The Prevention and Combating of Corruption Bureau speaks out on Chenge's fate

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,825
287,846
Hatimaye hawa jamaa waliokuwa wamelala usingizi miaka chungu nzima huku ufisadi ukishamiri waanza 'kumchunguza' Chenge. Je, watafanya 'uchunguzi' wa kweli au watafanya usanii kama walioufanya walipochunguza kashfa ya Richmond?

The Prevention and Combating of Corruption Bureau speaks out on Chenge's fate

Mr Andrew Chenge.
By Mkinga Mkinga
THE CITIZEN

The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) said yesterday that it had launched 'comprehensive' investigations into graft allegations against former Infrastructure Development minister Andrew Chenge.

PCCB director general Dr Edward Hosea told The Citizen in an interview in Bagamoyo that the decision on whether to or not prosecute Mr Chenge would be known soon.

'We know that the public is eagerly waiting for the outcome of investigations on Mr Chenge.

Very soon, everything will be known, he said.

This is the first time PCCB has publicly stated that investigations have been launched against the former minister, who also served as attorney general for 10 years during the Third Phase government.

Mr Chenge resigned earlier this month after it was revealed that he was being investigated in connection with $12 million in kickbacks paid by British arms maker BAe Systems to people who facilitated the sale of an overpriced radar to Tanzania in 2002.

Mr Chenge said in his resignation letter to President Jakaya Kikwete that he has stepped down to pave way for thorough investigations into the allegations.

British newspaper The Guardian reported that investigators with the UK's Serious Fraud Office had established that Mr Chenge operated an offshore account in Jersey having over $1 million (Sh1.2 billion).

Mr Chenge has since denied any connection with the radar deal.

According to the PCCB chief, investigating big shots like Mr Chenge was a daunting task, adding, however, that his office would ensure that no stone was left unturned.

Dr Hosea, whose credibility and that of PCCB was badly dented following the release of the Richmond report in February, said: 'Mr Chenge's issue should help to restore the public's trust and confidence in us.'

However, he could not reveal which areas they were investigating, citing Clause 37 of the Anti-Corruption Act of 2007, which bars him from giving details on those being investigated.

'It is difficult for me to disclose what we are investigating.

Be patient and you will see the outcome very soon,' he replied when asked to explain exactly what the investigation was about.

The PCCB chief also hinted that apart from investigating Mr Chenge, the bureau was also closing in on suspects implicated in the controversial $172. 9 million Richmond scandal.

''We are currently working on the Chenge and Richmond affairs the results will be out soon for further action,'' he said without mentioning others who are also under investigation.

Last February, the parliamentary select committee that investigated the Richmond scandal questioned the integrity of PCCB and called on its top officials to resign for failing to detect irregularities in the deal.

The PCCB declaration came a day after the Minister of State in the President's office responsible for Good Governance, Ms Sofia Simba, told our sister newspaper, Mwananchi, that local and international investigators had started investigating allegations levelled against the former minister.

But she could not reveal which local and foreign organisations were tasked with investigating Mr Chenge who last week became the fourth minister to resign from the Cabinet this year on corruption allegations.

The SFO was investigating the Bariadi East MP to establish whether he received part of the $12 million paid to Sailesh Vithlani by BAe system, following the conclusion of the 28 million pound sterling (Sh70 billion) radar deal.

In its report early this month, The Guardian newspaper quoted Mr Chenge as distancing himself from the deal.

''Chenge does not dispute the money in his Jersey accounts the obvious inference (of the investigations) is that I have received for my benefit 'corrupt payments' from BAE.

This is untrue,'' the UK newspaper reported.

Mr Chenge said he was only involved in minor aspects of the radar deal, which was promoted by other ministries and approved by the Tanzanian cabinet.

His bank records, he said, would show investigators that ''there is no connection to the BAE Tanzanian radar deal''.

The Harvard University graduate's lawyer who served the country as Attorney General till 2005 when he resigned to join politics told reporters on arrival at the Julius Nyerere International Airport that: ''I too want to know the truth about these grave allegations

I hope that this investigation will reveal the truth.'' He was part of President Kikwete's delegation to Asia countries early this month.

So far Mr Chenge has been linked with Sh1.2 billion in an offshore account.

However, media reports suggested yesterday that he has billions more in a local bank.

Reached for comment on PCCB's revelation and reports of more bank accounts, Mr Chenge said he was shocked by news that that he owns operated an account with Sh15 billion in a local bank.

He declined to give details saying he hasn't read the papers to see what has been reported.

Speaking from Dodoma on yesterday, Mr Chenge said: ''It is me again..this time it is Sh15 billion

I really don't understand what's going on''.
 
Hosea kwani naye hayumo kwenye kundi la mafisadi? au ndo wameamua kumtoa sadaka chenge
 
PCCB wanachekesha mbona majibu yao tumesha yajua ? Kuna haja ya kungoja soon or later ? Waliyasema haya kwenye Richmond sasa itakuwaje kwa Chenge .Hapa wanataka kusafishana .Wacha SFO wanyame mnyama .
 
PCCB wanachekesha mbona majibu yao tumesha yajua ? Kuna haja ya kungoja soon or later ? Waliyasema haya kwenye Richmond sasa itakuwaje kwa Chenge .Hapa wanataka kusafishana .Wacha SFO wanyame mnyama .
Lunyungu,

Tuambie majibu ya PCCB unaoyajua wewe,tuache speculation...if you dont know why dont you wait until they realease.
 
That Hosea still has a job is a testimony to the incompetency of the toothless Kikwete administration.

Kikwete is not fit to be a DC, let alone a president.
 
PCCB wanachekesha mbona majibu yao tumesha yajua ? Kuna haja ya kungoja soon or later ? Waliyasema haya kwenye Richmond sasa itakuwaje kwa Chenge .Hapa wanataka kusafishana .Wacha SFO wanyame mnyama .

Nakumbuka walisema kwenye suala la Richmond hakuna hata harufu ya rushwa! nadhani hawana mpya. Bado tu na wao hawajachukua responsibility juu ya kusema kwao uongo kuhusu Richmond?yaani walicook data hivi hiviiii, Hosea I am laughing out soooo loud on you!
 
Lunyungu,

Tuambie majibu ya PCCB unaoyajua wewe,tuache speculation...if you dont know why dont you wait until they realease.

Gembe unabisha tu kwa point ama unataka kumpinga Lunyungu kwa kuwa anasema mawazo yake ? Yaan hadi muda unategemea mimi ama ewe usijue matokeo ya uchunguzi ? Hivi matokeo ya EPA hadi sasa mwelekeo wake ni upi ? Mie sipendi ubishi bwana .
 
Lunyungu,

Tuambie majibu ya PCCB unaoyajua wewe,tuache speculation...if you dont know why dont you wait until they realease.

Wewe signature yako ni quote toka kwa fisadi Mkapa! Fisadi Mkapa aliwasaidia nini waliofukarika kama sio kuwafisadi? Na yeye alitajirika kwa njia za halali? :confused:
 
Kinachoshangaza katika taasisi hii ni kwamba hawachukulii kwa uzito matukio kama haya,wanayaona kama ya kawaida tu.
Huku tuendako mamlaka kama hii yenye dhamana kubwa kwa nchi kutochukua hatua madhubuti kuondoa ushetani wa wizi ktk nchi hii,Wananchi watalazimika kuchukua hatua ambazo wenyewe wataziita haramu
 
Nasikia Chenge na Hosea wanatoka kumoja??? Sasa ngoma itaiweza kumweka kaka yake lupango????
 
Wewe signature yako ni quote toka kwa fisadi Mkapa! Fisadi Mkapa aliwasaidia nini waliofukarika kama sio kuwafisadi? Na yeye alitajirika kwa njia za halali? :confused:
Unaweza kusema jambo ila likawa la msingi sana bila kujali tabia uliyonayo,Mie naamini haya ni maneno ya msingi sana..

Tuwasaidi kuwainu waliofukarika kwanza,then tutafika Mbali..
 
That Hosea still has a job is a testimony to the incompetency of the toothless Kikwete administration.

Kikwete is not fit to be a DC, let alone a president.

I wonder how he survived the Cabinet Minister position for all those years..

Vigugumizi vimekuwa vingi mno katika kutekeleza mambo sensitive. Donald Trump would make a better president than him... as he can hire and fire whenever one performs or acts inappropriately
 
Unaweza kusema jambo ila likawa la msingi sana bila kujali tabia uliyonayo,Mie naamini haya ni maneno ya msingi sana..

Tuwasaidi kuwainu waliofukarika kwanza,then tutafika Mbali..

Mimi huo nauona ni unafiki! Wa kusema jambo ambalo mwenyewe uliyesema unafanya kinyume na kile ulichokisema. Usimuunge mkono mtu kwa maneno yake tu, bali pia kwa vitendo vyake. Tafuta signature nyingine ndugu yangu, hii ya fisadi Mkapa achana nayo.
 
Hapa ni jitihada za kuwahada wadanganyika, kwa sababu kwa issue ya Richmond report ilitakiwa kuwa tayari walipo fanya uchunguzi mara ya kwanza, na hata hii issue ya RADA, maana walisha muhoji huyo Mdosi wakamwachia, na hao wengine wana husika wanao siku nyingi lakini hawa kutaka kuwagusa. Sasa leo hii nini kinacho wafanye wafanye hivyo?
 
The Prevention and Combating of Corruption Bureau speaks out on Chenge's fate

By Mkinga Mkinga
THE CITIZEN

...According to the PCCB chief, investigating big shots like Mr Chenge was a daunting task, adding, however, that his office would ensure that no stone was left unturned.
Hapo anachemka mno. Huwezi kutamka kwamba wakubwa ni vigumu kuwafuatilia. Ina maana jela zitajaa waiba kuku tu. Hii statement ni noma kwa yeye kuisema hadharani!


Dr Hosea, whose credibility and that of PCCB was badly dented following the release of the Richmond report in February, said: 'Mr Chenge's issue should help to restore the public's trust and confidence in us.'

Kwa tamko hili tu, Chenge atashinda kesi kwa technicality! Mtaniambia. Yani hii ni bonge la gaffe. Bonge la false move! Umeshasema unachunguza, huwezi kuonyesha kwamba utatumia hii kesi kurudisha hadhi uliyo poteza. Mawakili wake wa Kimarekani -kama wamesajiliwa pu practice Bongo - hii wataikamata vizuri sana. Bonge la gaffe!
 
Nasikia Chenge na Hosea wanatoka kumoja??? Sasa ngoma itaiweza kumweka kaka yake lupango????

Chenge Msukuma, Hosea kwao ni Musoma ama Kisiwani Ukerewe sijui kama kuna uhusian hapo labda kumoja kwa maana ya mahekalu yao wanayajenga eneo moja kama sijakosea .
 
Chenge Msukuma, Hosea kwao ni Musoma ama Kisiwani Ukerewe sijui kama kuna uhusian hapo labda kumoja kwa maana ya mahekalu yao wanayajenga eneo moja kama sijakosea .

Chenge wa Bariadi na Hosea ni wa Geita. Chenge in Msukuma na Hosea ni aidha Mnyantuzu au Msukuma. Wasukuma na Wanyantuzu ni wamoja, tofauti ni kidogo sana na mara nyingi watu huwachanganya.

Lakini hapa kabila au atokako isiwe tija. Suala ni ufanisi wa kazi ya Hosea ambao nina mashaka nao sana.

PCCB waliishafanya upelelezi kuhusu ili suala la Rada na kikubwa walichoambulia katika upelelezi huo ni kuwa Vithlani 'lied under oath' kwa Mahakama ya Kisutu. Iweje hawakuona ya Chenge na Jersey accounts hadi SFO waone kwanza, halafu ndiyo wanadandia mkuki kwa mbele?

Na huo uchunguzi wa Richmond ni upi tofauti na ule waliofanya awali na ripoti ikasema hakuna kitu, wakati hata kampuni hai-exist? Ninavyosikia ni kuwa upelelezi wa awali wa Richmond walihoji watu si zaidi ya 6 (almost wote mid-level management Tanesco) na hawakuvuta ma-file hata kidogo. Sasa wanataka kuanza na documents za Mwakyembe ndiyo waende mbele.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom