MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,224
- 22,306
Huyu kada wa CHADEMA na mnufaika wa michango ya Join The Chain, Godbless Lema, kaandika kitu cha maana sana huko Twitter (X). Ninamuunga mkono 100% kww maslahi mapana ya taifa. Kaandika hivi;
Miaka mingi iliyopita niliongea na aliyekuwa Waziri Mkuu wkt huo Mh Mizengo Pinda kuhusu uzuri wa Tanga unaoboreshwa na nyumba za zamani. Utalii mojawapo muhimu wa Nchi kama Morroco ni pamoja na watu kwenda kutazama majengo ya zamani. Morroco inapokea zaidi ya watalii milioni nane kwa mwaka wkt Tanzania pamoja na vivutio vyote tulivyo navyo hawapokei watalii wanaozidi milioni moja na hapa ni pamoja na kumhesabu John Heche wkt anakwenda kwao Tarime kupitia njia yaNgorongoro.
Ni aibu kuwa na viongozi wa Nchi wasiokuwa na maono ambao badala ya kuzuia majengo kale kuvunjwa ambayo yana hadhi kubwa ktk Jiji la Tanga badala yake wanageuza mji mzuri wa zamani kuwa na sura ya Miji ya Kichina.Tanzania inapaswa kutunga sheria na sera bora za udhibiti wa urithi wa majengo ya zamani, maana huu ni utalii ambao hauwezi hata kushambuliwa na magonjwa au kuathiriwa na mabadiliko ya Tabia Nchi kama wanyama ktk hifadhi.
Ni rai yangu kuu kwa viongozi wa Serikali kuwa wanapotembea Nchi nyingine Duniani wajifunze kutazama mambo muhimu na kuiga badala ya kuishia China stores na ktk Malls na kupiga picha za kumbukumbu kama walivyofanya Dubai wkt wa deal ya DP World. Haya majengo Tanga ni utalii mkubwa sana ila unapaswa kuwa na akili inayozidi cheti kutambua hili.
=======
Miaka mingi iliyopita niliongea na aliyekuwa Waziri Mkuu wkt huo Mh Mizengo Pinda kuhusu uzuri wa Tanga unaoboreshwa na nyumba za zamani. Utalii mojawapo muhimu wa Nchi kama Morroco ni pamoja na watu kwenda kutazama majengo ya zamani.
Morroco inapokea zaidi ya watalii milioni nane kwa mwaka wkt Tanzania pamoja na vivutio vyote tulivyo navyo hawapokei watalii wanaozidi milioni moja na hapa ni pamoja na kumhesabu John Heche wkt anakwenda kwao Tarime kupitia njia yaNgorongoro.
Ni aibu kuwa na viongozi wa Nchi wasiokuwa na maono ambao badala ya kuzuia majengo kale kuvunjwa ambayo yana hadhi kubwa ktk Jiji la Tanga badala yake wanageuza mji mzuri wa zamani kuwa na sura ya Miji ya Kichina.
Tanzania inapaswa kutunga sheria na sera bora za udhibiti wa urithi wa majengo ya zamani, maana huu ni utalii ambao hauwezi hata kushambuliwa na magonjwa au kuathiriwa na mabadiliko ya Tabia Nchi kama wanyama ktk hifadhi.