Tucta changes May Day motto- UFISADI UTAISHA

LeoKweli

JF-Expert Member
Apr 23, 2008
335
18
The theme for this year`s May Day has been changed following government instructions to the Trade Union Congress of Tanzania, according to a top-ranking trade unionist.

The discarded theme was: ``Quality life for every Tanzanian can be attained if we eliminate grand corruption.``

The motto has been replaced as follows: ``Economic growth should be manifested by equitable distribution of the national cake.``

Speaking to The Guardian in Dar es Salaam, Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA) Secretary General Nestory Ngulla said the unions` umbrella body had been instructed to change the slogan.

He said it had been construed that the theme was directly attacking people who were implicated in various grand corruption scandals and could therefore build a negative attitude of workers to those implicated.

Ngulla said after considering the fact that the media was attacking those allegedly caught up in the scams ``we agreed to change the theme because we don`t want to be involved in shaping the people`s negative attitude towards those who had been implicated.``

He said that the Minister of Labour and Youth Development had issued the instructions to the Trade Union Congress and after deliberations, the congress agreed to change the theme.

He, however, said that the message of the new rallying cry did not differ from the previous one but rather carried similar content.

``The original slogan was directly advocating the equitable sharing of the national cake, so that a few people should not be the ones to benefit most. The second theme also carries the same massage even though the word �graft� is excluded,`` he said.

Ngulla said that this year`s theme had been designed in a way that allows both the workers and the government to benefit from national income.

When contacted, the Minister for Labour and Youth Development, Prof Juma Kapuya, said the process of selecting a rallying cry usually involved both the government and the trade unions.

``The trade union congress usually forwards four suggested themes to the government, one of which is picked up by the government. However, this time, the trade unions announced the slogans even before submitting them to the government,`` Kapuya said.

He said by doing so, TUCTA had gone against the tradition.
Asked what was wrong with the motto ``Quality life for every Tanzanian can be attained if we eliminate grand corruption,`` the minister said he could not comment on the matter because he had been away and had just returned to Dar es Salaam.

This year`s Workers Day will be cerebrated at national level in Iringa. Prime Minister Mizengo Pinda is expected to grace the occasion.

Recently, a number of senior government officials resigned after they had been implicated in major corruption scandals.

SOURCE: Guardian
 
Hapa maana yake nini? tuite spade kijiko kikubwa badala ya spade a spade! hahahahahaha!!!!ama kweli sisi ni wadanganyika kweli,eti halafu inabidi TUCTA kupeleka theme nne then sirikali inachagua them wanayopenda wao!!!!ama kweli bado tupo gizani
 
Unajua vyama vya Wafanyakazi Tanzania havina nguvu kwa sababu ya upuuzi kama huu.Yaani mpaka slogan mnashindwa kuamua na kujiamulia!!! Sasa We Mangulla mtaamua mambo gani mazito ya wafanyakazi??!!Tucta hamna tofauti na JUWATA nyie bado ni chombo cha serikali
 
ima maana wanatufundisha tuwe INDIFFERENT KWA UFISADI?
ina maana tuuchukie ufisadi, tuwakumbatie mafisadi?
ina maana tusubiri mpaka hapo wenye keki watakapoamua kutupa?
ina maana wasipotupa tukae kimya?
ina maana kuwachukia mafisadi ni vibaya? inaleta picha mbaya?
TUMEKWISHA.
nDIO NAULIZA CHOMBO GANI/OFISI GANI IATAKAYOWEZA KUIFANYA HII KAZI YA KUWANG'OA MAFISADI?
Nadhani itabidi ifanywe nje ya ofisi, manake kila ofisi imepata kigugumizi
 
Halafu hana hata aibu anaenda kutangaza kwamba wamebadilisha motto kufuata maelekezo ya serikali na bado anajiita ni chama huru cha wafanyakazi! Screwed!
 
bora jamaa wangebadili hiyo slogan halafu wakajikalia kimya, hii ya sijui tumeambiwa tubadili haiingii akilini. kwanza kwa nini walikubali kubadili?. yaani wameshindwa kumshawishi waziri kwamba kupambana na ufisadi ni jambo zuri kwa taifa na hivyo kustick na msimamo wao.
na pia wameshindwa kujenga hoja kwamba kupambana na ufisadi siyo vita kwa watu wema bali wale wanaolihujumu taifa?

hapa siwaelewi!
 
je viongozi a TUCTA hawa mahusiano ya moja kwa moja na wanene wa Nchi maana nadhani TUCTA wanatakuwa kuwa na viongozi ambao wanajiamini na wanaamini katika yale wanayo yapanga .TUTCA imewasaliti .
 

He said it had been construed that the theme was directly attacking people who were implicated in various grand corruption scandals and could therefore build a negative attitude of workers to those implicated.

Ngulla said after considering the fact that the media was attacking those allegedly caught up in the scams ``we agreed to change the theme because we don`t want to be involved in shaping the people`s negative attitude towards those who had been implicated.``

Mmmmmmh! Media is attacking those allegedly caught up in the scam!? :confused:
Where is the evidence to support this accusation?

Ufisadi utakwisha kwa usanii!? :confused:
Wanataka kumdanganya nani?
 
NUTA,JUWATA,OTTU,TUCTA...what's the difference anyway?

Je kina Ngulla wanaweza kumzaa "Tsvangirai" wa Tanzania?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom