Mshiiri
JF-Expert Member
- Jun 16, 2008
- 2,012
- 507
Ufisadi
Kufuatia kesi za kifisadi zinazoendelea nashindwa kujizuia kuhoji juu ya thamani ya ardhi kwani tunaona kila siku watu wakilalamika kuhusu wameonewa na serikali yao kwa kufidiwa milioni 2 kwa heka 20 n.k.
Je ni nini kinafanya ardhi hizi za mafisadi ziwe aghali wakati ni udongo huo huo wa TANZANIA? Je serikali haikubali kuwa imekandamiza sana wananchi wake wasio na uwezo kwa kuwapa fidia mshenzi?
Criteria
Ni nini kifanyacho ardhi dhamani yake kufikia milion 903 (mfano fisadi Mgonja - former PS fedha) ikiwa ardhi yenye madini ya mabilioni ya shillingi hufidiwa fedha mshenzi na hizi za mafisadi hazina madini ya tanzanite? Au ni migodi? Je ardhi ya mgodi dhamani yake inapatikanaje au fidia inayotolewa kwa wakazi wa eneo ni sawa? Laki mbili nk na pengine bila fidia na kuvunjiwa nyumba ama kuuawa kama mfano mzuri Bulyanhulu!
????
Still puzzled Government inaendelea kudanganya watanzania kwani ardhi ni mali ya serikali under the custodian of the president of URT sasa iweje ardhi iwe na bei kutegemeana na nani anamiliki?
Wizi mtupu? Any JF member conversant with the matter?