Meli moja ambayo bado haijatajwa na vyombo rasmi, imezama Jumamozi iliyopita wakati ikiwa njiani kutoka Dar es Salaam kuelekea Mafia. Abiria na wafanyakazi waliokuwemo kwenye meli hiyo inaelezwa...
Nakubaliana na Kitime kwamba mpaka hapo wahusika wa ufisadi uliofanywa BoT, Richmond, Kiwira Coal Mining, ununuzi wa rada, ndege ya rais, magari na helicopters za jeshi na mikataba ya madini...
Tanzanite mining ban partially lifted
2008-04-05 10:12:07
By Adam Ihucha, Mererani
Tanzanite mining activities resumed at blocs C and D here yesterday after the government lifted a ban...
Posted Date::4/5/2008
Membe 'awauzia' mabalozi uamuzi wa Butiama
Na Muhibu Said
Mwananchi
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, jana alikutana na mabalozi wa...
Kanal Bacar katolewa, Vip kuhusu Kony na Nkuda ???
KWA wanaofuatilia kwa karibu suala la uvamizi wa kisiwa cha Anjouan, Comoro bila ya shaka watakuwa wameisikia taarifa ya redio ya Marekani...
Barrick yalaani unyama wa watumishi wake
Sengerema District,
Mwanza Region
April 3rd 2008;
Two camp caretakers from Nyanzaga Camp which is approximately 1km from Sota Village in Sengerema...
na Kulwa Karedia na Salehe Mohamed
NCHI wahisani zimetishia kutochangia bajeti ya nchi ya mwaka 2008/2009 kama serikali haitachukua hatua kali dhidi ya mafisadi waliochota mabilioni ya shilingi...
Vyanzo mbalimbali vya habari vimeanza kuongelea ziara ya waziri mkuu wa JMT - Pinda ya kutembelea marekani. Habari hizi ambazo ni nyeti na za kutatanisha lakini za kutoka vyanzo vya uhakika...
HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) imewaachisha uongozi rasmi viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Taifa ambao ni Mwenyekiti Abiud Maregesi, makamu wake Ramadhan Nzori na aliyekuwa...
THE CIVIC UNITED FRONT
(CUF- Chama Cha Wananchi)
Office of the Secretary General
P.O. Box 3637, Zanzibar, Tanzania
E-mail: cuf@zitec.org
Homepage: www.cuf-tz.com
TAMKO LA CHAMA...
Posted Date::3/31/2008
CCM yashikwa kigugumizi kutoa maamuzi walioba BoT
* Suala la mwafaka labaki kitendawili
* Yatumpia lawama Maalim Seif
* JK abaki na siri yake moyoni
Na...
Posted Date::4/1/2008
Muafaka: Uamuzi wa CCM Butiama wafananishwa na ufisadi wa kisiasa
*Wasomi wasema utachochea uhasama
*Warioba asema ana mashaka na kura za maoni
*Awataka...
Haya wake wapenzi wa mafisadi.
Kila siku tunaongelea maadili na wengine mnapiga kelele.Kuna majitu yameiba lakini hata kuguswa hayawezi lakini waziri Mkuu wa Finnland kaachia ngazi kisa katuma...
na Mwandishi Wetu
OFISI ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imesema Spika wa Bunge, Samuel Sitta, ana maadui wanaoathirika na maamuzi ya Bunge pamoja na wafanyakazi wachache wa ofisi...
By Lusekelo Philemon, Musoma
The CCM National Executive Committee (NEC) on Sunday failed to endorse the modalities of forming a coalition government in Zanzibar, one of the most important...
na Salehe Mohamed
SERIKALI imetakiwa kufanya tathmini ya faida za safari zinazofanywa na viongozi mbalimbali nje ya nchi kutafuta wawekezaji.
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali, Dk...
Wakati wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakitaka waongezwe fedha hili kuwasaidia wao kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, Basi Raia Wakakamavu(polisi) wanasema hivi..........
Tanzania...
Maamuzi ya kwanza kabisa yaliyotolewa kwenye kikao cha NEC Butiama ni hatua mahususi za kumuenzi Baba wa Taifa. Bado napitia nyaraka fulani kwani nilikosa kusikiliza vizuri sehemu ya kwanza...
Credibility ya Ndulu ndiyo inazidi kushuka. Amekubali kubebwa na CCM katika kikao kisicho kichwa wala miguu ili wakaendeleze uwongo wanaowadanganya Watanzania, badala ya kusafisha uozo uliojaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.