sayansi nilijiuliza hili swali ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au...
30 Reactions
203 Replies
21K Views
Rais wa Chama cha Walimu Mstaafu ndg Gration Mukoba amechaguliwa kuwa mwenyejkiti wa chadema mkoa wa Kagera ambapo amepata kura za ndiyo 58 na 5 za hapana. Msimaizi wa uchaguzi ni John Mrema na...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Wanabodi, JF, kama kawaida yetu, be the first to know!. Chama cha Wanasheria Tanganyika, kwafukuta, rais wa TLS, (r ndogo), Wakili Msomi, Harold Sugusia akunjua makucha, kupitia The Governing...
9 Reactions
59 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba...
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe ameueleza Uongozi wa Kanda ya Kaskazini namna alivyonusurika kuuwawa June 2013 wakati wa Serikali ya awamu ya 4 Mbowe amesema Wasiojulikana walipanga...
19 Reactions
76 Replies
5K Views
Baada ya kusikia habari kuwa CHADEMA wana mpango wa kujenga Chuo cha Maadili ya viongozi kwa heshima ya Bw. Sabodo aliyeahidi kuwachangia shilingi 150 nimejikuta nikitamani kunyofoa nywele zangu...
10 Reactions
942 Replies
111K Views
Niaje waungwana, Kiukweli mimi sio mwanasiasa, wala mfuatiliaji wa mambo ya siasa hapa JF. Hivyo nimesukumwa tu na uzalendo wangu mwenyewe kuandika haya niliyoandika. Kwa kawaida nchi yetu ina...
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Taifa au jamii yoyote ili kuyapata maendeleo ya kweli lazima kuwepo na viongozi. Nchi au jamii ikikosa viongozi, haiwezi kuwa na maendeleo ya kweli wala amani ya kweli. Ili uwe na jamii yenye...
9 Reactions
10 Replies
969 Views
Msemaji wa serikali ametoka na kufafanua kauli ya Waziri kwamba watakaoshangilia timu ya kigeni au kuvaa jezi hawatavumiliwa na akaongeza mashabiki wataingia uwanjani na passport. Msemaji wa...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Myovela ndiye ameanza kuchukua fomu, Japo kuna tetesi kwamba wagombea kadhaa wenye ushawishi washatia nia Hebu ngoja Tusubiri hadi mwisho
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Viongozi wa Tanzania wanakiburi sana, wanakamatwa kwa rushwa na tuhuma nyingine za maadili lakini uwezi kusikia wamejiuzulu. Wanasubiri hadi Mh. Rais awatumbue jambo ambalo ni dharau kwa mamlaka...
4 Reactions
14 Replies
749 Views
Mimi, viongozi na wanachama kadhaa Jimbo la Kigoma Mjini ambao ni mgombea wetu udiwani kata ya Kasingirima ndug. Alumbula Khalidi, Alhaji Mzee Selemani Simba, Ntakije Ntanena na Khamis Mzungu...
11 Reactions
47 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…