Mtihani wa kesho huu hapa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtihani wa kesho huu hapa!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kigarama, Oct 12, 2008.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2008
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kutokana na watu humu ndani kudai kwamba mitihani imekuwa inavuja kila mwaka na kilichobadilika ni aina ya teknolojia inayotumika kuivujisha,nimeamua kuweka mtihani Historia wa taifa wa kidato cha nne utakaofanyika kesho ili kwamba kila mwenye kuuhitaji basi ajipakulie hapa, asije akafeli bure!!

  Kitu!!

  1. Why did British adopt indirect rule system in their colonies?
  2. Explain the factor of the rise and consolidation of the centralized states in different African societies
  3. how did the outbreak of World War I and world War II intensify the rise of nationalism in Africa
  4. Describe various methods used in the establishment of colonial economy
  5. explain the factor of exploitation in mode of production in Africa around 15th Century
  6. Political instability is inevitable to Africa. Verify this statement and measures taken to prevent them
  7. Factors of abolition of slave trade
  8. how did USA support the decolonization of African colonies
  9. In which way colonial education destroy African culture
  10. Effective mass education maintained resistance against colonialism .Discuss
  11. Discuss form and the motive of African nations reaction against colonial occupation

  And then there is a map on which a candidate needed to spot the East Africa costal cities historical Sites and answer the Questions about African resistance against Colonialism and who was involved
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Duuh, kweli dunia imebadilika!!!! What an audacious attempt..... :confused:
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Oct 12, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Ah!

  Mi nachoka kweli! Mtu anaweza kuchukulia huu ni utani lakini yawezekana kwa asilimia kubwa huu ndio ukweli...

  OMG!
   
 4. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Nashukuru kwa jitihada hizi za kufichua uovu huu. Sasa tunaomba anaeweza amtumie Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani kwa email. Ikiwezekana mwingine mwenye hiyo pepa aifanyie scanning atuwekee yote hapa nzima.
   
 5. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #5
  Oct 12, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Duh,ngoja kesho tuone.Hah! Kama itakua hivi au ukiwa huu huu basi kwa nguvu zote nitajitolea kuhakikisha Maghembe na Ndalichako wanaipata fresh.
   
 6. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2008
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mimi sichapi mitihani lakini huu nimeupata kutoka Source sita tofauti za mikoa minne ya nchi yetu. Mara ya kwanza nilipata wa Civics nikajaribu kuwapigia PCCB nikaona kimya,ulipofanyika walioufanya wakasema ni wenyewe.

  baadaye nikapewa wa Kiswahili na Geography na yote ikawa yenyewe na huu nimepewa jana na aliyenipa alinionyesha hadi ramani iliyopo kwenye mtihani wenyewe. Huwezi kuamini alikuwa na original printed paper ya geography kabla ya mtihani kufanyika!!
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Oct 12, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  hayo maswali yamenifanya vidole vitoke jasho tamaa ya kuanza kudiscuss ikinifunika kama ukungu! Hivi hakuna maswali mengine maana haya ndiyo tuliyoyafanya miaka ile... msiniambie bado maswali ni yale yale!
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Oct 12, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Do me a favor, scan the front page ONLY and post it here, kama huwezi then scan it, send a copy to invisible@jamiiforums.com and I will promptly bring it here... Otherwise inatuwia ngumu kuamini hii habari, ni serious sana kiasi inaweza kupelekea watu kumwaga unga wao!
   
 9. N

  Nurujamii JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2008
  Joined: Jun 14, 2007
  Messages: 414
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Shukrani sana. naomba kujua tutajuaje kama ni wenyewe huu hapo kesho. Kwa sababu wizara inasema papers zinazombaa ni feki. Naomba ikiwa ni yenyewe mtuarifu please. This will be the reason to cancell mtihani wote na hao jamaa wakubali kujiuzulu
   
 10. M

  Masatu JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  MMh mbona hiyo format ya maswali ya kujieleza (normally section B) huwa haina maswali 15? hata language na aina ya maswali ni "utata" kidogo... Im not rulling out anything but mmmhh haya....
   
 11. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Sasa hivi nimetuma email kwa katibu mtendaji wa NECTA kwenye anwani esnecta@necta.go.tz. Mnaoweza hebu fanyeni hivi labda itamstua huyu mama kuelewa kuwa haya mambo yanawakera watu na wanayafuatilia kwa ukaribu.
   
 12. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #12
  Oct 12, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Kabisa mkuu,

  Na hili ndilo la kufa nalo hivi na PCB si walitoa namba yao hadharani? Je,ya IGP?
   
 13. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2008
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,446
  Likes Received: 7,185
  Trophy Points: 280
  Safari hii hata english haikuwa na structure maswali yote yalikuwa ni kujieleza
   
 14. O

  Ogah JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Hivi ni Taifa gani tunajenga???.................Damn
   
 15. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #15
  Oct 12, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nasikia kichefu chefu...!
   
 16. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #16
  Oct 12, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Duh,siku hizi hawafuati ile format tena? Na kama wali-change wanafunzi waliarifiwa au kazi kuvuruga exaination format kiholela tu?
   
 17. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2008
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,446
  Likes Received: 7,185
  Trophy Points: 280
  Tanzania imeoza kila pembe!
   
 18. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kama ni kweli hii inatisha kweli kweli. Mtumieni JK hayo maswali, ubabaishaji umezidi. Mrudisheni prof. Mmari baraza la mitihani hata kama ni kwa part time ili aokoe jahazi.

  Taifa kweli liko njia panda.
   
 19. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #19
  Oct 12, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Ungescan hiyo karatasi halafu uiweke ingependeza sana
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Oct 12, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Si kweli... nchi yetu haijaoza kila pembe...
   
Loading...