Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 799
Hoja yangu hapa ni kuwa kutokana na mambo ya International Relations in the era of Globalization serikali zote duniani zimenunuliwa au msamiati mzuri ni kuwa hazina tena nguvu za ku act katika arena mambo ya kimataifa
In short market forces non state actors wko more valuable kuliko serikali i.e makampuni kama Richmond,Goodworks, Scowcroft na zinginezo ambao sina haja ya kuzitaja. Kwa mnaofuatilia mtajua kuwa mwanzo wa wiki hii inayokwisha benki ya pili kwa Ukubwa duniani ya MORGAN STANLEY iliuza stake kiduch kwa serikali ya CHINA kwa $5 billion( mind you, MORGAN STANLEY ina worth $1.2 TRILLION kwahiyo $5 BILLION ambayo hawa jamaa wa Chinese Investment Corp wamenunua toka kwa MS ni just a drop in a bucket kwa hao jamaa) na nadhani mnajua kam hii yote ilikuwa ni njia ambayo M.S wametumia kuraise capital after taking $9.4 billion katika zile writedowns on mortgage-related investments. na Morgan stanley hawako pekeyao kwani tunajua kuwa serikali ya Abudhabi ilinunua 4.9 percent ya citygroup kwa kiasi cha $7.5 billion.
zaidi soma hapa:
Kwa msionielewa pointi yangu ni hii:
Contrary to popular belief kuwa serikali zinalose nguvu katika hii era ya globalization tunaona nchi nyingi za ARABUNI,FAR EAST mpaka PACIFIC ASIA zikifight back kwa kuweka hazina kuwa ya hizo SOVEREIGN WEALTH FUNDS na kwa mlio UK nadhani mliona jinsi serikali ya Qatar ilivyokuwa aggressive katika kutaka kununua Sainsbury huku Thames water ikiwa imenunuliwa na hao waarabu
Sisi kama Tanzania tunauweza kuwa na mfuko mkubwa tu wa hizi SWFs kwani rasili mali tunazo,uwezo tunao ila tunahitaji kuweka system sawa.
Ili hii iweze kufanya kazi kunahitajika ushirikiano wa karibu kati ya HAZINA,BENKI KUU,FEDHA na FOREIGN.
In short tunahitaji LOOK EAST POLICY badala ya kwenda kupiga mapicha na kuwasikiliza matapeli wa akina ANDY YOUNG na ma investor wa Kiingereza wasioeleweka.
Bora tuwape hayo madini hao wachina kwa kujua kuwa Watajenga barabara,hospitali,nyumba,madaraja na of course watastay out of politics
sijui wazee hili mnasemaje?kuna mengu naweza kusema lakini yote yatatokana na michango yenu
KUHUSU china investment corporation hebu soma hapa:
http://news.bbc.co.uk/1/hi/business/7046855.stm

Morgan Stanley, the No. 2 U.S. investment bank, on Wednesday reported a larger-than-expected fiscal fourth-quarter loss due to a $9.4 billion writedown from its exposure to subprime and other mortgage-related investments.
The company also said China's government-controlled investment vehicle has invested $5 billion to help replenish its capital.
China Investment Corp., which also owns a stake in private-equity firm Blackstone Group LP, will control no more than 9.9 percent of Morgan Stanley once its investment converts to common shares in 2010.
![]()
http://www.ft.com/cms/s/0/294ed78a-a...0779fd2ac.html