Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,186
- 56
Vyanzo mbalimbali vya habari vimeanza kuongelea ziara ya waziri mkuu wa JMT - Pinda ya kutembelea marekani. Habari hizi ambazo ni nyeti na za kutatanisha lakini za kutoka vyanzo vya uhakika (nawahakikishia wana JF kuwa this time chanzo changu sio my mom!) zinasema kuwa Mheshimiwa Pinda amekuwa anapanga hii trip for a while now.
Kwanza kabisa kabla nyie wana usalama kina .... na .. hamjaanza kunishikia bango hapa la kutoa hii habari nje. Sijasema tarehe ya hii ziara na nitasubiri wengine kusema hili. Ninachojaribu tu kusema hapa ni kuwa, Mheshimiwa Pinda unakaribishwa sana hapa kwa mzee Kichaka. Natumaini utawapatia watanzania nafasi japo kidogo ya kukutana nawe (bila kujali itikadi zao za vyama).
Hata hivyo, napenda kukumbusha kuwa usipoteze muda wako kujaribu kujua nani ni nani na anatumia jina gani hapa JF. Hii itakuwa ni kazi ngumu sana na ambayo (to be fair) itakupotezea muda wako na mapesa ya wananchi wa Tanzania kuifanya. Stick to your official business na kuwa very nice kwa watanzania walio marekani ambao mchango wao kwa uchumi wa Tanzania ni mkubwa sana.
Binafsi, nina kila sababu ya kuwa mpinzani wa uovu wa serikali ya ccm. Hii ni haki yangu kikatiba ambayo nilifundishwa na scout master wangu tangu nikiwa mtoto. Mheshimiwa Pinda, mie binafsi niliapa kuilinda nchi yangu dhidi ya maadui wake wa kisiasa na kiuchumi na nimeahidi kufanya hivyo mpaka siku mauti yakinifika. Katika hili naomba ieleweke kuwa hakuna mjadala wala vitisho.
Hata hivyo naomba nikupongeze kwa yale ambayo hujafanya so far. Ni vizuri kuona kuwa bado hujaanzisha ka kampuni kako ka maji au umeme ili kuwaibia wadanganyika. Ni vizuri kuona vile ukijaribu kukaa mbali na huyo mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata- MB Rostam Azizi. Ni vizuri kuona kuwa una nia yakuongea na wadau mbalimbali walio ndani na nje ya serikali ili kuboresha serikali yako.
Baada ya kusema haya, nakukaribisha sana hapa kwa Kichaka na uwe huru na kujisikia "nyumbani" kuongea na watanzania kwa kadri ile itakavyowezekana.
Asante!