Mashirika ya umma kuchota hazina kwa ajili ya 2010/ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashirika ya umma kuchota hazina kwa ajili ya 2010/ccm

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pdidy, May 16, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,418
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  Baada ya kuona sasa hakuna njia ya kuiba BOT Serikali ya CHAMA CHA MAJAMBAZI imeanza kutumia mashirika ya UMMA kuchota fedha hazina kwa ajili ya kampeni 2010
  Akiongea kwa minajili ya kutotajwa msemaji wa chanzo hicho amesema mashirika ya umma yamkuwa yakichota pesa nying sana hazina na mwisho kushindwa kufanyiwa auditing kujua zimetuka ngapi....baadhi ya mshirika yaliyotumiwa kuchota fedha HAZINA ni ATCL..TRA na sasa wako mbioni kuanza KUCHOTA KWA AJILI YA NIC....habari zaidi zinasema katika kila mgao unaotoka HAZINA chama kina fungu lake ambalo mkurugenzi wa shirika anatakiwa kutafuta jinsi ya kureplace hilo deni kwenye makaratasi...
  sijui kama tutafika kwa system hii na kumbe ndio maana hata jf tuandike mara miamoja wananchi walie na kutembea barabarani akuna atakaeguswa kwa lolote kwenye ubadhirifu wa fedha kutokana na kulinda sera za chama cha majambazi.....
   
 2. Lusajo

  Lusajo JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndio maana Mattaka anawekwa huku na huku nini! kuhakikisha anasimamia vizuri? Lakini yoote yatajulikana tuu, za mwizi ni 40
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,418
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  wewe sheikh yahya nini..wacha mataka wengi tu wanakuja
   
 4. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  hizi taarifa ni za kweli? au za vijiweni? ni vyema kupata ukweli na kupiga kelele kwa nguvu zote maana sie wabongo huwa tunaacha vitu vifanyike ndiyo baadaye tuje kulaumu
   
 5. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2009
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Siku za mwizi ni arobaini!!
   
 6. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Big N.O. Wananchi wakilia na kutembea kwa nguvu na umoja...wataguswa tu. Ninahisi mifuko ya pensheni itatumika sana 2010
   
Loading...