CHADEMA watashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 bila katiba mpya

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,798
12,240
Tundu Lissu amewarai wananchi kuichagua CHADEMA katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025 ili tuweze kupata katiba mpya itakayolinda rasilimali zetu na kumuwajibisha Rais asiyezingatia kiapo chake cha kulinda katiba na sheria za nchi. Hayo ameyasema alipowahutubia wananchi wa Chato jana tarehe 2 Agosti katika mwendelezo wa operation +255 kupinga kuuzwa kwa bandari zetu kwa DP World.

Hivyo wamekubali kushiriki uchaguzi Mkuu tofauti na vitisho vya awali ambapo walisema wasingeweza kushiriki uchaguzi wo wote bila kuwepo kwa katiba mpya. Kwa hiyo pamoja na operation wanayofanya pia wanapiga kampeni ya kutaka kuchaguliwa kuongoza dola.
 
Ni muhimu uelewe kilichoelezwa hapo kabla hujapindisha yaliyosemwa.

Ni muda kitambo sasa kwamba kila mtu alijua Katiba mpyaisingeweza kuwepo kabla ya 2024; na hata kama ingewezekana, Bunge lililopo sasa hivi siyo chombo sahihi cha kuanzisha mchakato huo. CHADEMA hili wameliona dhahri na kulitambua.

Pili, CHADEMA kususia uchaguzi katika hali hiii inayowapa matumaini makubwa ya ushindi mkubwa, watakuwa akili zao kichwani hazifanyi kazi sawasawa.

Wanachotakiwa CHADEMA kutamka na kutangaza waziwazi ni kwamba hawatavumilia uchafuzi wa uchaguzi huo kwa aina yoyote ile.
Hapa ndipo wanapotakiwa kujipanga vizuri tokea sasa, ili kukabiliana na matukio yoyote yatakayofanywa na CCM kuvuruga uchaguzi.

Lakini swala la Kushiriki au Kutoshiriki uchaguzi, hilo halipo tena. Ni lazima washiriki kwa nguvu zote walizonazo.
 
Huu ndio ulikuwa ushauri wa ACT. CHADEMA waliupinga kwa nguvu zote na kudai ACT imehongwa na CCM.
Ni jambo jema na la hekima kwa CHADEMA kuelewa kuwa KATIBA NI YA WANANCHI na si ya vyama vya siasa.
Kwa maana hiyo mchakato wa katiba unaohusisha wananchi mil 60 kukamilika kwa kipindi cha miaka 3 ni utani. Hasa ukizingatia kuwa katiba inabidi iwe hai kwa zaidi ya miaka 50. CHADEMA kuweni wa kweli kwa wanachama wenu.
 
CHADEMA NI WA HOVYO SANA TENA HAWANA SHUKURANI,
°Rais amefungulia mikutano
°Rais aliwaita ili kutengeneza maridhiano safi
°Rais akawaita waliokuwa wakimbizi akawakaribisha na kuwahakikishia usalama
°Rais akaona sheria zetu katika jinai zina matatizo akaunda tume ili haya nayo yarekebishwe ili uonevu ukome
°Rais akaona suala la katiba ni muhimu ameliruhusu lianze kujadiliwa mwezi wa tisa (9)
#NI KICHAA PEKEE ASIYE NA SHUKURANI ANAWEZA KUONA RAIS HAJAFANYA LOLOTE,VYOTE VYA MSINGI NA HOJA ZA MUHIMU VINASHUGHULIKIWA,
KUNA DALILI UPINZANI UTAKOSA HOJA YA MSINGI YA KUWAELEZA WATANZANIA,HIVYO WAMEKAMATIA HOJA MFU YA BANDARI KAMA NGUZO YAO MUHIMU WALIYOIBAHATISHA,
 
Ni shukrani au ni kwa mujibu wa katiba na sheria!
 
Huu ndio ulikuwa ushauri wa ACT. CHADEMA waliupinga kwa nguvu zote na kudai ACT imehongwa na CCM.
Ni jambo jema na la hekima kwa CHADEMA kuelewa kuwa KATIBA NI YA WANANCHI na si ya vyama vya siasa.
Kwa maana hiyo mchakato wa katiba unaohusisha wananchi mil 60 kukamilika kwa kipindi cha miaka 3 ni utani. Hasa ukizingatia kuwa katiba inabidi iwe hai kwa zaidi ya miaka 50. CHADEMA kuweni wa kweli kwa wanachama wenu.
Kushiriki chaguzi hizi za kihuni ukitegemea matokeo tofauti ni wendawazimu. Ni aheri tuachane na chaguzi na kufanya machafuko ili box la kura liheshimiwa, au yatokee mapinduzi ya kijeshi. Lakini mwanaume kabisa anayesimamisha vizuri kwenda kupanga mstari kuwa unachagua viongozi ni wendawazimu.
 
Kwa tume hi,itakua ni kupoteza muda wa wapiga kura.
 
Kushiriki chaguzi hizi za kihuni ukitegemea matokeo tofauti ni wendawazimu. Ni aheri tuachane na chaguzi na kufanya machafuko ili box la kura liheshimiwa, au yatokee mapinduzi ya kijeshi. Lakini mwanaume kabisa anayesimamisha vizuri kwenda kupanga mstari kuwa unachagua viongozi ni wendawazimu.
Jibu ktk maelezo yako yapo ktk nukuu yako hii "Ukitaka kuwa masikini nchi hii, danganywa kwenda kulima. Utalima kwa gharama zako lakini wakati wa kuuza utapangiwa bei na anayeishi mjini"

Nami nakazia tu kuwa ukitaka kudanganywa kushinda kiti cha Urais kuwa na wanachama wengi mijini tu, halafu ukose kujulikana na ukose wanachama vijijini. Hata kwa kupata katiba mpya haitasaidia.
Ruzuku za mbolea vijijini utaziita HONGGO NA RUSHWA, ujenzi wa zahanati na madarasa vijijini utaita matope n.k
 
Ni muhimu uelewe kilichoelezwa hapo kabla hujapindisha yaliyosemwa.

Ni muda kitambo sasa kwamba kila mtu alijua Katiba mpyaisingeweza kuwepo kabla ya 2024; na hata kama ingewezekana, Bunge lililopo sasa hivi siyo chombo sahihi cha kuanzisha mchakato huo. CHADEMA hili wameliona dhahri na kulitambua.

Pili, CHADEMA kususia uchaguzi katika hali hiii inayowapa matumaini makubwa ya ushindi mkubwa, watakuwa akili zao kichwani hazifanyi kazi sawasawa.

Wanachotakiwa CHADEMA kutamka na kutangaza waziwazi ni kwamba hawatavumilia uchafuzi wa uchaguzi huo kwa aina yoyote ile.
Hapa ndipo wanapotakiwa kujipanga vizuri tokea sasa, ili kukabiliana na matukio yoyote yatakayofanywa na CCM kuvuruga uchaguzi.

Lakini swala la Kushiriki au Kutoshiriki uchaguzi, hilo halipo tena. Ni lazima washiriki kwa nguvu zote walizonazo.
Chadema wanafeli kwenye Suala la Matumizi ya fedha na namna ya kuhamasisha upatikanaji Wa fedha Kwa ajili ya watu Wa Chini yaani wale viongozi Wa matawi ya Chini au mitaa.

Bila fedha hakuna ushindi popote Kwa Karne hii. Hata Vita bila fedha hakuna ushindi. Mbele ya fedha Hata nchi imepigwa Bei.
Pesa ni Kila Kitu. Hata Uzalendo Kwa Sasa unahitaji fedha.

CCM walionufaika sana na kifo cha Ndesamburo mana alikua ndiye nguzo kubwa ya Chadema ukanda Wa Kaskazini. Alikua anauwezo Wa kugharamikia shughuli Zote za chama na kuzuia wasaliti kununuliwa na CCM.

Sasa cha KUFANYA ni Chadema kuwakubali Wazalendo wote popote walipo.
Pili kufanya uhakiki Wa Wanachama wao NDANI na nje ya nchi. Kuwajua Kwa majina na Kwa idadi Yao. Kuwapanga Wanachama Kwa makundi na Kwa Uwezo wao .

Baada ya kuwajua Wanachama Wa Chadema waliopo tayari Kupinga ukiukwaji Wa Sheria za uchaguzi Sasa waanze kuhamasisha michango KUANZIA wenye uwezo Wa kuchangia elfu moja mpaka million Kumi .
Kama Chadema itaweka watu waaminifu kukusanya michango bila tamaa kama zile za CCM basi Kwa Miezi Kumi na moja kufikia uchaguzi wa Serikali za mitaa watakua wamekusanya zaidí ya bil.20.

Pesa hizo zisikae makao makuu mana ni za Wananchi . Zitumike kuwagharamikia wagombea wote Wa Serikali za mitaa nchi Nzima. Hawa wagombea Wa Chini wakipatikana Kwa Wingi basi ni rahisi kuwapanga Wanachama kuelekea uchaguzi mkuu Wa wabunge na madiwani ambao kimsingi wanahitajika kupata hamasa ya kukabiliana na wagombea Katili na wenye fedha wa CCM.

Na KUANZIA Sasa Chadema inapaswa kuwasaidia wale wote wanaopingwa na CCM Kama akina Dr. Slaa, Mwabukusi, Shivj, Mbatia, pia wale waliopo kuwaunga mkono au kuwakaribisha wale wanCCM wachache sana ambao Kwa dhahiri Wanapinga nchi kukabidhiwa Kwa wakoloni Kwa mgongo Wa Nyuma.

Chadema ikiendelea kuangalia uchaguzi Wa wabunge na madiwani tuu watapoteza uchaguzi mkuu Hata kama watashinda. Hakuna watu Wa kuhamasisha maandamano nchi Nzima kuanzia vijijini.

Pia ni vyema wakaanzisha será ya kuwalipa pesa za vikao wenyeviti Wa mitaa Ili kuwapa Nguvu na moyo Wa kujitoa .
 
Back
Top Bottom