Dr. Jakaya Mrisho Kikwete! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Jakaya Mrisho Kikwete!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gembe, Dec 19, 2008.

 1. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Heshima Mbele,

  Nipo Hapa Nairobi toka juzi kwa shughuli maalum ya kidunia,na nimebahatiaka kusoma katika magaeti ya hapa kukwa Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete atapewa shahada ya heshima(shahada ya udaktari wa sheria katika chuo kikuu cha kenyatta).

  Mtu mwingine atakayepewa ni rafiki yangu wa siku nyingi Makamu wa Rais wa Kenya.

  Hivyo kuanzia Leo,Mkulu,Muungwana atakuwa akiitwa

  Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.

  Hongera Mkwere na na nakupongeza sana mhe. ais wa taaifa hili.Na nakushauri kw akupewa heshima hii basi wape watazania Maisha Bora ambayo uliwahaidi(Special request)!

  Najua ulishaamua kuwakataa Mafisadi kwa staili flani ila nisaidie katika hili pia.Watu wanalia na wana nja kali sana na kama ikiwezekana fanyia kazi yale maneno ya Mchungaji na Mzee Mwanakijiji.

  Kwa kupongeza zaidi naomba utuondolee Mataka pale ATCL na afunguliwe Mashataka kwa kuliingiza taifa katika mzigo mkuwba wa Madeni(ikumbukwe ndege za Airbus zimekodiwa ila hakuna pesa inayoingizwa hapa).

  Mhe. Rais Zaidi ya yote nitashukuru sana kama utafanya watanzania watakavyo na kuachana kidogo na ibara ya 13 ya CCM kwa kipindi hiki.

  Nakupongeza sana na kwa niaba ya wanajamii tunakutakia sikukuu Njema ya Krismai na Mwaka Mpya ila kama utafanya yale tutakayokuwa tukikuambia.

  asante sana
   
  Last edited by a moderator: Dec 22, 2008
 2. E

  Edo JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2008
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hongera muungwana ku-ukwaa u Dr
   
 3. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  source:Kenyatta University Website
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sitoi hongera hadi Rostam aende Kisutu....hawa madaktari wa kupewa wapo wengi kumbuka hata mama Gertrude Rwakatare naye anao!!!
   
 5. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tumpe hongera yake mheshimiwa wetu, lakini kwa nn kapewa ya Sheria!?
   
 6. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2008
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  Je whats his contribution mpaka apate u Dr? tumegee basi. Maana kila apewaye huwa kuna kitu kachangia. Au kurandaranda duniani?
  The President of the United Republic of Tanzania will be honored with a Doctor of Humane Letters (honoris causa) in recognition of his great effort in leadership excellence, peace initiative and support for education. Nina wasiwasi na hili la great leadership excellence. Unless Kenyatta university wana definition yao ya leadeship excellence. Support education ya wapi? Kenya au Tanzania? maana shule kibao hazina vifaa wala walimu. Majengo yaliyozagaa na walimu wawili tu mashuleni. Good lord save Tanzania.
   
 7. Modereta

  Modereta Senior Member

  #7
  Dec 19, 2008
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Labda tuangalie hili nalo la ATC, nielewavyo mimi maendelea yapo ikiwa kuna mabadilko, mtoto anaongezeka urefu au uzito, msichana anaota matiti, familia inajenga kanyumba kake, vijisenti benki vinaongezeka.
  Sasa kila mara tunapokuwa na kampuni/shirika kubwa basi watakaopewa ni wale wale ambao tumekuwa tukiwasikia miaka nenda miaka rudi. Je hii miaka 25 iliyopita haijatutolea wajanja wanaoweza kutupelaka mbele???????
  ikumbukwe kabla KLM haijaenda KQ walikuja ATC na mtu mmoja huko ATC na mwingine wizarani wakakalia uamuzi kwa miezi tisa, mdachi akachoka akenda zake KQ, baada ya siku sita akapewa green light. Hebu tutafute watu ambao magazeti ya serikali na mengine hayajamwandika lakini ana kasifa kake kwenye ubunifu na tumpe watu wapya kabisa. La sivyo kila siku tutakuwa ni akina Mataka kwenye chupa mpya.
   
 8. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  The President of the United Republic of Tanzania will be honored with a Doctor of Humane Letters (honoris causa) in recognition of his great effort in leadership excellence, peace initiative and support for education.[/QUOTE]
  Nadhani shule za Lowassa Zile zimetoa sana mkulu.nakumbuka wakati akihojiwa na VOA aliongelea sana mafanikio yake katika mambo ya elimu ya Msingi.

  Ila kwa kiasi kikubwa mambo ya MEM alianzisha mkapa sasa sijajua ni Elimu ipi wanyoiongelea hapa.Elimu bila ya kuwa na walimu wenye sifa?kuwa na madarasa na viatbu vya kutosha??

  Tumeona jinsi shule nyingi za bwenmi zikifungwa kw akukosa chakula na bado tu nchi inaendelea kununua mashangingi na kuweka mikutano ya sullivan.

  Huwa kuna wakati nafikiria Priority za nchi yetu ziko wapi?hasa kwa watendaji wa serikali.Sina ubaya na rahisi(nahisi wanamdanganya na kumroga),ila hawa watendaji wa chini(They are doing nothing and blunders kila siku nikiamka).

  kama ana uwezo wa kuwateua kwanini asibatilishe uteuzi wao..

  we ned Matakka Out before Christmas?we should have a move kwa kipindi hiki na ikiwezekana hata maandamano!
   
 9. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa JK, I guess nchi za jirani zimeona michango yake au ndio janja ya Kenya ya kutaka kumhonga ili asaini EAF.

  Talking about obsession/addiction mkulu hakuna post utakayotundika bila kutaja jina la Mkjj.
   
 10. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  ulitaka nikutaje wewe?Kila mtu anatajwa kutokana na mchango wake kati uwanja mpana anaouelewa.Wewe katika mambo ya ulinzi nakupa heko sababu umebobea ila huku lazima nimpongeze mwanakijiji sababu anafanya kazi nzuri sana ambayo wengi hawathubutu kuifanya.

   
 11. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #11
  Dec 19, 2008
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,920
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  Hongera JK, lakini angalia hii statistic hapa chini na linganisha na nchini kwako:

  Kenyatta University senate and council will award Certificates, Diplomas, Undergraduate, post-graduate and Doctor of Philosophy (PhD) degrees to more than three thousand (3,000) graduands during the 25th graduation ceremony.

  And this is just one university! they also have these:

  Moi University - Eldoret
  University of Nairobi - Nairobi
  Egerton University - Njoro, Nakuru
  Maseno University - Maseno, Kisumu
  Jomo Kenyatta University of Agriculture & Technology - Juja, Thika
  Kenya Armed forces technical college (KAFTEC)-Nairobi
  Masinde Muliro University of Science & Technology - Kakamega
  Kenya Polytechnic University College - Nairobi
  kenya Technical Teachers College - Nairobi
  Kimathi University College - Nyeri
  Kisii University College - Kisii
  Africa Nazarene University – Kajiado
  Aga Khan University, Highridge, Nairobi
  Catholic University of Eastern Africa CUEA- Karen, Nairobi
  Daystar University - Hurlingham, Nairobi
  East Africa School of Theology - Nairobi
  Great Lakes University of Kisumu (GLUK)
  Gretsa University – Thika
  Kabarak University - Kabarak, Nakuru
  KCA University-Ruaraka, Nairobi
  Kenya Highlands Bible College - Kericho
  Kenya Methodist University (KEMU) - Meru
  Kiriri Women's University of Science & Technology (KWUST) - Westlands, Nairobi
  Nairobi Evangelical Graduate School of Theology (N.E.G.S.T.) - Karen, Nairobi
  Nairobi International School of Theology [NIST] - Kilimani, Nairobi
  Pan Africa Christian University - Nairobi
  Scott Theological College - Machakos
  St. Paul's University Theological College - Limuru
  Strathmore University - Nairobi
  United States International University (USIU-A) – Kasarani, Nairobi
  University of Eastern Africa, Baraton - Eldoret
  Mt Kenya university - Thika

  See, over 32 universities! What do we have in TZ? Will we survive in the proposed EA Federation? We are just about to start crawling while others are already running!
   
 12. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2008
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Atumie busara akatae hiyo honorary degree ya kuchonga!! Siku hizi kila mtu anazinunua hizi; Karume nae kapewa na Anna mkapa pia alipewa!! Amebakia Mtikila tu kuwa DR. Wangoje mpaka baada ya kesi za hawa mafisadi ndio waone kama MUUNGWANA anastahili.
   
 13. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #13
  Dec 19, 2008
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Wal hakuna ubishi. Anayebisha ana bifu zake tu na Villager wetu. Nakuunga mkon mkuu. Nawe villager keep it up .
   
 14. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #14
  Dec 19, 2008
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kumbe ukweli mnaujua, sasa mnataka mataka ashitakiwe kwa lipi? WA TZ bwana COMEDY tupu, kila tatizo tunataka solution yake iwe kwenye tamplate bila kuangalia causes!!!!
  Tumacha kuhusisha kila kitu na EPA sasa tumeamia kuwashitaki watendaji.
   
 15. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #15
  Dec 19, 2008
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Au ATC waliongwa na MAFISADI, huwezi jua
   
 16. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #16
  Dec 19, 2008
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  EEheee Bwana Gembe , machale yananicheza!! hao jamaa sina imani nao.
  So ndo wale wale wanataka ka-ardhi ketu na kutaka kuhamia huku na kupata uraia?
  Sasa leo wanachombeza kwa mbali, aenda Mlingotini kuagua!!!
   
 17. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #17
  Dec 19, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Muacheni Mkwere naye apate awe na ujiko bwana..Nitajitahidi kuwawekea picha hapa baadaye kama akiwapo uwanjani.Kuna mtu huko nyumbani anayejua kama Mkwere atakuwa hapa ?
   
 18. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #18
  Dec 19, 2008
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu Gembe
  No wonder hata wadwanzi wa bunge nao wanataka kuwa MaPhD ya kujipachika. Nadhani PhD hii tungempa sisi Watanzania kama alistahili. Mwambie JK akirudi atuambie falsafa yake ya maisha bora kwa kila mtanzania inaendaje, maana huo ndio mtihani wetu wa kumpa uprofesa
   
 19. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #19
  Dec 19, 2008
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mkwere hana haja na huu udoctor wa chee nyumbani kwake; amekwisha mpata doctor mmoja wiki iliyopita kupitia kwa binti yake Salama tena huu wa Salama wa kuganga meno!!
   
  Last edited: Dec 19, 2008
 20. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #20
  Dec 19, 2008
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hongera JK kwa kupata u DR. wa Sheria,KENYATTA wamezingatia mchango wako katika jamii ya Tanzania na kwa kusaidia upatanisho KENYA.Sasa usijebweteka kwa kuwa DR. ukawapa pumzi mafisadi,endelea kuwabana hadi watakomee.Ushauri wangu kwa JK awaondoe Mawaziri wanaotia doa kwenye Serikali yake,waondoe pia Wakuu wa Wilaya,Wakuu wa Mikoa, na Wakurugenzi wa Maendeleo wa Mikoa na Wilaya ambao waliwekwa na mafisadi kwa maslahi yao,kamwe hawatakusaidia bali watakuhujumu tuu.Baada ya hao safisha CCM ili ikubalike zaidi kwa Wananchi na usikilize maoni ya wananchi wako.Sikukuu njema.
   
Loading...