Muungwana kumg'oa Pinda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muungwana kumg'oa Pinda?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakulwa, Oct 11, 2008.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. K

  Kakulwa Senior Member

  #1
  Oct 11, 2008
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari zilizonifikia leo kutoka chanzo changu cha uhakika zinasema muda si mrefu kuanzia sasa Muungwana atafanya reshuffle nyingine na atamuondoa pinda katika nafasi ya uwaziri mkuu kwavile anaonekana kupwaya na kutoimudu kauli mbiu yake ya kasi mpya.

  Chanzo hicho ambacho kiko karibu na mtandao maslahi kinasema Lowasa atarudi ulingoni lakini siyo katika nafasi ya uwaziri mkuu tena lengo ni politiki ya Muungwana katika kupunguza 'maumivu' aliyomsababishia Lowasa katika shwala zima la kashfa ya ufisadi kwa madai kuwa 'hakumkingia kifua'.

  Mpasha habari anasema,aliyoandika Kubenea siyo madogo na hivyo kumweka muungwana njia panda na kuzidi kumgwaya lowasa kwani kama lowasa atadhamiria kweli inaweza kuleta mpasuko mkubwa ndani ya chama na taifa kwa ujumla.

  Habari kwa sasa ndiyo hiyo wakuu,mengi zaidi baadaye!
   
 2. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  lisemwalo lipo! kama halipo laja! yetu macho
  anayepwaya siyo pinda peke yake, hat jk amepwaya vibaya sana
   
 3. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #3
  Oct 11, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Hivi watafanya lini kazi? Na what about sisi wananchi?
   
 4. M

  Masatu JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Join Date: Fri Oct 2008
  Posts: 1
  Rep Power: 0
  Kakulwa
  Thanks: 0
  Thanked 1 Time in 1 Post
  Credits: 301

  Haya Bw/Bi tumesikia....
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Yawezekana maana mambo iwa yanakuja hivi hivi hapa kiutani utani baadae tunaanza kuita ni breaking news...ngoja tusubili.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160


  MoDs tafadhali hii tunaomba uihamishie mahali pake Udaku ! Jokes! Nyepesi, hivi vyanzo vyenye uhakika naona vinakuwa vingi JF...mshikaji anapost moja anakuja na makeke ile mbaya....Karibu sana JF mkuu Kakulwa naona umeingia kwa ID nyingine.....
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  heri mimi sijasema
   
 8. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2008
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wakati mwingine Masatu, nakuvulia kofia. Haya maneno yako makubwa kuliko kitabu kizima. Akili mwe kichwa, akili ni nywele
   
 9. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2008
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  PINDA ni chaguo la Mungu kwa WaTanzania
   
 10. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Huyu Kakulwa anaweza kuwa ana malengo yake kuweka bandiko hili.
  lakini wakuu on a serious note, hivi mnauonaje utendaji wa Pinda tangu ateuliwe kushika wadhifa huo? Has he delivered as expected?
   
 11. M

  Masatu JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Is too earlier to judge him but my short time periodical review is "atleast he hasnt done any harm" and he slightly lean towards the path of Dr Mohammed Shein of "keeping low profile"
   
 12. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Dont JUdge A Book By Its Cover!
   
 13. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #13
  Oct 11, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280

  ...hoja yako inatamanisha ...lakini kwa kuwa hii ni post yako ya kwanza inanipa tabu moja kwa moja kukubali au kukataa...kupanda gari yako/..
   
 14. K

  Kakulwa Senior Member

  #14
  Oct 11, 2008
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  'Watu wanadhani JK ni naive,hajua yanayoendelea nchini.Nakwambiaje,JK anawajua wabaya wake wote na anajua changamoto zinazomkabiri wakati atakapoomba kura mwaka 2010.Wewe si unaona hii ziara ya mbeya,si unaona alivyouteka mkoa kwa juhudi za kina mwakipesile?Mambo ndiyo yameanza kuelekea 2010'.chanzo hicho kiliongeza.

  Chanzo hicho chenye heshima na ambacho ni muhimu katika mustakabali wa taifa kilithibitisha pia kuwa Rais mstaafu Mkapa alikwishamuonyaJK kuwa asimpoteze Magufuli kisiasa kwani atamsaidia sana kurudisha imani iliyopungua ya wananchi kuhusu matarajio waliyokuwa nayo kwa JK kabla hajawa Rais.Hivyo JK atampa wizara mojawapo kati ya miundombinu ili arudishe kasi ya ujenzi wa barabara au elimu ili aendeleze ile kasi ya ujenzi wa shule iliyoanzwa na Lowasa ambayo imempa sifa sana JK hasa kwa wahisani.

  Chanzo kinasema timu ya ushindi ya JK 2010 imeshaundwa na imepewa jina la 'KIKWETE TENA 2010' inayoongozwa na mmoja wa viongozi waandamizi wastaafu wa usalama wa taifa(jina linahifadhiwa),na wameshaanza kuzunguka mikoani na kuzungumza na viongozi wa mikoa ili kujua kukubalika kwa JK 2010.

  Wakuu mwenye macho haambiwi tazama,kama mnategemea habari mpaka mletewe na mwakakijiji ndiyo muamini,haya!

  Habari ndiyo hiyo wakuu,nitazidi kuzileta kwa kadiri ninavyozipata.
   
 15. A

  August JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2008
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,507
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Hili li PM linawezekana, ingawa tuna liona ni gumu , kwa sababu ya impact yake ya kuwa na wastaafu wengi wa U-PM.
  The Key thing ni kwamba Aliye Kuwepo Hana Mvuto wa kutosha wa Kumletea Kiongozi wetu Kura Nyingi, kwa sababu hayupo kwenye siasa za makundi, na labda utendaji wake Pia.
  So inaweza ikatokea mto wa Kusini Nyanda za Juu/ Kanda ya Ziwa.
  Unajua siasa zetu zimeja Ghiliba, sasa kinacho tafutwa ni Ghiliba itakayo leta matokeo mazuri.
   
 16. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kakulwa, jifunze kusoma alama za nyakati
   
 17. M

  Masatu JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Taratibu mkuu uzuri wa jamvi hili kunakitu kinaitwa self-censorship hivyo wala usikwazike wewe lete habari kila mtu ataichukua kwa anavyo iona......
   
 18. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mkuu Kakulwa, kwa taarifa yako, hapa hapa jamvini, mizi kadhaa iliyopita, yupo mtu ambaye alikuja na hoja inayofanana na yao, akasema EL atarudishwa katika baraza 'hivi karibuni'. Mpaka leo hiyo hivi karibuni haijatimia, hivyo, kama unataka kuwashawishi watu waamini unachokisema, weka uthibitisho, si haya maneno ambayo kila mtu anaweza kuyasema
   
 19. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2008
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Unamaana ni maamuzi gani ameyafanya KIMAHIRI mbele ya vyombo vya habari kama alivyokuwa FISADI LOWASSA?........

  Tanzanianjema
   
 20. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2008
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sasa tunakupata kaka.....

  Tanzanianjema
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...