Safi sana Mahakama ya Rufaa Tanzania

ThnkingAloud

JF-Expert Member
Sep 13, 2017
232
180
Joran Lwehabura Bashange vs Minister for Constitutional & Legal Affairs & Another (Misc. Civil Cause No. 12 of 2023) [2024] TZHC 774 (13 March 2024)

Mahakama ya Rufaa Tanzania imeamua:

From the analysis above and fortified with the authorities cited, the Court declares, and orders as follows:

(1) the provisions of Section 44(1) and (2) o f the LLA are void to the extent that they contravene the CURT due to possible bias, lack of right to be heard, and discriminatory as the opposite party to the application for extension of time is not involved at all, hence lack of equality before the law. These provisions pose absurdity for lacking procedural safeguards against abuse of discretionary powers granted to the 1st Respondent. Thus, lacking due process. And above all there is no right of appeal afforded.

(2) It is further ordered that the Government through the Office of Attorney General is given 12 months from the date of this judgement to rectify the mischief identified, failure of which the aforesaid provisions of the LLA will be non-starter and are struck out from the statute book.

Maelezo:
LLA above represents Law of Limitation Act
 
Iyo sio mahakama ya rufani kaka,hiyo ni MAHAKAMA KUU(HC).
Siku zote mahakama kuu huamua kwa maslahi ya umma,serikali isiporidhishwa inakata rufaa kwenda Mahakama ya Rufani.Huko ndio kuna watu wao ambao huamua kwa maslahi ya serikali bila kujalisha kuumiza umma.
Kwa hiyo huu sio mwisho,ukisikia serikali imekata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaa,ujue huko maamuzi haya makubwa na yanayozingatua maslahi ya watu yanaenda kupigwa na chini,ndio shida ya mfumo wa mahakama zetu.
 
Ni kweli niliteleza nisamehe kaka.
 
Back
Top Bottom