Barrick yalaani unyama wa watumishi wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barrick yalaani unyama wa watumishi wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Me370, Apr 4, 2008.

 1. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2008
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Barrick yalaani unyama wa watumishi wake
  Sengerema District,
  Mwanza Region
  April 3rd 2008;


  Two camp caretakers from Nyanzaga Camp which is approximately 1km from Sota Village in Sengerema District have been arrested for allegedly forcing a 13 year old girl to have sex with a dog.

  Barrick Gold Tanzania strongly condemns this senseless and inhumane act. Barrick upholds a set of core values which among other things calls for people to respect everything as if it were their own. These values are the cornerstones of our corporate culture everywhere we operate.

  This incident does not reflect the behavior expected from Barrick employee and we trust the law will takes its course and deliver justice.

  The accussed Aniceth Ndege is a dog handler and Job Joas is a 'sungusungu' and a cook from Sota Village, both are caretakers of the Nyanzaga Exploration Camp which is owned by Barrick Exploration Africa Limited (BEAL).


  Sincerely,

  Teweli K. Teweli
  PR & Communications

  Barrick Gold Tanzania,
  tteweli@barrick.com


  Habari hii ni ya leo iko hapa
  http://issamichuzi.blogspot.com/2008/04/barrick-yalaani-unyama-wa-watumishi.html
   
 2. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2008
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wadau embu tujadili hii kitu imekaaje. Kikubwa ni kuwa tuwashikie bango waliotenda kitendo hicho wafungwe.
   
 3. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2008
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  washtakiwe, wafungwe.Its very inhuman! ila barrick si wa kulaumiwa manake ni nature ya binadamu, popote mijitu mipumbavu ipo
   
 4. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2008
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Barrick walipe fidia!
   
 5. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2008
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hawa jamaa wafanyiwe hivyohivyo kama walivyomfanyia huyo msichana kwakweli huu ni unyama tumefikia mahali ambapo huwezi kumfungulia mtoto wako aende hata dukani iwe ni wa kike au wa kiume.
  Nakumbuka kipindi fulani kuna jamaa wazungu kutoka ujerumani walimlazimisha msichana (Kahaba)afanya mapenzi na mbwa huku wao wakichukua picha sasa naona imejirudia lakini sasa tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe hao jamaa nadhani wchukuliwe hatua kama hiyo au kifungo chao kiwe cha maisha waende nao wakafanywe asusa jela.
   
 6. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Huu ni unyama uliokithiri!
  I think hawa jamaa wanastahili kupewa kifungo cha maisha tena watafutiwe gereza ambalo linaaminika kwa kuwa na wafungwa waliopinda ili na wao wageuzwe!
  Why on earth would anyone do such a thing a poor innocent little girl of 13yrs???

  Huu ni udhalimu...
   
 7. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mie kwa tanzania niijuwayo, na magereza niyajuwayo hao wataona june julai.

  wakiwepo rumande tu watakuwa wake za watu huko mpaka watatoka na mateso mengi.


  huu ni ushenzi na unapaswa kulaaniwa na tunaiomba mahakama kutoa adhabu ya juu ili iwe fundisho kwa wengine.

  pia nnampa pole huyo ka binti kwa mitihani iliomfika
   
 8. Single D

  Single D JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2008
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 459
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Abomination,i condemn IT STRONGLY
   
 9. Power to the People

  Power to the People JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2008
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Kuna habari yingine nikisoma naona kama ni ndoto. Binadamu gani anaweza kufanya udhalimu kama huu? Wangatwe na mbwa mpaka wafe ndio adhabu inayowafaa.
   
Loading...