Maandamano ya CHADEMA yamekosa umuhimu, mvuto na ushawishi

ambagae

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
3,241
1,301
Kwa kifupi yamedoda, hayana mvuto na CHADEMA wamejifikishia ujumbe mkubwa wananchi hawadanganyiki. Yako wapi yale maandamano tuliyoaminishwa na kudanganywa eti yanatumika kufikisha ujumbe kwa wananchi kwa kufanyika miji tofauti.

Hivi, wanaona wananchi ni wajinga hawawezi kupata huo ujumbe kupitia vyombo vya habari hadi Chadema waandamane nchi nzima kama walivyotuaminisha. Washindwe na walegee.
 
Kwa kifupi yamedoda, hayana mvuto na CDM wamejifikishia ujumbe kubwa wananchi hawadanganyiki. Yako wapi yale maandamano tuliyoaminishwa na kudanganywa eti yanatumika kufikisha ujumbe kwa wananchi kwa kufanyika miji tofauti. Hivi, wanaona wananchi ni wajinga hawawezi kupata huo ujumbe kupitia vyombo vya habari hadi CDM waandamane nchi mzima kama walivyotuaminisha. Washindwe na walegee.
Ukiambia kuwa Samia ni mwanasiasa aliyewiva basi indicators zake ni kama hizi. Leo Lissu anatafutwa kwa vile hasikiki.

Karuhusu shughuli za vyama vya siasa, karuhusu maandamano. Wamefanya maandamano Arusha, Mwanza, Mbeya na Dar es Salaam, matokeo ya maandamano yao wanayajuwa wenyewe.

Laiti Samia angewakatalia kufanya maandamano basi sasa hivi ungesikia kila siku kwenye social media wakidai maandamano.

Hapo ndipo unatambua kuwa Urais wa Tanzania hauhitaji mabavu na kuua wapinzani kama alivyokuwa anafanya Magufuli bali unahitaji akili na busara tu
 
Mikutano na maandamano ya chadema hayajawahi kukosa watu sijui unaumia ukiwa wapi
 
Ukiambia kuwa Samia ni mwanasiasa aliyewiva basi indicators zake ni kama hizi. Leo Lissu anatafutwa kwa vile hasikiki.

Karuhusu shughuli za vyama vya siasa, karuhusu maandamano. Wamefanya maandamano Arusha, Mwanza, Mbeya na Dar es Salaam, matokeo ya maandamano yao wanayajuwa wenyewe.

Laiti Samia angewakatalia kufanya maandamano basi sasa hivi ungesikia kila siku kwenye social media wakidai maandamano.

Hapo ndipo unatambua kuwa Urais wa Tanzania hauhitaji mabavu na kuua wapinzani kama alivyokuwa anafanya Magufuli bali unahitaji akili na busara tu
  • Bandari imeuzwa.
  • Wamaasai wanaangizwa.
  • Ubadirifu wa mali za Umma umeongezeka.
  • Uadilifu unaelekea sifuri
  • Ni dhahiri wazawa wa Tanzania wanabaguliwa katika "Uwekezaji"katika nchi yao wenyewe.
  • ...

Hata hivyo, CHADEMA haina sera inayoeleweka. Na maandamano wala katiba, hayaleti/haileti chakula mezani

cc Nkaburu
 
Kwa kifupi yamedoda, hayana mvuto na CDM wamejifikishia ujumbe kubwa wananchi hawadanganyiki. Yako wapi yale maandamano tuliyoaminishwa na kudanganywa eti yanatumika kufikisha ujumbe kwa wananchi kwa kufanyika miji tofauti. Hivi, wanaona wananchi ni wajinga hawawezi kupata huo ujumbe kupitia vyombo vya habari hadi CDM waandamane nchi mzima kama walivyotuaminisha. Washindwe na walegee.
Kwa upimbi huu ndo unadhani utapewa buku 7 kama wenzio??? Thubutuuuuuu umeandika kama ndo unatokea kuzimu
 
Back
Top Bottom