Waziri wa Mambo ya Nje wa Finnland aachia ngazi kisa text message | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa Mambo ya Nje wa Finnland aachia ngazi kisa text message

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Apr 1, 2008.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Haya wake wapenzi wa mafisadi.
  Kila siku tunaongelea maadili na wengine mnapiga kelele.Kuna majitu yameiba lakini hata kuguswa hayawezi lakini waziri Mkuu wa Finnland kaachia ngazi kisa katuma 200 text messages kwa Mdada wa matiti manene.

  Karibuni mje na michango yenu.
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,607
  Trophy Points: 280
  Female prime ministers are more common than they once were, but each new "first female prime minister" and "first woman president" of a nation is an automatic pioneer. Finland's history makers are making a different kind of news as Finland's first female prime minister resigns over a scandal involving leaked documents and the Iraq war, and Finland's first woman president receives her resignation.

  Tarja Kaarina Halonen, Finland's president who was elected in January 2000 and who accepted Jaatteenmaki's resignation, was the last of the women presidents and prime ministers elected in the 20th century. If you take a quick look while the picture's still on Finland's official presidential front
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Ni historia hii naona . Mods unganisha ile ya Kitia hapa kaja late mambo yamesha kuwa mezani .
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mod tafadhali rekebisha ni waziri wa Nje si mkuu .Nilikiuwa na speed ya hali ya mbali sana .Wasomaji mnisamehe tafadhali .Ni waziri wa Nje .
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Apr 1, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mbona "sisi" Meya wetu bado anadunda na kufanya kazi aliyochaguliwa kufanya?
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Meya wa Kinondoni ama Temeke? Meya wa wapi Mzee unaongelea ?
   
Loading...