Katika kupitia gazeti la Nipashe nimekumbana na habari yenye kichwa cha habari kinachosema-Jeshi sasa laanza biashara ya ulinzi, na baada ya hapo ilinikumbusha miaka ya 1979/80 hivi wakati Dar...
Guinea PM Surrenders to Coup Leaders
By Scott Stearns
Dakar
25 December 2008
Guinean Prime Minister Tidiane Souare (file photos)
Guinea's prime minister has surrendered to coup leaders...
Huu ni wakati wa kuhinua uchumi wa nchi yetu TANZANIA.
Lazima Serilikali hitumie kila mbinu kuhinua hali ya maisha ya wananchi.
Kwa sasa hivi Tanzania uchumi wetu mkubwa unatokana na kilimo...
Polisi waonyeshe vitambulisho, namba zao wanapokamata watu
Maulid Ahmed
Daily News; Friday,December 26, 2008 @00:01
Katika harakati zangu mbalimbali za kila siku katika maisha yangu...
John Nditi, Morogoro
Daily News; Friday,December 26, 2008 @00:02
Umoja wa Makanisa ya Kikristo Tanzania (CCT), umeonyesha hofu ya kile kinachoonekana kuwapo kwa mgawanyiko wa viongozi ndani Chama...
Date::12/25/2008
Vigogo BoT wakatwa posho kwa asilimia 75
Ramadhan Semtawa
Mwananchi
VIGOGO ndani ya Benki Kuu Tanzania (BoT), sasa wamebanwa zaidi, kufuatia hatua ya uongozi wa benki...
Heshima Mbele,
Nipo Hapa Nairobi toka juzi kwa shughuli maalum ya kidunia,na nimebahatiaka kusoma katika magaeti ya hapa kukwa Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete atapewa shahada ya heshima(shahada ya...
Habari katika Mtanzania Daima zinadai kuna uwezekano Msekwa, Lowassa, Kisumo na wengine wakaonja Ukonga kwa kukaidi mahakama. Habari zaidi soma hapa chini:
Lowassa, Msekwa kortini
Wadaiwa...
Kuna taarifa kwamba TRA Uwanja wa Ndege wa Mwanza Idara ya Ushuru wa Forodha, wamezuia makasha kadhaa ya kampuni ya Barick Gold, yaliyokuwa yakipelekwa North Mara, kule Tarime.
Habari zinaeleza...
Sendeka awavaa wanaokingia kifua vigogo
2008-12-24 12:38:07
Na Simon Mhina
Mbunge wa Simanjiro (CCM), Christopher Ole Sendeka, amesema kamwe hakuna kigogo nchini atakayekamatwa na nchi...
JAMII FORUMS CSI at your service. WHAT'S YOUR QUESTION?
"...because outright fronting' and lying should be a crime"
WHY THE jf CSI UNIT?
IF YOU NEED SOMETHING INVESTIGATED LET...
Ufisadi
Kufuatia kesi za kifisadi zinazoendelea nashindwa kujizuia kuhoji juu ya thamani ya ardhi kwani tunaona kila siku watu wakilalamika kuhusu wameonewa na serikali yao kwa kufidiwa milioni 2...
Hati za Jeetu Patel zatiliwa shaka
Timothy Boniface
Daily News; Tuesday,December 23, 2008 @21:15
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, jana ilitoa agizo la kufanyiwa uthamini upya...
Hivi serikali inapoamaua kwa kusudi kuwazuia wananchi wa kisiwa cha mafia wapatao 40,000 wasivue samaki maana yake ni nini? surely this is a clear road to STATE SPONSORED GENOCIDE KULE KISIWANI...
SIPENDI tena sitaki kusikia eti Rais wetu Jakaya Kikwete, alitakiwa aingie kwenye mtumbwi kuvuka Mto Ruvuma kwenda kuhudhuria sherehe za uhuru wa Msumbiji.
Tena mtumbwi wenyewe uwe wa kusukumwa...
Pasipoti, viza sasa kulipiwa benki
Mwandishi Wetu
Daily News; Monday,December 22, 2008 @21:15
Idara ya Uhamiaji nchini imeanzisha utaratibu mpya ambapo kuanzia mwezi ujao, malipo ya huduma...
Date::12/23/2008
Makamba:Sijaenguliwa, ni utaratibu
Na Jackson Odoyo
Mwananchi
SIKU moja baada ya Kamati Kuu ya CCM kumuengua katibu Mkuu wake Yusufu Makamba kuongoza kampeni za uchaguzi...
'Germ warfare' fear over Tanzanian monkeys taken to Iran
THISDAY REPORTER
DAR ES SALAAM
HUNDREDS of endangered monkeys are being taken from Tanzania and sent to a 'secretive' laboratory...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua mgombea wake wa ubunge jimbo la Mbeya Vijijini na kumwengua katibu wake mkuu, Yusuf Makamba katika safu za mbele za kutetea ushindi katika uchaguzi huo.
CCM...