Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makonda: Mungu amenipa mlango dhidi ya aliyenidhulumu nyumba Katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi Paul Makonda amefunguka jinsi alivyodhulumiwa nyumba na mtu mwenye pesa. Paul...
29 Reactions
238 Replies
16K Views
Kwanza nimpongeze Ex DC Kitwala kwa kupigania HAKI yako. Nitoe mfano unaofanana wa Ex DC Kitwala. Kuna rafiki yangu aliteuliwakuwa Mkuu wa Wilaya akiwa na miaka 32 na akadumu kwenye Ukuu wa...
2 Reactions
3 Replies
924 Views
Dah....mama anaupiga mwingi, kwa hiyo Jerry kapewa onyo tu, huyu naye ni wa kufukuza, ila bado tunasubiri muda, maana njia yake anaiwekea miba kwa juhudi kubwa sana. Anguko lake haliko mbali...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Huu ndio mtazamo wangu juu ya uteuzi wa Makonda kama Katibu wa NEC wa itikadi na uenezi wa CCM ambao umefanywa leo na Halmashauri kuu ya CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nape Nnauye na Hamad Masauni waliwahi kuondolewa UVCCM kwa tuhuma za kufoji umri , kwamba kwa sheria zinazosimamia Umoja huo wa vijana wa ccm zinamtaka kiongozi wa Umoja huo kutozidisha umri wa...
25 Reactions
86 Replies
9K Views
Kwa aina ya uongozi wa CCM hasa kipindi hiki cha awamu ya sita Makonda alikuwa sahihi sana katika nafasi ya uenezi. Bila shaka aliitendea nafasi hili hata wapinzani naamini wanafahamu kabisa...
6 Reactions
10 Replies
618 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni kishindo, ni gumzo mtaani, ni kila mtu na neno lake, ni kila mtu na uchambuzi wake, ni kila mtu na mtizamo wake. Nchi imesimama, nchi imetetemeka, nchi imepiga saluti...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Msomi huyu nini kimemkuta ktk dakika hizi za majeruhi kuelekea uchaguzi? Maana mida hii kuna umbea na kusagiana kunguni hatari. Au karopoka sehemu kuhusu uongozi wa mama? Mama hapendi sana...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Ukiangalia huo mtiririko utagundua hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa Utumishi wa Chama Tawala na Ule wa serikali Hapo ni Balozi Polepole tu ndio Upepo ulimvumia vizuri Nawatakieni Pasaka njema 😀
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ilikuwa ni vigumu mno kwa Mwenyekiti kuendelea kuishi na watu wenye kumshauri kwa karibu huku akiendelea kusikia pembeni wakijadili namna sahihi na bora ya kumnyang'anya tonge mdomoni. Kwa...
20 Reactions
87 Replies
10K Views
Lakin saa inakuja, nayo sasa ipo, ambapo mtavuna mnachokipanda, kwa jicho la mbali mnamuona kama anakijenga chama, katika jicho la upeo wa roho anadhoofisha chama, bosi wake na Viongozi wakuu...
21 Reactions
113 Replies
8K Views
Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja. Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana. Pamoja na...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Yaani ni lini tutaamka na kuanza kushindana kama nchi. Ni lini tutacha utoto kama nchi na kuanza kuleta maendeleo ya nchi. Badala ya kuongea vitu vya msingi wa TZ wengi wanaongelea waongeaji wa...
1 Reactions
2 Replies
369 Views
Katibu Mwenezi, Bwana Makonda anafanya ziara huku na kule na kusikiliza kero za wananchi (sijui ni wana-CCM tu au la) na kuwa-task watendaji wa serikali ya CCM na watu kumshangilia. Ingawaje...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Shinyanga Kidola njange amesema ya kuwa umoja wa machifu na watemi mkoa wa Shinyanga kwa pamoja na umoja wao wamekubaliana kumsimika katibu...
10 Reactions
134 Replies
8K Views
Ni Ukweli' ulio Wazi Siasa za 2015 ndio ziliondoa Kabisa Upendo Siasani Machungu waliyopitia Friends of Lowassa watu wanayachukulia poa Lakini Wajue bado hayajapoa hadi yatakapojipoza 2025...
1 Reactions
6 Replies
416 Views
Hajapatikana vitakayemtosha labda avalishwe Komredi Nyani Ngabu Mlale Unono 😀
2 Reactions
8 Replies
681 Views
Jumuiya imetoa wito kwa CHADEMA kuacha mara moja mpango wao wa kufanya kuandamana katika mikoa mbalimbali hususani katika kipindi hiki ambapo taifa lipo katika majonzi ya kuondokewa aliyekuwa...
0 Reactions
12 Replies
963 Views
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda amefika wilayani Tarime kufariji Familia ya Ndg. Christopher Gachuma (MNEC) kwa kuondokewa na mkewe Ndg. Fransisca Gachuma, tarehe 29 Machi, 2024...
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Habari, Nimeona Ziara ya Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Paul Makonda mikoani ni kama inamjenga sana yeye kuliko chama na huenda ikamfanya kuwa na ushawishi mkubwa sana ndani...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…