Kamishina wa uhamiaji Z'bar adaiwa 'mweupe' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamishina wa uhamiaji Z'bar adaiwa 'mweupe'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by batamaji, Apr 20, 2009.

 1. b

  batamaji Member

  #1
  Apr 20, 2009
  Joined: Apr 5, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kamishina wa uhamiaji Z'bar adaiwa 'mweupe'
  Imeandikwa na Stella Nyemenohi; Tarehe: 20th April 2009 @ 08:22 Imesomwa na watu: 385; Jumla ya maoni: 4

  MAONI YANGU KWA HABARI HIYO:rolleyes:

  Huyo kamishana ana matatizo kwani mke wake kamamuweka awe ndio icharge wa zanzibr airpor. na kimada wake jina linanzia na MW... mwenye elimu ya kidato cha sita amemuweka awe incharge wa kitengo cha permits ( resident permit) na na watoto wake na jamaa zake wote amewafanya wakuu vitengo vilivyopo hapa zanzibar uhamiaji.

  HATA IWEJE HAIWEZEKANI MTU ASIYE NA ELIMU KUTOSHA KUSHIKA WAZIFA MKUBWA KWENYE IDARA NYETI KAMA UHAMIAJI HASWA KATIKA MASWALA YA YOTE WAWEKEZAJI WANAOINGIA NA WANAOTAKA KUINGIA KWA AJILI YA UWEKEZAJI NA UTALII VITU AMBAVYO VINAIPA SERIKALI FEDHA ZA KIGENI.
  hivi kwa dunia yetu hii ya sayansi na technoligi mtu mweupe na asiye na kitu kichwani ataweza kwenda na kasi mpya na nguvu mpya?.
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hata kama charity is suppose to begin at home - this is going toO far!
  Na Zanzibar si walikataa Sheria ya Rushwa au sijui ni mkakati wa kupambana na Rushwa?
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Yaani ni hadi watu wapige kelele ndo..watu wawajibike??
   
 4. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hii habari naona imekaa upande upande vile........! Batamaji,,please kama unaweza iweke vizuri.....sijakusoma vizuri!
   
 5. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  WSB,

  Suala la uhamiaji ni la Muungano? Kama ni hivyo hizi Leadership Codes et al kwa nini zisiapply kwake? If proved really God have mercy !
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Yeah Mkuu.Hili ni suala la muungano.Ila kama anachokifanya huyo mkuu kingefanyika bara, nadhani PCCB wangewabana mbavu - tatizo Sheria ya PCCB haiapply huko visiwani! Hapo ndo kuna shughuli!Maana hata wakati Bara wanapanga ule mpango wa kwanza wa kupambana na Rushwa ( NACSAP1) haukuhusisha ZNZ na hata integrity na Human rights institutions hazina mandate huko.ZNZ walikuwa na mchakato wao ila sina uhakika umefikia wapi.Kama kuna wakuu wenye updates watupe.
   
 7. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  BataMaji,
  Je source yako bandiko la chombo gani?? Manake naona haijakawa sawa vile.

  Je hao jamaa zake ukiondoa huyo kimada wake wana elimu/sifa gani??
  Je huyu kamishana alifikaje hapa ?? Kielimu au kwa uzoefu wa muda mrefu??
   
 8. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  WoS, sasa kama yeye ni mfanyakazi wa jamhuri ya Muungano, je, hawezi kuwa indicted under the said laws lets say atakapokanyaga bara?

  Yani huu Muungano ulivyokakaa tabu tupu...Ndo matatizo ya kuungana kupitia 'Gentleman Agreement' kwanza and then kujaribu kufix hayo matatizo ya hito G.A.
   
 9. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Its complicated ndg yangu.Tuwaachie wenyewe watajua cha kufanya.Mambo ya jurisdiction si unayajua.... hata akija huku bara, bado huwezi kumdaka maana upelelezi unatakiwa ufanyike hukohuko na chombo chenye kuweza kufanya hivyo.
  All in all, hii tunayosoma hapa ni hadithi tu hatujui ukweli wake bado hivyo tuongee nadharia tu.
   
 10. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  WOS
  Kama ulivyosema, uhamiaji ni chombo cha muungano. Bosi wa uhamiaji ni mmoja tu Bw. Kiomano aliyepo hapa Dar Makao makuu, kama ilivyo kwa polisi kwamba bosi ni Said Mwema. Huyo wa zanzibar ni Mkurugenzi tu wa kawaida kama akienda kinyume na utaratibu anaweza kushughulikiwa kwa utaratibu wa kawaida kama wafanyakazi wengine. Kinachonipa shida kuhusu habari hii imekaa kisanii zaidi. Labda Bw.Batamaji atuhakikishie vinginevyo.
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Batamaji
  huyo mkuu ni mweupe mzungu? mweupe hana nguvu za kiume? mweupe hana elimu? au mweupe karatasi??? hebu lete msingi wa habari kamili ili tuone huo weupe wa mweupe
   
 12. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #12
  Apr 21, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  huo ni ubaguzi ambao hatuutaki
   
 13. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  shy shy shy
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mkuu Fugwe,
  Uko sahihi kabisa.
  Mimi nilikuwa naangalia dimension ya rushwa na sheria ilivyo... tukiachilia mbali Idara kuwa sehemu ya Muungano chini ya Mh Kiomano.Kiomano ana uwezo kotekote na ndiyo maana kuna maafisa Uhamiaji wazanzibari bara na hata mafunzo yao wote hupata pale CCP Moshi.Kama ni administrative action bado Kiomano ana mamlaka na nguvu zote.
   
 15. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Haya mengine yanakuwa uzushi usio na ukweli. Ni kweli kuwa mkewe yuko uhamiaji lakini ni mtumishi wa daraja ya chini kabisa kiasi cha kuwa hawezi kuwa incharge wa kituo kama hicho. Ni kituo nyeti na huongozwa na maafisa wa ngazi za juu.
  Katika kuangalia suala la elimu tusisahau kuwa mfumo wa Utumishi wa Tanzania hapo nyuma ulikuwa ukiwapandisha vyeo watumishi kulingana na muda na masharti ya kutumikia cheo. Kwenye utaratibu huo Mtumishi akianza kidato cha nne baada ya muda anafanya in service examination na akifanikiwa anapanda cheo cha daraja lengine la Elimu kwa maana hiyo kidato cha sita. Akiendelea tena atajikuta kwenye nafasi ya cheo kinachostahiki shahada ya mwanzo. Katika utaratibu huu nafasi za kazi (post) priority ya mwanzo ikitolewa kwa wale wanaopewa promotion na akikosekana ndio anapewa muhitimu wa kiwango cha elimu kinachotakiwa.
  Huu ndio utaratibu uliokuwa ukitumika Serikalini na bila shaka ndio uliomfanya huyo mkurugenzi kufikia hapo alipo.Hali hii ipo kwa maafisa wengi tu wa Uhamiaji pale Zanzibar na naamini hata Bara. Hapo mwanzo hizi kazi zilizokaa kiaskariaskari hazikuwa zikitakiwa na wasomi na hivyo wale waliomaliza kidato cha nne ndio walikuwa vuno lao. Hali imekuja kubadilika baada ya soko la ajira kuwa dogo na hivyo wasomi kuona opportunities kwenye field hizo.
  Sasa kwa utaratibu wa utumishi wa Tanzania si rahisi kutumia kiwango cha elimu katika kuwaengua wale walioko kwenye nafasi zao. Kufanya hivyo kutalazimisha kuwastaafisha wengi kwani ili kuwaweka wasomi kwenye nafasi badala ya wale walioko kutafutiwa na kuwastaafisha wale unaowaona kuwa hawafai kwa nafasi hizo. Inachofanya serikali ni kuachia jambo hili liende automatic kwa kuajiri wasomi na huku kuwastaafisha wa zamani pale muda wao unapofika.
  Cha kushangaza ni kuwa kwa muda wote Zanzibar Wakurugenzi wake wamekuwa wa nama ya huyu walienae sasa sasa tatizo liko wapi. Iwapo amekosa maadili basi hiyo ni issue lakini hili la Kidato cha nne naona haijawa issue.
   
 16. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Uhamiaji si masuala ya SMZ na ndo maana akaulizwa Masha.
   
 17. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Qualifications tu hapo mzee! sijui mtu amepandishwa tu cheo kienyeji enyeji ana elimu ya form IV na sasa Mkurugenzi NNNoooooo!!! Basi awe chini ya mtu msomi ambae ni kijana!

  Yaani Tz both Visiwani na Bara kuna wasomi tu wengi kwa sasa!
   
 18. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Sasa mnataka CCM ni lazima muyakubali hayo ,maana wafanyakazi wote wanaoajiliwa na Selikali ya CCM ni wazungu wa reli mtoto wa mjomba kwa shangazi ,yaani ikiwa mnataka kusaka mbona wapo wengi tu au hamkusikia kule BOT ,yaani naona mnakanyagana wenyewe kwa wenyewe tu ,ni ufisadi tu ukisoma usisome mwanangu kazi utaipata ,kila kitu utajifundishia hapo hapo kama huelewi funga ofisi nenda kazurure mwachie yeyote yule akufanyie kazi yako na siku itapita na mwisho wa mwezi utanyoosha mkono na anaekufuatilia niletee jina lake tu tuone kama atamaliza mwezi ,jamani huo ndio utekelezaji wa CCM Chama Cha Mahusiano.
   
 19. G

  Gozigumu JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Elimu ni elimu na uzoefu ni uzoefu. Ndani ya uzoefu unapata elimu ya jambo unalolitenda lakini ndani ya elimu hampatikani uzoefu. Naogopa iwapo usiku mmoja tunaamka na kuwachukua wahitimu wa vyuo vikuu na kuwapa nyadhifa zinazotaka uzoefu na kuanza majaribio katika nyadhifa hizo.
   
 20. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Watu wana elimu ya IV mnasema wanauzoefu??? Enzi zile zimeshapita!

  The world is changing so fast!

  Elimu kwanza: then uzoeufu!

  Wapo wengi tu sana wana elimu na uzoefu pia!

  Kwa nini tung'ang'anie watu wa IV ai VI?? Why??

  Are we competitive??

  No elimu ya IV au VI cant make us competitive wakati kuna watu wana PhD!!
   
Loading...