Habari moto moto cuf marufuku znz! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari moto moto cuf marufuku znz!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lampart, Nov 25, 2009.

 1. L

  Lampart Senior Member

  #1
  Nov 25, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari tulizozipata sasa hivi zinazosikika tokea jana mchana kutoka kwa ving’weng’we wa siasa hapa mjini Dar Es Salaam zinasema kuwa CUF inatapia roho huko Zanzibar na wengi katika ving’weng’we hao hawana tamaa kama CUF itaishi mpaka January 12, 2010.
  “The Zanzibar Attorney General has enough evidence now to implicate and incriminate CUF in a political plot to strangulate the Isles economically, politically and socially by masquerading as the winner of all previous elections in the Isles, but, in fact it wasn’t”.
  Habari hizo zinasema zaidi kuwa” Should the Zanzibar Attorney General see it fit, then, he is empowered by the Zanzibar Constitution to banish CUF at any time”.
  “This wouldn’t be a surprise to many of us after the Leaders of the Party openly confessed at a mass rally in Zanzibar few days ago that they recognized that Karume and not Seif Sharrif Hamad was the legitimate Ruler of Zanzibar”.
  “Banning CUF in the Isles would be a huge surprise to the Registrar of political parties in Tanzania, who just few days ago saw a hope of having an inclusive government in Zanzibar.”
  “This would send a stern warning to party leaders not only in Zanzibar but throughout Tanzania – to either accept the results of an election or if not, then to prove it through a court of law and not to play around with people’s lives for their own benefit” - one of the sources from Dar Es Salaam lambasted on the phone, when asked what precedent this would set for the Isles.
  Banning CUF in Zanzibar would automatically disqualify the Party from running on the Mainland in 2010, as then it would not be a national party representing all Tanzanians.
  One commentator close to the top brass of CCM when asked of the complexity of the situation had this to say, ” If this will happen, Kikwete will not interfere, as he would prefer to work with the Afro Shirazi hardcore zealots than with the wayward Hamad who wants to take the Isles off the Union map”.
  According to our sources, Shamhuna’s previous statements on the issue are a prelude to the impending demise of CUF in the Isles.
  Sources: Wagagagigikoko News Network.
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wagagagigikoko wana habari tamu sana
   
 3. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Haya ya wapi tena? huo mtandao wa wagagegigikoko ambao walishaondoka kwenye uso wa Dunia wameyatoa wapi?
  Namsubiri Allien from Galaxy aje ang'amue ....
   
 4. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Source ya taarifa?
   
 5. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Mods, kwa heshima na taadhima ya JF naomba habari hii kama mnapenda iendelee kuwapo ipelekwe katka tetesi vinginevyo itoweni, nikiamini kuwa JF si pahala pa kuweka habari za uwongo ua pure uwongo.
   
 6. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2009
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 701
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Crap....even if the Zanzibar constitution does allow to ban CUF, doing so would only make things worse....

  Remove the topic...total non-sense...:rolleyes:
   
 7. S

  Stone Town Senior Member

  #7
  Nov 25, 2009
  Joined: May 28, 2007
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  its not true
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  They can't and won't ban CUF even if they are empowered to. That would cause a huge political scandal. It won't be good for CCM either since just recently they made peace. So if they ban CUF CCM will look like a two toming, back stabbing crooks. If they want to ban CUF I don't think they will make it that obvious.
   
 9. KILITIME

  KILITIME JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2009
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa Zenj kila kitu kinawezekana! Mara wanachomeana nyumba moto, mara shule zinapakwa vinyesi, mara mtu aliyetoka chama fulani akahamia chama kingine hawanunui tena bidhaa kwenye duka lake, mara wazee wa Pemba wanataka uhuru wa Jamhuri ya Watu wa Pemba, nk. Ngoja Maalim wakimwingiza mkenge utasikia habari yake, ndio utakuwa mwisho wa honeymoon ya "maslahi ya Zenj!"
   
 10. KILITIME

  KILITIME JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2009
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ukweli ni upi sasa?
   
 11. L

  Lampart Senior Member

  #11
  Nov 25, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani, kwanini hatufikiri kabla hatujajibu?
  Nani kasema kwamba hizi habari ni za kweli????????
   
 12. L

  Lampart Senior Member

  #12
  Nov 25, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani, demokrasia hapa kwetu hatuiwezi, kwani ni ngumu sana. Kama wewe huyapendi haya yaliyoandikwa sio acha tu kama yalivyo? Yanini unapendekeza kwa MODS thread ifungwe???? Imekuchoma pabaya????
  Juzi hapa tumemtukana mzee wa watu Nd. Abdallah Issa kwa kumueleza kuwa yeye ni mtoto sio rizki na hakuna hata mmoja aliyesema ile thread ifungwe. Badala yake MODS wameiunganisha na thread nyengine ili watu wapate kuisoma zaidi ile kashfa. Abdallah Issa ni mtu mwenye heshima na anaheshimika sana ZNZ na hivi sasa ni mwenye watoto wakubwa ambao wamo humu humu kwenye hii JF, leo wakiona maneno kama yale watafurahi? Kwanini hatukusema ile thread ifungwe kwasababu tunamtukana na kumkashifu huyu ndugu yetu? Au Nd.Junius hukuyaona yale matusi????
  CUF hata kama ikipigwa marufuku kule ZNZ hakuna chochote kitakachotokea. Vilipigwa marufuku ZNP & ZPPP ambavyo vilikuwa vyama vyenye serikali na haikutokea kitu, seuze hii CUF ambayo hata safari moja haijapata serikali?
  Wagagagigikoko mimi ninawaamini sana. Hii ni network ya Janjawili wa kule ZNZ. Makao Makuu yao yapo nyuma ya Muembe Madema. This is a reliable local news network (ya mdomo kwa mdomo mabarazani), kwani in 2005 walisema CCM itashinda ZNZ na kweli ilishinda. Pia katika vurugu za huko ZNZ katika mwaka 2007 walisema kuwa CUF watasalimu amri na leo wamesalimu amri kweli. Kwahivyo, we have no reason to doubt this network at all, kwasababu LISEMWALO LIPO, kama halipo basi linakuja!!!
   
 13. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mimi sina la kusema nangojea matendo ambayo yatakuwa matokeo ila habari imekaa kama kajihabari wacha tuone mwelekeo .
   
 14. M

  Mkuu Senior Member

  #14
  Nov 25, 2009
  Joined: Jan 1, 2007
  Messages: 127
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa katuma na Shamuhuna nini? Mwanasiasa machahari wa zenj
   
 15. M

  Mkuu Senior Member

  #15
  Nov 25, 2009
  Joined: Jan 1, 2007
  Messages: 127
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huyu kijana katumwa na mh shamuhuna?
   
 16. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Hapana shamkuma anajuwa hana chake katika Urasi kwani amewadhalilisha kwa maneno machafu viongozi wengi wa kule bara na wabunge wake ,kama huyo mtu kweli katumwa basi itakuwa katumwa na Khatib .
   
 17. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Ta'adabu, hili silo jamvi la walevi...
   
 18. L

  Lampart Senior Member

  #18
  Nov 26, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa Mheshimiwa Kibunango.
  Ninataadabu na sitokunywa tena pombe!!!
  Nitakunywa togwa au chibuku tu!
   
 19. L

  Lampart Senior Member

  #19
  Nov 26, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Nd. MwanaFalsafa1,

  CCM doesn't need to do anything to look like a back stabbing crook, because CCM since time immemorial has always been a back stabbing crook!!!
  I hope you don't doubt that!
   
Loading...