Kwanini wanaipenda Mei Mosi...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,392
39,495
Dear passengers,


Kesho ni siku ya mapumziko kwa ajili ya siku kuu ya wafanyakazi. Siku hiyo ndiyo dege lile lililokodiwa ambalo licha ya malipo mengi linakuja bado likiwa na matatizo mengine kibao ambayo hawakuyamaliza. Inakuja hata hivyo kama fahari ya Tanzania na itawasili kwenye Uwanja wa Mwalimu J.K. Nyerere saa nane mchana kule terminal one.

Wote mnakaribishwa kwenye tafrija fupi ya kuilaki ndege yetu kubwa kabisa ambayo itageuza shingo ya kila mtu hapo kesho. Kwa wale waandishi wa habari na mtakaofika huko ombeni kuingia ndani na kuona uzuri wa dege hilo....

Huyu ni Kapteni speaking..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom