Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 45
Nimeandika barua pepe na CHADEMA kwamba kama nataka niendelee kutumia hii signature:
CHADEMA ni chama mbadala kinachokua na kinachoongozwa kwa Falsafa ya Nguvu ya Umma na kuamini katika itikadi ya Mrengo wa Kati. CHADEMA inawataka Watanzania kuelewa kwamba mabadiliko ya kweli yataletwa na kubadilisha mfumo wa utawala. Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadi walewale, wa chama kile kile, chenye uoza ule ule, wakiendeleza yale yale kwa ari, nguvu na kasi mpya. CHADEMA inatambua kwamba kwa falsafa ya Chukua Chako Mapema (CCM), Tanzania yenye neema kamwe haitawezekana
Ambayo ni maneno rasmi ya CHADEMA yaliyoko kwenye tovuti ya chama basi niache kuandika mipasho humu JF.
Nimewaambia sitaweza kunyamaza pale ninapotakiwa niseme ukweli. I will always call a spade a spade. Kwa hiyo natangaza rasmi kuacha kutumia hii signature. Badala yake nitatumia hii
Huu ni mwanzo wa mwisho wa Chama Cha Mafisadi(CCM), hakuna dola idumuyo isipokuwa ya Mungu tu. Ni wakati wa vyama mbadala, kimoja wapo kipo hapa www.chadema.net, mabadiliko ni chakula kisichokifu