Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna msemo wa kiafrika unaosema, huwezi kuzuia masikio yako kusikia bali kuuzuia mdomo wako kuzungumza. Ndiyo siwezi kuzuia masikio yenu kusikia, lakini naweza kuziba...
kwa hii serikali ya kichwa cha mwendawazimu sijui...la hasha ndio kwanza wamewapa machinga complex...wasubiri kuchunguza tena....Taarifa za mapato Kituo cha Mabasi Ubungo zifanyiwe kazi...
Kikwete yaanza kumshinda
Sasa hata Dk. Shein azoza
SIKU chache tu baada ya kutuma ujumbe kwamba akipita mwakani hatabeba mawaziri wazee, Rais Jakaya Kikwete ameanza kutekeleza azma hiyo kwa...
Mzozo wa Sophia Simba watua Z'bar
Makamu wake asema ni tishio UWT
na Mwandishi Wetu
SAKATA la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), limechukua sura mpya, baada ya Mwenyekiti wa umoja huo...
Nimefikiria sana kuandika thread hii.Najiuliza kama sisi ni Watanzania Damu mbona hatutaki kuchukua hatua za EPA,BoT twin tower,Meremeta,Richmond,Dowans na ufisadi mwingine?Jeshi letu kujihusisha...
Mimi ni mgeni hapa, lakini nimeona nianze post yangu ya kwanza kwa habari hizi njema kwenu.
Nimepata habari kwa mtu ambaye alikuwa karibu sana na Mhe. Augustine Lyatonga Mrema, kwamba, Mrema...
Swali linajieleza pamoja na picha, naombeni mnisaidie kujua aliko huyu bwana, maana ni siku nyingi sijamsikia wala kumuona kwenye vyombo vya habari,
Hivi yuko hapa nchini??
Date::11/24/2009Shamhuna,Khatib watia doa shangwe ya Karume, Maalim SeifNa Salma Said, Zanzibar
Â
WAKATI Zanzibar ikiendelea kushangilia maafikiano ya kihistoria baina ya Rais Amani Abeid...
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425...
Hivi hawa wapambanaji mbona majimboni mwao wanakumbana na aibu?
Ni kuwa wananchi hawawaelewi ama?
Je? wanaonekana kuwa wasanii?
Je?wamesahau kuhudumia wananchi wao wakijificha kwenye kichaka...
Mabarabara mengi ya jijini yako kwenye matengenezo yasiyo ya lazima wala plani ya kueleweka. Barabara ya Old Bagamoyo inatolewa lami na kukarabatiwa. Barabara hii kero yake kubwa huwa ni ufinyu...
kutokana na kuwepo kwenye kiti cha ubunge kupitia jimbo la Ilemela bila kuwepo na mafanikio ya kutosha, kuna tetesi kwamba wananchi wa jimbo hilo hawana mpango wowote wa kumpatia kura ndugu Dialo...
Kilango amfagilia Lowassa
Asema hana sababu za kumchukia
Aonya kuna propaganda chafu
Alonga hajawahi kuchangia Monduli
Asisitiza hawezi kuvamia jimbo hilo.
Na Hamis Mkotya
MBUNGE wa...
Kilango awabeza wanaonyemelea jimbo lake
na Dixon Busagaga, Moshi
SIKU chache baada ya baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujitokeza kutoa msaada kwa watu waliopoteza ndugu...
Mtikisiko wazuka Baraza la Mawaziri
Mwandishi Wetu
Raia Mwema
Novemba 25, 2009
Kikwete yaanza kumshinda
Sasa hata Dk. Shein azoza
SIKU chache tu baada ya kutuma ujumbe kwamba akipita mwakani...
Habari tulizozipata sasa hivi zinazosikika tokea jana mchana kutoka kwa vingwengwe wa siasa hapa mjini Dar Es Salaam zinasema kuwa CUF inatapia roho huko Zanzibar na wengi katika vingwengwe...
Hivi kwa nini watanzania hasa wanasiasa wanapenda hizi titles:Prof,Dr,Capt,Engineer,...na hata Sir.....hiki cha mwisho hutumiwa na raia wa uingereza tu lakini sisi tuanmuita Sir Andy Chande wakati...
How in Wonderland, prosecutors Wander around for the sake of Wonder-wealthy
I have heard Zomba and the co have recently walked out free reason being the judge could not find them guilt of the...
Na. M. M. Mwanakijiji (Tanzania Daima Jumatano Machi 18, 2009)
WAKAKAA katika kikao chao wakakubaliana; Tuwaambie kuhusu majenereta.
Huku wakiwa wametulia mahali wanapojua wao na Mungu wao...