Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,305
33,924
Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.

Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.

Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.

Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
 
Hebu tutajie hao waumini wa siasa za Magufuli ambao wanamponda Samia hadharani ni wakina nani? Maana Kabudi, Bashiru Ali, Polepole, Kalemani, Ndugai na baadhi ya wengine wamepoa sana ila waliobaki wakina Majaliwa, Makonda, Biteko, Joketi na wengine wengi tu wapo wanaimba mapambio hadharani .
 
Waumini,, sio watu wa kwenye mimbali
 
Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.

Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.

Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.

Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
Mama ana udhaifu wa kutaka kupendwa na kila mtu, kila kundi, kila kanda, kila dini, kila mkoa, kila Taifa.
Ni jambo jema na zuri sana kwa Taifa lkn ni baya sana na hatari kwa mwanasiasa au kiongozi mwenyewe.
Ni muhimu kwa kiongozi mwanasiasa kujimbambanua ili ajulikane na awe na die hards wake ambao watakuwa na uhakika wa kunufaika na kuwepo kwa kiongozi huyo madarakani.
 
Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.

Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.

Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.

Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
MaCCM ni kama mafisi. Hayaaminiani hata kidogo. Walichomfanyia Magufuli, Mungu atawalipa hapa hapa duniani.

Sijawahi kuona majitu maroho na yasiyokuwa na utu kama maCCM. Haya ni majitu ya ovyo sana kuwahi kuwepo hapa ulimwenguni.
 
Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.

Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.

Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.

Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
We katafute hata akili ya kuazimwa
 
Back
Top Bottom