Tanzania waziri anafanya utani kwenye mambo yanayohusu diplomasia na hakuna anayemkanya wala kumtaka aombe radhi; tunakwama wapi?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,105
Msemaji wa serikali ametoka na kufafanua kauli ya Waziri kwamba watakaoshangilia timu ya kigeni au kuvaa jezi hawatavumiliwa na akaongeza mashabiki wataingia uwanjani na passport.

Msemaji wa Serikali amedai ule ulikuwa ni utani, nakubaliana naye ila wanaamini waziri anaweza akafanya utani kwenye diplomasia na likawa jambo dogo?

Ni hatua gani zimechukuliwa dhidi yake kwa kufanya utani kuhusu diplomasia yetu na Egypt na South Africa?

Kwanini waziri asingeomba radhi mwenyewe au kusema ulikuwa utani hadi msemaji wa serikali aingilie kati? Ndumbaro Ndumbaro Ndumbaro; uwaziri una maadili yake jielimishe.

Pia soma
 
Msemaji wa serikali ametoka na kufafanua kauli ya Waziri kwamba watakaoshangilia timu ya kigeni au kuvaa jezi hawatavumiliwa na akaongeza mashabiki wataingia uwanjani na passport.

Msemaji wa Serikali amedai ule ulikuwa ni utani, nakubaliana naye ila wanaamini waziri anaweza akafanya utani kwenye diplomasia na likawa jambo dogo?

Ni hatua gani zimechukuliwa dhidi yake kwa kufanya utani kuhusu diplomasia yetu na Egypt na South Africa?

Kwanini waziri asingeomba radhi mwenyewe au kusema ulikuwa utani hadi msemaji wa serikali aingilie kati? Ndumbaro Ndumbaro Ndumbaro; uwaziri una maadili yake jielimishe
Labda ni lichawa nene.....
 
Tunalea ujinga na uzembe halaf baadae tunashangaa eti kwanini tunapata bad results kwenye maendeleo. Hii tabia inakuwa normalized na huyu atahamishiwa wizara
 
Halafu ile haikuwa kazi ya Waziri angewaachia TFF waripoke sio Waziri.
 
Naona Dr. Ndumbaro alikuwa na nia nzuri kuzungumza vile, tatizo ni wale anaozungumza nao bado wana kasumba ya uzamani, hawautaki uzalendo kwenye suala la michezo hasa timu zao zile wapendazo zinapocheza.

Suala la kuja timu ngeni hapa nchini, kisha mashabiki wa moja ya timu zetu kuwashangilia wageni huo ni ujinga, ni utumwa wa kifikra, na wala sio utani wa jadi.

• Kwanini huo utani wa jadi usibaki ndani ya nchi yetu unatoka mpaka nje?

• Kwani timu zetu zikienda kule kwao huwa zinapewa support na mashabiki wao kama tunavyowapa sisi?

• Kitu gani kinachotushinda kuiheshimisha mipaka ya nchi yetu hapa pale anapokuja mgeni?

• Kitu gani kinachotushinda kuuheshimisha utaifa wetu pale inapokuja timu ngeni?

Watanzania kusifiwa kwa ukarimu wetu sasa usivuke mipaka ya kujidharau sisi wenyewe, tuwajali wageni kwenye kuwapokea na kuwapa malazi mazuri.

Lakini pale uwanjani watusamehe, tunahitaji ushindi pia kwa timu zetu, ushindi ambao ushangiliaji ndio njia rahisi inayowezesha kupatikana wakiwa wameshajianda kwa mazoezi mazuri.

Nasi tunahitaji makombe makubwa ya Afrika, tunahitaji kuandika historia kwenye mpira wa Afrika na kuitangaza nchi, hatuwezi kuyapata hayo makombe kama tutajiwekea vizingiti sisi wenyewe hapa ndani kwa kuanza kuwashangilia wageni, huu ni ujinga kabisa.
 
Ni kweli kabisa mkuu
 
Ndio sababu cheo cha waziri wala hakina tena ile hadhi ya miaka ya zamani, kilichobaki ni huo mshahara na madili. Mawaziri weyewe ndio hao hata kupima madhara ya kauli zao hawawezi, mpaka msemaji wa serikali anakuja kutetea mambo ya hovyo.
 
Naona Dr. Ndumbaro alikuwa na nia nzuri kuzungumza vile, tatizo ni wale anaozungumza nao bado wana kasumba ya uzamani, hawautaki uzalendo kwenye suala la michezo hasa timu zao zile wapendazo zinapocheza.

Suala la kuja timu ngeni hapa nchini, kisha mashabiki wa moja ya timu zetu kuwashangilia wageni huo ni ujinga, ni utumwa wa kifikra, na wala sio utani wa jadi.

• Kwanini huo utani wa jadi usibaki ndani ya nchi yetu unatoka mpaka nje?

• Kwani timu zetu zikienda kule kwao huwa zinapewa support na mashabiki wao kama tunavyowapa sisi?

• Kitu gani kinachotushinda kuiheshimisha mipaka ya nchi yetu hapa pale anapokuja mgeni?

• Kitu gani kinachotushinda kuuheshimisha utaifa wetu pale inapokuja timu ngeni?

Watanzania kusifiwa kwa ukarimu wetu sasa usivuke mipaka ya kujidharau sisi wenyewe, tuwajali wageni kwenye kuwapokea na kuwapa malazi mazuri.

Lakini pale uwanjani watusamehe, tunahitaji ushindi pia kwa timu zetu, ushindi ambao ushangiliaji ndio njia rahisi inayowezesha kupatikana wakiwa wameshajianda kwa mazoezi mazuri.

Nasi tunahitaji makombe makubwa ya Afrika, tunahitaji kuandika historia kwenye mpira wa Afrika na kuitangaza nchi, hatuwezi kuyapata hayo makombe kama tutajiwekea vizingiti sisi wenyewe hapa ndani kwa kuanza kuwashangilia wageni, huu ni ujinga kabisa.
Nenda jukwaa la sports uangalie threads na comments kuhusu mechi mbili zinazo kuja then utaelewa kwanini haya mambo hayawezekani
 
Msemaji wa serikali ametoka na kufafanua kauli ya Waziri kwamba watakaoshangilia timu ya kigeni au kuvaa jezi hawatavumiliwa na akaongeza mashabiki wataingia uwanjani na passport.

Msemaji wa Serikali amedai ule ulikuwa ni utani, nakubaliana naye ila wanaamini waziri anaweza akafanya utani kwenye diplomasia na likawa jambo dogo?

Ni hatua gani zimechukuliwa dhidi yake kwa kufanya utani kuhusu diplomasia yetu na Egypt na South Africa?

Kwanini waziri asingeomba radhi mwenyewe au kusema ulikuwa utani hadi msemaji wa serikali aingilie kati? Ndumbaro Ndumbaro Ndumbaro; uwaziri una maadili yake jielimishe
To honest, watu wengi waliofanywa wabunge na Maghu, kichwani wana tatizo, ni sycophants, huyu ndumbaro, nikimuangalia, na Yale macho yake, na bichwa lake, anaonekana ni mtu mwenye mtindio wa u bongo.
 
Naona Dr. Ndumbaro alikuwa na nia nzuri kuzungumza vile, tatizo ni wale anaozungumza nao bado wana kasumba ya uzamani, hawautaki uzalendo kwenye suala la michezo hasa timu zao zile wapendazo zinapocheza.

Suala la kuja timu ngeni hapa nchini, kisha mashabiki wa moja ya timu zetu kuwashangilia wageni huo ni ujinga, ni utumwa wa kifikra, na wala sio utani wa jadi.

• Kwanini huo utani wa jadi usibaki ndani ya nchi yetu unatoka mpaka nje?

• Kwani timu zetu zikienda kule kwao huwa zinapewa support na mashabiki wao kama tunavyowapa sisi?

• Kitu gani kinachotushinda kuiheshimisha mipaka ya nchi yetu hapa pale anapokuja mgeni?

• Kitu gani kinachotushinda kuuheshimisha utaifa wetu pale inapokuja timu ngeni?

Watanzania kusifiwa kwa ukarimu wetu sasa usivuke mipaka ya kujidharau sisi wenyewe, tuwajali wageni kwenye kuwapokea na kuwapa malazi mazuri.

Lakini pale uwanjani watusamehe, tunahitaji ushindi pia kwa timu zetu, ushindi ambao ushangiliaji ndio njia rahisi inayowezesha kupatikana wakiwa wameshajianda kwa mazoezi mazuri.

Nasi tunahitaji makombe makubwa ya Afrika, tunahitaji kuandika historia kwenye mpira wa Afrika na kuitangaza nchi, hatuwezi kuyapata hayo makombe kama tutajiwekea vizingiti sisi wenyewe hapa ndani kwa kuanza kuwashangilia wageni, huu ni ujinga kabisa.
Kuna siku nilitoa mtazamo kama huu kwenye mada ya member fulani hivi, aisee niliishia kushambuliwa kwa matusi ya kila aina!

Kuna members wengine waifikia mpaka hatua ya kuniweka kwenye ignore list zao, kwa sababu tu nilitofautiana nao mtazamo. Nadhani ifikie wakati Watanzania tufahamu maana halisi ya neno uzalendo.
 
Back
Top Bottom