Huyu mkubwa yuko wapi siku hizi?

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Swali linajieleza pamoja na picha, naombeni mnisaidie kujua aliko huyu bwana, maana ni siku nyingi sijamsikia wala kumuona kwenye vyombo vya habari,

Hivi yuko hapa nchini??
 
Attachments

  • CASLQVKT.jpg
    CASLQVKT.jpg
    2.9 KB · Views: 72
  • CAHSYL1J.jpg
    CAHSYL1J.jpg
    3.3 KB · Views: 76
Ameonywa na wazee wenye busara zao aache vita ya maneno na watu wasiokamatika!..Ameamua kuwa mpole.
 
Yupo sana jana alikuwepo kwenye mnuso wa Serengeti huyu hapa
7.jpg

Hapa akiwa na mzee Kapuya kwenye mnuso wa Serengeti jana
 
Eh! kumbe yupo, kwanini hasikiki kwenye vyombo vya habari kama zamani?
 
Masha yuko mjini, kwani kuna kazi znzyofanya pale mambo ya ndani zaidi ya kuharibu nyaraka zote zenye ushahidi unaomgusa yeye na IMMA kwenye kila nyanja ya sekta ya pesa hapa TZ.......
WEWE uliona wapi miezi sita inapita waziri wa mambo ya ndani hajaonekana hadharani...kituko.
 
Nakushukuru ndugu yangu, maana niliisha anza kuonekana mwongo kuwa eti anaonekana na juzi alikuwa kwenye sherehe ya serengeti,

Tunataka aonekane kwenye vyombo vya habari, mpaka walioko kasulu, ngara, mbozi, nk wamuone,
 
Hawa viongozi wetu kweli wanapenda starehe! Hebu ona walivyokenua! 'Enzi za Mwalimu' kulikuwa hakuna mambo kama haya. Viongozi walikuwa serious wakifanya kazi usiku na mchana si kwenda kwenye starehe! Sokoine angeliwasikia asingewaacha! Uongozi ulikuwa ni sacrifice haswaaaa leo uongozi ni kutanua.
 
Tossi anafanya kwa niaba yake, na sasa anapambana na majangili wa wanyama pori, ila wezi wa silaha kasulu .....
 
Masha yuko mjini, kwani kuna kazi znzyofanya pale mambo ya ndani zaidi ya kuharibu nyaraka zote zenye ushahidi unaomgusa yeye na IMMA kwenye kila nyanja ya sekta ya pesa hapa TZ.......
WEWE uliona wapi miezi sita inapita waziri wa mambo ya ndani hajaonekana hadharani...kituko.

wewe unaweza kunyongwa kwa kuandika vitu kama umelewa..kwani wizara ya mambo ya ndani inatunza nyaraka unazosema anaziharibu?
 
Duh...wabongo kweli porojo kazi yetu...Mtu akikaa kimya kaambiwa akae kimya...akibwatuka kivyake...anaropoka....Tushazoea kuwaona Wachekeshaji ktk TV, basi twahitaji tuwaone mawaziri the same.....Huu ni msiba wa kifikra!!!

Wadau ni vema tujadili utendaji si mambo ya kuwaona daily ktk ma-TV. na Tujenge utamaduni kuwa kila Kiongozi wa serikali ktk nafasi yake atende kazi...na ikibidi kutolitolea Jambo ufafanuzi ktk vyombo vya habari....na si kusubiri Wazir au Rais aseme...jambo la Katibu kata, basi Wazir/Rais atoe tamko!!! .....ndio maana hawa Viongozi wa chini wanaendelea kupiga usingizi wakijua kuwa hawatojadiliwa!!!
 
Swali linajieleza pamoja na picha, naombeni mnisaidie kujua aliko huyu bwana, maana ni siku nyingi sijamsikia wala kumuona kwenye vyombo vya habari,

Hivi yuko hapa nchini??

Wacha umbeya wewe! Pambafuu Nyambafuu!
 
Hawa viongozi wetu kweli wanapenda starehe! Hebu ona walivyokenua! 'Enzi za Mwalimu' kulikuwa hakuna mambo kama haya. Viongozi walikuwa serious wakifanya kazi usiku na mchana si kwenda kwenye starehe! Sokoine angeliwasikia asingewaacha! Uongozi ulikuwa ni sacrifice haswaaaa leo uongozi ni kutanua.

enzi za mwalimu nchi ilikuwa bado inajengwa kwahiyo muda wa kula haukuwepo, siku hizi viongozi wapo kwenye fungate la uhuru
 
Back
Top Bottom