Vimada wa Vigogo Mafisadi.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vimada wa Vigogo Mafisadi..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Mar 25, 2008.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Mar 25, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Niliwapa onyo mwaka jana... mkadhani ninawatania.. mjiandae.... mmoja baada ya mwingine ili liwe somo kwenu na kwa wapambe wenu.. Mnataka kuzungumzia mambo ya kitandani na chini ya mablanketi?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Mar 25, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Kheeee...vipi Yakhe...mzuka wa Kwame umekuingia nini? Mbona watoa onyo kali hivyo...?
   
 3. M

  Mitomingi Senior Member

  #3
  Mar 25, 2008
  Joined: Jan 15, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana nawe maana recently kumekuwa na wanachama wapya ambao wamekuja mahususi kujibu hoja za ndugu ama Baba zao mafisaidi wana acha hoja sasa wana anza kusema mara Zitto na Wabunge w vipi maalumu na Mbowe .Haya nyuki wanaanza kufunguliwa tuone atakaye baki kasimama .
   
 4. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  jamani Mwkjj mbona umeniacha kwny mataa mkuu, umeanza katikati bwana hebu tupe uhondo kama unao or am missingi something hapa
   
 5. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Sidhani kama kuna mtu atapona asilimia 90 ya wanasiasa nchini Tanzania wana vimada si upinzani si ccm!yakianza kutajwa majina na vimada wao humu ndani hapatakalika!!!Mzee mwanakjiji wastiri wazee wetu!!!
   
 6. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu Mwanakijiji, hapo gari lako limeanza na gia namba tano. Ile kuwashwa tu na kuondoka. Lipi limetimia ulilosema. Mwaga hadharani JF tuchambue.
   
 7. M

  Mitomingi Senior Member

  #7
  Mar 25, 2008
  Joined: Jan 15, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sir Leem umetoka kwenye ile mada ambayo umeshabikia Mbowe kuitwa Malaya kalala na wabunge wa viti maalumu na Zitto .Hii tayari mmeshindwa hoja mnaanza vioja . Mambo haya si Mwanakijiji pekee anayajua tunayajua sote so sasa nadhani is time tuanze kutaja tuone wapi zaidi na wapinzani hawana cha kupoteza mwisho wa siku.So tuanze tuone atakaye salimika .
   
 8. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  wao wakivua nguo na kwenda nude basi kila kitu kinakuwa fair game hapa JF .... na this time wasitegemee kuwa kuandika PM ili mambo yao yasiwekwe kutasaidia tena!
   
 9. M

  Mitomingi Senior Member

  #9
  Mar 25, 2008
  Joined: Jan 15, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I warned these guys muda sasa lakini wamekuja na gia kubwa ya kuzusha na kuacha kujadili hoja chovu.Leo wameanza kumtukana Mbowe na Zitto na wameacha hoja yenyewe .It is aboit time sasa twende deep na kuona lipi linafaa .Nasema Wapinzani got nothing to loose sasa wacha tuingie kwa undani kijulikane kwanza CCM wanasema kuzaa nje ya ndoa ni Ujasiri .Comments za mtu mmoja last week mie hata sikutaka kugusa wala kusema leo nasema maana I am about to explode myself then mtaokota vipande
   
 10. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2008
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 2,376
  Likes Received: 5,013
  Trophy Points: 280
  Ningefurahi kama ungeanza na kimada wa fisadi mkuu ambaye walikolea mpaka wakatiana mimba live ikabidi itolewe.
   
 11. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Taratibu mkuu!

  Wakati mwigine nashawishika kusema kuwa Kikwete ahusiki na hawa surrogate wake hapa JF. Baada ya ile operation aliyofanya Mengi ya kuweka vinasa sauti kwenye mkutano wa Rostam Azizi, Balile na wanahabari wengine waliokuwa wanapanga njama ya kuanza kumchafua Mengi wa IPP, Kubenea, na Mbowe ili kulipiza kisasi kwa skendo za BoT na zinginevyo zinavyowekwa hadharani, nimegundua kuwa hawa jamaa wameamua kwenda south na from now on vitu vingi sana vinaanza kuwa fair game hapa.

  Get it ready JF for the best retaliation mission in town!
   
 12. M

  Mitomingi Senior Member

  #12
  Mar 25, 2008
  Joined: Jan 15, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa ni kwamba ukumbi uko wazi ndugu Mambo taja tuzame kupata data za ukweli .So kama unamjua taja ama Kimada ama mwenye Kimada JF tutamalizia wenyewe
   
 13. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2008
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,624
  Likes Received: 2,442
  Trophy Points: 280

  Wanainama, wanainuka, wanaona haoo!!!!

  Mkjj, shusha mambo mwana wane, maana hawa watu badala ya kujibu hoja thabiti dhidi ya ufisadi na uharamaia wanaouufanya dhidi ya uchumui wa nchi yetu wao wanawatumia wapambe wao hapa kuwachafua watu wanaoonekana kuwa viongozi wa mapambano haya...tuone sasa nani atasalimika na katika vita ambayo wameianzisha wao,tatizo la uovu ni kuwa huwa unaacha a trail of where the doer passed...
   
 14. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tatizo lao ni kuwa wanasahau kuwa mwenyekiti wa ccm wa taifa na ambaye pia ni raisi wa Tanzania - Jakaya Kikwete anaweza kuwa anaongoza kwa mambo ya chini ya kitovu kuliko wengi wanavyodhani.

  Sasa kama Makamba alivyosema kuwa usirushe mawe ukiwa ndani ya nyumba ya vioo, basi sijui nani atasilimika huko sisiem ambako mambo yao yanajulikana hata na watoto wa shule ya msingi ya Mabibo!
   
 15. M

  Mitomingi Senior Member

  #15
  Mar 25, 2008
  Joined: Jan 15, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wasema hivyo mbona hawatiii mkono hapa si wanajifanya wanaweza kuzoza hovyo ? Sasa wacha tuanze .
   
 16. P

  Paparazi Muwazi JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2008
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
 17. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Paparazi Muwazi mbona vitisho vingi sana!

  Ingawa sidhani kama njia ya kuanza kuweka ngono za Kikwete hapa (ambazo ni kibao tu kwenye shelf) ni njia lakini sidhani kama ukianza vitisho hapa ndio unasaidia chochote zaidi ya kukumbusha machungu ya kukamatwa kwa wana JF --- grrrrrrrr
   
 18. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Duh! mtu unasoma mipost yote hii hakuna hata jina la kimada hata la kwanza tu...ama kweli mada zingine usanii...mnatishia tuuuu..utadhani mnataka jitoa mhanga! taja kama unajua,,kama hujui kula kona. Ok? Tafadhali watajaji msitaje wa JK maana ni kumvunjia heshima ati..ilikuwa enzi hajawa president..kwa sasa hana hata wa kumsogelea....msitaje vya zamani..tajeni live kama vipo.tajeni hata vimada wangu,,maana ni ujasiri au urijali wa ki-Dito ati. LOL!.
   
 19. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  debe tupu haliachi kupiga kelele.

  ukiona mtu ntaje si taje nyingi ujue hana mpya huyo mtendaji hana maneno mengi.
   
 20. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  inaonekana hujasoma hiyo link ya Paparazi muwazi hapo ili upate pa kuanzia mkuu!
   
Loading...