Vyama vya Upinzani Tanzania ni vya kipekee duniani kote kama ulivyo Muungano wetu, hivyo CHADEMA isijifananishe na Upinzani wa Senegal

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,013
142,048
Natoa tu angalizo kwa Wananchi wasije wakajichanganya wakadhani ni rahisi hapa Tanzania kutenda kama Senegal

Siasa za Tanzania ni za Kuchumia Tumbo hivyo Harakati zote za kisiasa zimeelekezwa kwa Vikundi fulani kujinufaisha kwa kuwatumia wengine

Siasa za Chadema na ACT wazalendo ni za Kuridhiana na CCM ambacho kwa misingi yake hakiwezi kutoka madarakani

Niendelee kuwatakia Juma Takatifu Lenye Baraka 😄

Pia soma > Mnyika: Mapambano yamewezesha Faye kushinda Uchaguzi wa Rais Senegal, November 2023 nilikuwa Senegal kusaidia Harakati za Upinzani!
 
Acha kuweweseka na mabadiliko.ata hao senegal hizo ni hatua wanazopiga baada ya miaka mingi mibovu.kwahiyo usifikiri na tanzania itabaki hivi milele.Chachu ya mabadiliko ni kubwa sana kwenye mioyo ya watu kwahiyo usiishi kwakukariri.Labda useme unawasiwasi wanini kitakuja kutokea kwa hapa.Mapungufu ya vyama vya upinzani sio sababu ya mabadiliko kutofanyika.Bado kitambo kidogo sana historia itabadilika.
 
Natoa tu angalizo kwa Wananchi wasije wakajichanganya wakadhani ni rahisi hapa Tanzania kutenda kama Senegal

Siasa za Tanzania ni za Kuchumia Tumbo hivyo Harakati zote za kisiasa zimeelekezwa kwa Vikundi fulani kujinufaisha kwa kuwatumia wengine

Siasa za Chadema na ACT wazalendo ni za Kuridhiana na CCM ambacho kwa misingi yake hakiwezi kutoka madarakani

Niendelee kuwatakia Juma Takatifu Lenye Baraka 😄

Pia soma > Mnyika: Mapambano yamewezesha Faye kushinda Uchaguzi wa Rais Senegal, November 2023 nilikuwa Senegal kusaidia Harakati za Upinzani!
Ukweli mchungu!
 
Back
Top Bottom