Ripoti ya Jukwaa la Wahariri, Mbona Kimya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ripoti ya Jukwaa la Wahariri, Mbona Kimya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ibrah, Oct 13, 2008.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2008
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Wiki iliyopita Whaahri wa magazeti mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wao Sakini Datoo walitutangazia umma kupitia vituo tofauti vya Televisheni kuwa Jumapili 14 Oktoba 2008 watatoa hadharani Ripoti yao juu ya malalmiko ya CHADEMA.

  Ikumbukwe kuwa walijtetea kuwa kuitoa Ripoti hiyo kabla ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi inaweza kutumika kama silaha ya vyama vya siasa kwenye kampeni. Jumapili imepita, uchaguzi umepita na Mshindi kajulikana; tulitegeme jana wangeitoa lakini bado kimya,kulikoni?
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Walisema wataitangaza kesho
   
Loading...